Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uko na pointi;

Mfano tukifikia hatua tukaona kitendo cha kumiliki baiskeli ni jambo la akili, tena kutembea kwa miguu ni ujiniazi kabisa tutawekeza kwenye mambo ya maana zaidi.

Moja kati ya mbinu ya kumtawala mtu ni kumfanya aone kuwa hajakamilika hadi awe na kitu fulani ambacho hanacho mda huo ili umtawale.

So mfano tukikaa tukaona extended clan na famil....... inatosha bhana all in all ni kwamba tukitaka tuweze itabidi tutengeneze difinisheni yetu ya mafanikio halafu tuipursue hiyo
 
Bwana kweli hujui "official page" ni kitu gani?? Uneleta screenshot kutoka Kyivindependent. Kama ni kweli, hii ni tovuti binafsi. Kama hujui tofauti kati ya tovuti binafsi, kiuchumi na kiserikali - basi jaribu kujifunza kwanza.
HAkuna ukurasa rasmi ya serikali ya Ukraine inayosema hao mabalozi walifukuzwa. Matangazo rasmi yanasema ni uhamisho. - Naongeza: uhamisho ni jambo la kawaida katika utumishi wa kibalozi
 
Special Agent habari za Jioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo we unaforce watu wapende upande wako ambao wahisi Ni sahihi?
Uhuru wa kimtizamo Ni Jambo la kibinafsi i'la tu Uhuru huu usiwe na athari za nje ya uwanja huu.




Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
1. Usijaribu kuthibitisha propaganda ya Putin kwa kutumia propaganda ya Putin. Southfront ni tovuti ya kiputin kabisa. Civilian shields za Mariupol ni jaribio tu kuonyesha sababu za uwongo kwa aibu ya kukwama kwa Urusi Mariupol kwa miezi mingi.

2. Kuhusu " vijamhuri" hivyo vya Donbass - ni vyombo vya Putin aliyevianzisha, kulisha atavimaliza siku moja. Usilete propaganda yake kama ushahidi.

3. Kuhusu "upole wa jeshi la Urusi" - hakuna kitu kama hicho. Hawana namna ya kusogea mbele kuliko kuharibu kila kitu. Unachodai kuhusu kulenga sehemu za juu ya majengo -uwezo huu hawana kutokana na tabia za silaha zao. Wanapiga hovyo nyumba za wananchi. Kama grenedi inagonga juu, katikati au chini ni kwa kubahatisha tu. Wanahariu hovyo kwa kuua maelfu. Ona taarifa ya leo jinsi urusi inapiga nyumba za kiraia:

30 people still trapped in apartment buildings rubble​

At least 30 people are still trapped in the rubble of a Chasiv Yar apartment building in eastern Ukraine, according to an AFP update on the Russian missile attack late last night that killed at least 15.
Journalists from the news agency were given a tour of the wreckage by survivors. One woman who had ventured inside to see what she could salvage from her apartment retrieved a blue bird, still in its cage.

4) kuhusu mataifa kujiunga na NATO: hujajibu.
Sema: nani alihamasisha Uswidi na Finland kujiunga na NATO - Marekani au Putin?

Sema: Kwa nini nchi iliyokuwa koloni ya Urusi isitafute njia ya kujikinga dhidi ya kurusi kwa ukoloni huo? (mfano Latvia, Estonia)?

5. Sentensi yako "Russia hakuwa na haja ya kutafuta makoloni na kujiingiza kwenye dhambi kubwa ya ukatili wa kibinadamu kwa sababu tayari yeye alishabarikiwa rasilimali nyingi na za kutosha" inaonyesha hujui historia ya Urusi.
Ona ramani. Urusi penyewe ni maeneo yenye rangi ya kijani-cheusi. Yote mengine ni maeneo ya makaloni yaliyovamiwa na Urusi katika karne zilizopita.
Au una maelezo tofauti maeneo hayo yaliingizwa katika Urusi?
Hujui himaya ya ukoloni ya Urusi ni kubwa kushinda maeneo yote ya Uingereza???
 
tovuti ya kiputin kabisa
Thibitisha!

