Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Subra niliyoizungumzia ilibezi zaid kwa EU.Sina hakika kama ni "subra", kwangu naona kama hana la kufanya. Nawaza endapo akiamua kuji'stress zaidi ya hapo alipofika hali itazidi kua ngumu zaidi.
[emoji842]US nation debt ni kubwa sana mara dufu. Akilazimisha mazito zaidi anaweza kujisababishia "default" kama aliyo kua akii-lazimisha kwa Russia.
[emoji842]Akisema aongeze vitisho kwenye matumizi ya dollar au mifumo ya kifedha. Hiyo hali itaongeza mbio kwa nchi zingine kutafuta alternative. Alternative ambayo itasababisha kupungua kwa demand ya dollar.
Since dollar ni free currency, haiko pegged to anything. Value yake inategemea demand kwenye forex market. Demand ikipotea dollar will be no more. US economy will collapse kama kufumba na kufumbua jicho.
[emoji842]Akisema afanye kwa ubabe, Quarter ya pili hiii economy growth ya US inasoma negative. Atapigana na wangapi ukizingatia walio baki upande wake ni "State 51" maarufu kama EU, then Japan na Australia. The rest wamempa kisogo.
[emoji842]US ni net importers, 41% ya imports zake according to CIA factbook zinatoka China na Mexico. Kuendelea kuweka tension unaelewa hapo nini kitatokea.
[emoji842]Mbali na hilo, US economy kwa mujibu wa hao hao CIA Factbook, Uchumi wao umejikita sana katika sector ya Sevices.
I mean composition ya GDP yao by sectors iko hivi.
19% Industries
80% Services
Kwenye uchumi services sector huwa ni zao la "expenditures" za watu. Hali ya Raia inapokua ngumu, waka-anza kubana matumizi. That means wana punguza spending. Sasa wakibana matumizi automatically Hii sector ya uchumi (Services) huwa inayumba.
Alikuwa akitumia Uber anaamua kutembea kwa mguu, Mlo wake ulikuwa McDonald au KFC hali tata anarejea jiko lake nyumbani. So Services sector inapoteana kama hivyo.
Na hiyo ndio sababu ya Uchumi wa US kipindi hiki kudorola. Sasa endapo akizidisha ***** ***** hali itazidi kua mbaya upande wake.
Kati yao US na EU, US ni kama mjanja mjanja... Hana adui wala rafiki linapokuja issue ya maslahi yake. Angalia US ana lift sanctions anazoona zinamuumiza ila EU zombies wako radhi viumane no matter what.
Tumesikia karejea kushirikiana na Urusi kwenye International Space Station. Kesho tutamskia anashirikiana jambo na Uchina maisha yanasonga. Hizo ndio Geopolitics zilivyo. Michezo ya Power...
Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.kKwa sabab mara zote tunaamin watu wa ulaya ni watu smart kifikra watu ambao kila maamuz wanayoyafanya huwa hawakurupuk na wanafanya kiweled sasa inakuaje leo hii tunasikia kupitia vyombo vya habar kuwa wanapunguza matumiz ya gesi ili wasiwe tegemez kwa urus lkn hapohapo kupitia muungano wao wa NATO wamejitengenezea utegemez kwa us.
Hii kitu US haitaki, Ruble imewafumbua machi itabadilisha mchezo kwa nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela zao ni swala la muda.By November, the five largest economies of Southeast Asia: the Philippines, Malaysia, Indonesia, Singapore and Thailand, will sign an agreement on the integration of their mobile payment systems. This will make cross-border transfers much more efficient and will contribute to the development of trade in ASEAN countries.
Payments will be made in foreign currency by regional banks by direct exchange between currency pairs without using the US dollar.
Tukiuza kwa tsh itapendeza mno, wekundu wa msimbaziiiii.Hii kitu US haitaki, Ruble imewafumbua machi itabadilisha mchezo kwa nchi nyingi zitauza rasilimali zao kwa hela zao ni swala la muda.
Kuanzia sasa naanza kukusaposti. Haiwezekani ukazongwa wewe tu! Kwani shingapi?Na apriciate ndio Maana nitatulia KO nilisema wao ila parata kajishtukia nawala sikua na lig nae.( Nahisi ni mtu mmoja ana ID tatu aliekuja kuniblesi baada ya kusema KO,moja ikapotea ila nilivyosema kuna moderator wanaunganisha ID sec hazijapita ikaja iliyokuwepo ukiangalia mtiririko na flow ya mijadala yangu wanapeana back up) sasa sio kila mtu yuko ivyo inbox nakutajia ukiangalia mmhemko anaoupata unajua tuu kuna kitu alafu alaiyejishtukia nilimpa swali alifanyie kazi na wala hakua kwenye lig yangu mwanzoni ila yuko moto.
Alafu why kila siku wao tuu.
#K.O imeumaeee na badoo😏😏
😏.
Imagine mi kila siku najitetea tuu
Ni hivi kuanzia sasa ivi nyie timu KO mnajijua msinikot siwakoti.
