Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Aiseee! Ngoja makomandoo 34 watamleta aje asaini hayo makabrasha! Kwani yako mangapi vile? hahaahhaZelensky hauwawi sio Kwa sababu analindwa na Askari wa kigeni ama Urusi ameshindwa hapana, Yule anahitajika akiwa hai Kwa kazi ya kusaini nyaraka mhimu...
Nimegundua ni kama nchi zote zilitaka ziachane na matumizi ya dollar, but nani atangulie?Swadakta, na hii graph ukii-angalia kwa undani 2000, 2010, na 2020. Upande wa BRICS utaona kuna sharp increase, wakati G7 ni kama wamesimama pale pale.
Mh ila China kiboko [emoji848][emoji23]
Hawajapata tanks na missiles wazopewa ni zilezile tunaita siraha za kawaida na si tegemezi kwa Marekani
Anti Tank missiles si ndo hivi vijuvelline, na antiship missiles sio tegemezi, ukitaja siraha tegemezi za Marekani huwez taja zozote apo,
Naingoja hii SURGICAL STRIKE tuone ina rangi gani?Surgical Strikes
Au ndiyo akili ya yule mnyama sijui nani anaitwa, asiyeelewa mpaka anyofolewe moyo na ubongo?Sahihi, unajua mkuu nafahamu sanctions zinahitaji strategic patience kuonyesha impact, ila kwa hii case naona kama side effect kwa EU na USA zipo kwa kiwango hatarishi, sasa ni kiburi tu ndo kinawafanya waendelee au kuna point wanasubiri ili wachukue hatua?
hahahha Hili neno ^strategy^ limekuwa maarufu sasastrategic patience
Usiamini kila kitu kaka ake. Kauli zingine ni za mfa-maji. Sometimes ukisikia kelele sana, usidhani ni za ushindi. Kelele zingine ni za kukata roho.Leo imefahamika rasmi kuwa Wagner na vikosi cha Chechen ndio vimetumika kwa asilimia 100 kuchukua Luhansk na si majeshi ya Russia.
Kama nilivyowahi kusema huko nyuma kuwa Russia katika awamu hizi za mwanzo yatumia vikosi vyake visaidizi na kweli vimefanya kazi nzuri sana.
Pia leo imethibitika kuwa Russia pia wamewatia mstari wa mbele (frontline) wafungwa wengi na wale watu ambao hawafai kwenye jamii lakini wenye mafunzo kamili ya kijeshi.
Tukumbuke ndugu zanguni, kwamba baada ya kuichukua Crimea mwaka 2014 Russia wallanza kujiandaa na kuikabili Ukraine baada ya kuona ile Orange Revolution na mkono wa CIA nyuma yake.
Ndo maana Putin akaja na ile kauli yake kuwa Russia yenyewe bado haijaingia vitani kiujumla na wajaribu mitambo tu kwanza.
China huyuhuyu aliyekoromewa na US asimuunge mkono Putin last time, naye kwa kukunja mkia, akakimya kimya kabisa?Putin haondoki kizembe namna hio. Watamalizana wao kwa wao maana mrusi akizidiwa tu China anaingilia
Af kwanza hujui maana ya Air defence missile, aya em zitaje
Ndo kitu nachoongea kuwa mashabiki wengi mnaopayuka hamjui vita wala hamjui mliongealo, mnapayuka tu
Imethibitishwa na mjomba wako au [emoji2960]
Ukinuna nakudufua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajapata tanks na missiles wazopewa ni zilezile tunaita siraha za kawaida na si tegemezi kwa Marekani
Anti Tank missiles si ndo hivi vijuvelline, na antiship missiles sio tegemezi, ukitaja siraha tegemezi za Marekani huwez taja zozote apo,
Bado anshangaa ujanja wa ma-konda kukata tickets bila "Paul"CZECH REPUBLIC pekee katoa zaidi ya vifaru 50 kwa UKRAINE.Au umekuja leo mjini
Unauliza picha ya wapi huoni godown mnalotumia kuficha machuma mnayoyaita HIMARS lilivyofumuliwa kama biskuti na Makombora ya UrusiHamna HOWTZER yoyote iliopigwa, ziko 11 tu, hyo picha ya wapi kwanza ww
Uzuri wa Putin anawaumbua wanao vuka redline ya kijasusi wanazo peana hata uwe double agent unapewa masharti lipi useme lipi usiseme - sasa BoJo alijisahau sana sana, kwa kuingiza utani husio na tija - sina shaka alionywa several times lakini kapuuzia - Warusi si wakrupukaji hata siku moja.Ukiona hivyo ujue wameishapata mbadala!
Uswis ina utamaduni wa kutoamini sana nguvu za majeshi hata rais wao anajochanganya sana na watu wa kawaida hana utukufu wa kulindwa sana. Uswis haina raslimali na ina jiografia ya milima na mabonde . Dada hata ukivamia labda ukaishi huko .Naiona NATO ikielekea kuifumua Uswisi soon.
Are you serious?Akichoka tu ndipo sie wazee wa kazi wa NATO tunamrukia kutoka pande zote na kummeza akiwa mzima. Hapa ni suala la muda tu, pale Moscow soon hapatakalika.
Kitu cha muhimu troops wetu wasife moyo, because yajayo yanafurahisha.