Hayo mauaji kamwambie zelensky anae ua raia wake kwa kuwafanya ngao za vita.Urusi ni sikio la kufa. Atalipwa kwa mauaji yake ya raia haswa wale wanyonge. Shame on them!
===Mengine yabakie ushabiki tu, lakini Russia haitashinda hii vita na wao wameshaliona hilo.
Amejaribu Russia, leta mrejesho!!Mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah.
Baadhi yetu tulikuelewa.Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.
Hana hasara kubwa na mradi huu kwa sababu gharama nyingi inasemwa zilibebwa na German.Ukraine akose mradi wa gas wa Nord Stream 2?..NATO
Leta mrejesho! Rubles iliteteleka lakini ikaimarika Tena!Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .
Ha ha haaaa!!!Mkuu labda kinachokutesa ni ushabiki wako kwa Russia, lakini ukweli ni uleule kwamba Russia anaogopa mno sasa hivi
Mambo vipi master? Nilishakaribia muda tu.
Niambie katika dunia hii ni nchi gani inayoweza kupigana na NATO +MAREKANI +WASHIRIKA WENGINE.URUSI anapigana na nchi zote izo maana kila siku silaha zinaingia UKRAINE.Bado nuclear pekee ndo UKRAINE hajapewa,ila silaha karibia zote kashapewa.
Silaha alizopewa UKRAINE ni zaidi ya silaha wanazomiliki jeshi zima la NATO.
Wakati operation ulifuatilia?
Mrusi mpaka anaingia mlango waKiev ulifuatilia?
Kikao kilichofanyika uturuki cha usuluhishi baina ya Russia na Ukraine ulifuatilia?
Miongoni mwa makubaliano ilikuwa ili maongezi yafanyike Russia alitakiwa na Ukraine asiipige Kiev ndio waongee uliisikia?
Rejesha fahamu zako vzr ili uweze kujua kwanini operation hii ina kauzito kidogo,kumbuka Russia anataka awapige
na kuwatawala na apate muunganiko sahihi sio kuua halafu atawale lzm iwe
ngumu hata kwa baadae
na utambue mrusi ana makombora ya kutosha kwa kila nyumba ikapopolewa na kombora lake na kuua ila hilo kwake
akilifanya mtihani kwenye kutawala
anajitahidi kupunguza chuki kwa baadae
anawapiga,anawatibia na chakula wanapewa na sigara wanapewa wewe ktk maisha yako uliwahi kusikia vita vikipiganwa katika muundo huo?
kuna mazingira Russia anakubali kupoteza askari wake ili kuogopa kujibu jibu litakalokuwa Kali mpaka likaathiri saikolojia za watawaliwa watarajiwa kumbuka kwenye Operation hii Kwa urusi anatumia macho kupiga ijapokuwa kuna mazingira Raia wachache inawakumba lait kama angeamua kupigana kama vita nikuhakishie Ukraine ingekuwa eneo la makumbusho pasi na kutumia nukes Hakuna silaha Russia aliyokosa za ya kuzidi na ufahamu urusi teknolojia ya Silaha ktk dunia ya kisasa yuko mbele nikupe mfano kwasisi tz,silaha tutumiayo kimapigano tumehamia Ak ambayo
ni SMG toka Maca 4 japokuwa zote ni rifle na itafika muda tutatumia mabomu ikiwezekana hata kukamata kibaka
Endelea kukumbuka dunia imehama kiteknolojia kuhusu vita mfano matumizi ya vifaru,kuja javeline imebadili kabisa umuhimu wake na hata Leo kukapiganwa vita baina yetu mfano Kenya na Tz mmoja akawa na javevili tutahama teknolojia ya mapigano bajeti kubwa itahamia Ulinzi fahamu tu dunia inahama zama za vifaru na kuingia kupigwa mpigaji akinywa kahawa mezani na askari wachache wakisafisha kwa miguu,na vifaru vya kisasa kama Armata,nimalizie kukumbusha pia vita ni ushindi haijalishi muda iliyopiganwa
ndio maana na sisi tunajivunia kuwapiga waasi pale Comoro waliokimbia wenyewe.
Karma to allUrusi ni sikio la kufa. Atalipwa kwa mauaji yake ya raia haswa wale wanyonge. Shame on them!
NATO WILL ELIMINATE ZELE THEN TAKE HALF OF UKRAINEZelensky amewafuta kazi Mkuu wa ujasusi wa ukraine na mwendesha Mkuu wa mashitaka wa ukraine.
kwa tuhuma ya maelfu ya wafanyakazi kuisaliti ukraine kila kukicha na hili ndio tatizo la kuanza kuangushwa kwa uongozi wake tusubiri.
source Wion.
ila bbc watawaambia mamia ya wafanyakazi ndio wana msaliti. Baada ya hii wiki kuanza kupelekewa moto na kila vikao wakikaa bomu linatua zelensky ameanza kula watu wake baadae watamla na yeye kichwa.
Fresh mkuu mambo bado in moto Rusia anajimegea tu ardhi ya watu.Mambo vipi master? Nilishakaribia muda tu.
Naona anatuumbua tunaotaka ashindwe🤨
Zelensky amewafuta kazi Mkuu wa ujasusi wa ukraine na mwendesha Mkuu wa mashitaka wa ukraine.
kwa tuhuma ya maelfu ya wafanyakazi kuisaliti ukraine kila kukicha na hili ndio tatizo la kuanza kuangushwa kwa uongozi wake tusubiri.
source Wion.
ila bbc watawaambia mamia ya wafanyakazi ndio wana msaliti. Baada ya hii wiki kuanza kupelekewa moto na kila vikao wakikaa bomu linatua zelensky ameanza kula watu wake baadae watamla na yeye kichwa.