Mkitaka ignore.
#sitaki reply kutoka timu KO.
Hiyo ni Offa natoa kwa wapenda ubuyu njoo inbox ntakupa majina matatu uyafuatilie utaona 😂😂😂😂 burudani za watu.
Huyu jamaa ni nani? Kuna mwingine pia mwenye mawazo ya hivi nilimuona Twitter aliweka video akiilaumu US.Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.k
Lakini kiuhalisia haipo hivyo, Dar kuna watu wanalala barabarani hawana makazi, hawana kazi, kuna maeneo machafu, kuna maeneo yamejaa vibaka, kuna watu wa "hovyo" pia n.k
So hata hapo Europe wapo wenye akili na wapo mbumbukwazi wengi tu walio shika hatam/nyadhifa za uongozi.
Maamuzi hayo tunayo-pata kuyaona wakiyafanya ni maamuzi ya viongozi hao sio maamuzi ya walio wengi katika Raia wao, lau kama wangekuwa na maamuzi sawa au jambo lao ni sawa basi Raia wasinge andamana kupinga maamuzi ya viongozi wao.
Haingii akilini, hujui kupika unagombana na mpishi. Unasusia chakula ushinde njaa kumkomoa. Then useme unavuta "Subra", bad enough ulichokisusa ukitegemea kitaoza kinaliwa na watu wengine we unabaki unataabika na njaa.
Video hii hapa chini kama nyongeza ya maelezo kukuonesha kuna watu wanao-jielewa na kuna watu ni mazuzu zaidi ya vile tulivyo aminishwa. Huyu MP anawaeleza EU walivyo geuzwa "state 51".
View attachment 2293781
Ulaya inaendelea kuteseka na winter bado 🤔🤔🤔
🇫🇷✊ 👮In France, people are protesting against rising food and fuel prices. There were clashes with the police
And it is not winter yet...
View attachment 2293604
Inakuhusu nini nawe? Kitu cha msingi ni kuleta habari hapa--ziwe za uongo ama ukweli.Huyu jamaa ni nani? Kuna mwingine pia mwenye mawazo ya hivi nilimuona Twitter aliweka video akiilaumu US.
Ukrein imekamatwa pabaya wameanza kukili wenyewe
[emoji845] [emoji1255] [emoji635] The former head of Ukraine's foreign intelligence, General Malomuzh, believes that Russia will negotiate only so that Ukraine fully fulfills the conditions that the Russian Federation demands in an ultimatum. According to the general, if Russia's conditions are not accepted, military pressure and the advance of the Russian army on Ukrainian territory will increase.
Habari.
Umeelewa vibaya sijamanisha nataka nijadili na hao watatu.
Nimemaanisha mtu mmoja ana anamiliki ID tatu ni kitu tofauti na ulichoniambia.
Nimesema natoa izo ID inbox (PM)kwa anaependa ubuyu na wadau wamejitokeza.
Nimejieleza vizuri.
Nimezingatia hayo yote kabla sijapost ili kuondoa jam.
No hard feeling 👍👍👍.
# (hashtags)hizo zitakuwepo za kutosha stay tuned umenipa uwanja wa kujieleza maana pale nilimjibu kisiju na sikutaka reply ( uwe ubao wa matangazo) wewe kwa kutokujua au kujua tunatumia fursa.
Uzi wa vita huu😂😂😂😂
Ni kweli Ukraine inatembeza kichapo balaa. Sema hawataki mikogo na kujikosha. Ni watu wa kanyaga twende, mahesabu ni yao.Kuna jamaa alisema HIMARS zinapiga show mrusi hatembei 🤭
Tangia vita inaanza, au tuseme kabla vita haijaanza kila mtu alijua Ukraine lazima ishindwe vita, kila mtu, sio NATO au Russia ata sisi waafrica uku mwishon mwa dunia
Ko Ukraine kupigwa sio jambo la ajabu, ila Urusi kupata changamoto hizi zote mpaka leo na bado wakashindwa kuadvance Kiev na kuelekea upande ambao Ulijitoa Ukraine kabla ya vita ni kuwa jeshi la Russia sio kama tulivyodhani
Wengi humu mnaongea kishabiki tu na mtaanza kusema apo ni Russia na NATO ndo wanaopigana, ila kama nato ndo wangepigana hao NATO wangepeleka majeshi yake uko Ulaya wakaita total war, badala yake wanapeleka light equipments na Russia anapeleka kila kitu alichonacho even hipersonic missiles ila bado advance zake katika majimbo yalojitoa kabla ya vita bado iko slow
Ata nikicheza mpira na vitoto nitaonekana Messi, wakubwa wenzangu wakimpa viatu vya mpira huyo mtoto, watakuwa wamemsaidia ila bado nitakuwa nacheza boli na mtoto tu bao
Sa nikicheza na hao watoto na kila mtu akaamini ntashinda goli 5 ndani ya dk10 af badala yake nikashinda ndani ya dk za majeruhi, atakama mashabiki zangu watafurah nmeshinda mechi ila hilo haliepushi ukweli kuwa uwezo wangu ni kama wa hvyo vitoto na sikustahili kucheza mechi na hvyo vitoto
Badala yake watu wanakufa tu na familia zinatawanyika, biashara zinafilisika, af nyie mabumbuwazi mnashabikia et ‘unaona wale watu walivyokufa’ seriously
Hivi vita vya viongozi si vya kuchekea ji kuvipinga, mtu anaweza kupewa ngazi kubwa ila akili yake ni ya kijinga na kitoto
Madhara wanayoyapata ni watu wa maisha ya kawaida na tegemezi wao, sio upande wa Ukraine tu, ata Urusi, hakuna mwanajeshi anaetamani kufa, ata Leo hii Putin ahairishe vita, wanajeshi wote wa Urusi watafurahi pia maana hakuna anaetaka kufa, ila hawezi kwa sababu anaogopa fedheha na aibu, binadam wengi hawafanyi vitu kwa kutumia logic, bali emotions, oviously kwenye upande wa Logic pia taifa zima litadhalilika na watapoteza nafasi yao ya kijeshi walokuwa nayo kabla

Subra niliyoizungumzia ilibezi zaid kwa EU.