Civilian shields za Mariupol ni jaribio tu kuonyesha sababu za uwongo kwa aibu
Pole maana unakosa ushahidi wakutetea hoja zako kwa hiyo nafikiria kukuweka kwenye orodha ya wabishi bila hoja!

Usilete propaganda yake kama ushahidi
Kama hauna ushaidi wa kujibu hoja unayoituhumu ni propaganda wajanja uchutama kwa kukaa kimya maana wana aibu. Lakini kama hauna mshipa wa aibu suala la kuchutama achana nalo.
katikati au chini ni kwa kubahatisha tu.
Naona unajitahidi kweli nikupuuze lakini sitafanya hivyo mpaka utakapohisi sasa unawaabisha wafuasi wako. Kwa kifupi sijibu maelezo ya kibishi bali hoja za msingi. Nikishindwa hoja nakiri kushindwa. Wakati mwingine ninajifanya kushindwa hoja nikigundua ni maelezo ya kibishi hivyo kwa makusudi huwa na mshawishi mleta ubishi afafanue ubishi wake ili ajimalize! Sikutishi!
ventured inside to see what she could salvage from her apartment retrieved a blue bird, still in its cage
nimeisoma habari yote, hakuna hata ushahidi wa picha konyesha hao raia walionfunikwa na vifusi. Neo nazi walipoua raia kule bucha wakatengeze uongo mbona walioonyesha!? Hapa aljazeera anamuogopa nani!?Kwa jicho la tatu, watu walijificha kwenye basement!

mataifa kujiunga na NATO: hujajibu.
Sema: nani alihamasisha
Abstract imekushinda? Pole!
inaonyesha hujui historia ya Urusi
Nasubiri utaalamu wako wa historia ya Urusi juu ya jambo hili.
Yote mengine ni maeneo ya makaloni yaliyovamiwa na Urusi katika karne zilizopita.
Hata hivyo, Wakati unaandaa historia ya russia unayoitaka naomba nikupe maelezo haya.
"What were the causes of Russian expansion? Security concerns caused by the presence of nomadic peoples that frequently raided their neighbors and sold them into slavery caused Russia to expand south and east."
===
Russia wana utu.
 
🗓 Top News Today

💥 High-precision ground-based weapons struck temporary deployment point of AFU artillery unit and ammunition depot on the territory of Ceramic Factory in Slavyansk. Up to 100 personnel, more than 1,000 artillery shells for US-made M777 howitzers and about 700 rockets for Grad MLRS were destroyed.

💥 Russian Aerospace Forces' Su-35s fighters have shot down in the air 2 Su-25 assault aircraft of the Ukrainian air force near Barvenkovo, Kharkov Region, and Troitskoye, Donetsk People's Republic, as well as 1 MiG-29 near Krasnopolie, Donetsk People's Republic.

📹 Footage has been published of artillery unit carrying out firing missions to destroy AFU positions, as well as crews of Ka-52 attack helicopters during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Mimi ningekuwa serikali.nakamata mashoga na lazima wawataje wanaowafanja tena unawaweka kwa gazeti/public. Mashoga unawashtaki.Anyway Mungu tusaidia inauma sana jamani hasa ukiwa mzazi unaona.litoto la kiume jinga tu
Mkuu Vipi kuhusu walevi, wauaji, Wala rushwa, waongo, matapeli, ki-biblia ushoga hauna tofauti na Uongo, uuaji, wizi , ulevi nk...

Acha kuhukumu
 
Kwahiyo we unaforce watu wapende upande wako ambao wahisi Ni sahihi?
Uhuru wa kimtizamo Ni Jambo la kibinafsi i'la tu Uhuru huu usiwe na athari za nje ya uwanja huu.




Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Si-force mtu, ila naomba watumie akili zao sio kuongozwa na chuki za kidini dhidi ya Marekani, na Marekani yenyewe wanaitamani kila siku kujaza form za greencard. Huyo Putin mnayemuabudu leo kuna kipindi aliwanyoosha sana watu wa hiyo dini kwenye jimbo la Chechnya....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…