Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waliosema Russia anafilisika withing 3 months, mbona walitupotosha sana mpaka sie tumejitumbukiza kwenye vita?

Inavyoonekana, kadiri vita vinavyoendelea ndipo Russia anazidi kuwa bonge la tajiri.
Mambo mengine yanachekesha sana sana, mfano meli zinazo tia nanga kwenye bandari za Urusi tumeambiwa zinaongezeka siku hadi siku - kuna sehemu nimesoma kwamba Saudi Arabia imehamua kununua shehena kubwa ya mafuta kutoka Urusi, juzi hapa Mfalme wa Saudia kamwambia Biden bila kificho kwamba hasimchagulie marafiki,Saudi ina uhuru wa kuchagua yeyote.
 
Your browser is not able to display this video.

Kideo chenyewe hiki hapa
Nalog off Z
 
Mwanzo wa Taifa kuanguka. Sasa rasmi Rais ana maadui wa ndani.
 
Waliosema Russia anafilisika withing 3 months, mbona walitupotosha sana mpaka sie tumejitumbukiza kwenye vita?

Inavyoonekana, kadiri vita vinavyoendelea ndipo Russia anazidi kuwa bonge la tajiri.
Umenikumbusha mchambuz mmoja wa masuala ya kitaifa alikuwa anachambua azam tv sijui alikuwa anaichukuliaje Russia nilikuwa namsikiliza nacheka sana as if as ni mratibu wa NATO saiz kimya
 
Umenikumbusha mchambuz mmoja wa masuala ya kitaifa alikuwa anachambua azam tv sijui alikuwa anaichukuliaje Russia nilikuwa namsikiliza nacheka sana as if as ni mratibu wa NATO saiz kimya
Kiukwel wachambuzi wengi Putin katupiga changa kwa sabab hatukutegemea km ameweza kuchomoka kibabe licha ya vikwazo vyote vile.
 
Ntarudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama iko izo ni story za mtaani wote top5 wenye nguvu za kijeshi duniani hakuna anayeweza kumpandkiza spy ndani ya izo nchi mpaka kufikia kupewa cheo kikubwa kama waziri mkuu , siyo russia kwa Uk na wala siyo Uk kwa Russia jambo ilo ni gumu wote awa wana strong intelligence iyo ni story kama zilivyo story nyingine
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] medved ameshatoa tamko uko yani mkipiga ukraine japo ata tawi la mti tu likikatika ndio itakuwa siku yenu ya hukumu
 
Sema hujui History. Kazi kubisha bisha tu. Soviet ya Russia iliangushwa na Rais. Pandikizi wa USA. Now, yupo USA.
 
Jina limenitoka bro! Huwa hawapewi airtime ya kutosha kuwasikia ni mbinde.

Mwingine huyu mama, nahuyo mzee wa pembeni yake kutoka Ireland Republic ni moto wa kuotea juu ya mti.

Msikie
View attachment 2293876
Yessss, huyo mwamba manywele. Ni balaa sana. Yuko kuke Twitter anakiwasha balaa. Sema na huyo bi dada katrma cheche hatari ni vile tu kuna kundi la wachache linawaburuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…