Ndio maana nikajiuliza hizi habar za hali tete tunazoambiwa zilizotokana na wao kususia bidhaa ingawaje wanaumia mno ni sahih au si sahih???
Kwa sabab mara zote tunaamin watu wa ulaya ni watu smart kifikra watu ambao kila maamuz wanayoyafanya huwa hawakurupuk na wanafanya kiweled sasa inakuaje leo hii tunasikia kupitia vyombo vya habar kuwa wanapunguza matumiz ya gesi ili wasiwe tegemez kwa urus lkn hapohapo kupitia muungano wao wa NATO wamejitengenezea utegemez kwa us.
Na kutokana na kususia kwao imepelekea baadh ya viwanda kufungwa na matumiz ya majumban kuathirika kwa kiwango kikubwa kutokana na mfumuko wa bei na kuadimika kwa bidhaa kunakopelekea kuathirika pakubwa kwa uchumi.
Najiuliza ni mtu smart gani mwenye weled anayeweza kufanya maamuz ya hovyo kwa kiwango hicho au labda kuna mipango ipo mzigon wanasubir taiming ikawe sawa???
hujanitaja mkuuSikirimimimasikini
NYUNDO YA MOTO
manning
green rajabu
Jesus Mlokozi
Mathanzua
Na wengineo ambao sijawataja tunatambua mchango wenu katika huu uzi kama nafasi zinaruhusu tunaomba update ghala limepelea.
kichapo kiendeleee piga kelele kwa Putin akeeee.
#stay tuned.
Bro hii imani uko nayo au niseme tuliyo nayo wengi kuhusu hawa wazungu ni kama imani aliyo nayo Mwananyenye wa kule mbeya ndani ndani. Anaamini Dar kuna maghorofa tupu, Dar kuna matajiri tupu, Dar ndio kila kitu. Dar kuna watu Smart, wajanja n.k
Lakini kiuhalisia haipo hivyo, Dar kuna watu wanalala barabarani hawana makazi, hawana kazi, kuna maeneo machafu, kuna maeneo yamejaa vibaka, kuna watu wa "hovyo" pia n.k
So hata hapo Europe wapo wenye akili na wapo mbumbukwazi wengi tu walio shika hatam/nyadhifa za uongozi.
Maamuzi hayo tunayo-pata kuyaona wakiyafanya ni maamuzi ya viongozi hao sio maamuzi ya walio wengi katika Raia wao, lau kama wangekuwa na maamuzi sawa au jambo lao ni sawa basi Raia wasinge andamana kupinga maamuzi ya viongozi wao.
Haingii akilini, hujui kupika unagombana na mpishi. Unasusia chakula ushinde njaa kumkomoa. Then useme unavuta "Subra", bad enough ulichokisusa ukitegemea kitaoza kinaliwa na watu wengine we unabaki unataabika na njaa.
Video hii hapa chini kama nyongeza ya maelezo kukuonesha kuna watu wanao-jielewa na kuna watu ni mazuzu zaidi ya vile tulivyo aminishwa. Huyu MP anawaeleza EU walivyo geuzwa "state 51".
View attachment 2293781
Ndio maana wamebana Media za Russia ili kuepusha kukosolewa kwa propaganda zaoWamarekani wabishi kama nini - vyombo vyao vya habari vimekwisha kanusha kwa kusema kwamba picha hizo ni fake!!
Wamerekani juzi wamefunga ubalozi Kiev wametoka mkuku mkuu wameacha gagulo zao break ya kwanza Poland wakiwa wanatembelea ulimi, ila kwa bahati mbaya wamefika mapaja yamechubuka sana walisahau kujipaka ky [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila hizo 3k to 10k huwa sio heavy bomb eeh?