Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uchawi umemrudia mchawi
Nalog off Z
 
Waongeze na za kwao na wewe uongeze za kwako ili msiwe deceived!
 
South America Washamuona zelensky Ni mzinguaji TU[emoji16]
 
Hii inaitwa jeuri ya fedha
"Nakupinga halafu nakulipa"[emoji4]
 
Kongole Sana,
Bill shaka wee Ni mojawapo wa Pro-nato wachache waliobaki na ubongo vichwan mwao[emoji4][emoji106]
 
Katika vita hii, tunafichwa taarifa nyingi sana na Vyombo vya Magharibi. Ingekuwa kuna uhuru wa vyombo vya habari na taarifa zinatolewa kwa uwazi, vita hii ingekuwa imemalizika kitambo.
Ni kweli tunafichwa mengi khasa idadi khalisi ya wapiganaji wa Ukraine wanokufa.

Lakini ni jukumu lako kuchambua habari hizi na kupata zile ambazo ni za uhakika na hajichakachuliwa.

Russia leo tena wamesema wapiganaji wapatao 300 wamekufa baada ya mashambulizi ya makombora yaloelekezwa kwenye majengo ya shule.

Juzi mkurugenzi mkuu wa CIA amesema kuwa wapiganaji kati ya 100 hadi 200 wa Ukraine wanakufa kila siku!

Hivyo piga hesabu mwenyewe hapo.

Wewe jiulize ni vipi Ukraine iwe inashambuliwa kila siku na hapohapo iwe iko "busy" kuhesabu idadi ya vifo vya askari wa Russia?
 
Ni kweli tunafichwa mengi khasa idadi khalisi ya wapiganaji wa Ukraine wanokufa.

Lakini ni jukumu lako kuchambua habari hizi na kupata zile ambazo bu za uhakika na hajichakachuliwa...
Au, inakuwaje Russia anasema anawaua askari wa Ukraine deile lakini hawaishi wala jamaa Comedian hashtuki?

Huyo CIA yuko fildi Ukraine ama yuko mahandakini Washington DC--taarifa zingine zinaweza kuwa za CIA wa mchongo.
 
Ha ha ha ....
Hungary keshaona usa anawaingiza wenzake mkenge kwa manufaa yake binafs. Hataki ujuha[emoji16]
Hungary ina mkataba na Gazprom wa bilioni 3.5 kwa mwaka kupata gesi. Serbia pia wana mkataba na Gazprom ambayo ndio kampuni ya gesi ya Russia.

Sasa juzi waziri wa mambo ya nje wa Hungary ameomba gesi yenye ujazo wa 700 milioni (cubic). Hungary yatumia mafuta asilimia 6.7.

Gesi hii si tu ni kwa ajili ya mafuta ya magari bali pia kuna gesi ya viwandani, majokofu, mahospitalini na kazi zingine.

Hivyo kila nchi yabeba mzigo wake na shida zake.
 
Au, inakuwaje Russia anasema anawaua askari wa Ukraine deile lakini hawaishi wala jamaa Comedian hashtuki?

Huyo CIA yuko fildi Ukraine ama yuko mahandakini Washington DC--taarifa zingine zinaweza kuwa za CIA wa mchongo.
Ukweli ni kwamba Russia yaelekea kushinda vita yaani kuchukua kiujumla eneo lote ya Donbass, hivyo media ya west haiwezi kusema ukweli huo bali kutafuta "patchy news" za kipropaganda.

Mkurugenzi wa CIA William Burns aliwahi kuwa balozi wa US Moscow kwa miaka mitatu (2005-2008) , hivyo kaongea kwa kufuata analysis yake kwa Putin na amejidhihirisha kuwa Putin si mgonjwa.

Ila habari nyingi za media ya nchi za magharibi zilikuwa zikiwalisha habari za uongo na kipropaganda wananchi wao kwamba Putin ni mgonjwa ana saratani na kadhalika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…