Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sahii kabisa
 
Hio inaitwa war evacuation[emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wanajeshi wanaishi kwa amri,
Mtoa amri Yuko zake Kiev,

Hajui tabu wanazokutana nazo wanajeshi wake uko Frontline.

Yeye Ni kusema TU "tusonge mbele".
Na wao wanatii[emoji38]
 
Kaongea fact tupu[emoji106]
 
Watu wameanza kujitambua na kuiunga mkono Urusi

#YURI ANALYTICS The meaning and context of the news about the newly-formed and trained Odessa Brigade - a Russian volunteer unit comprised of Ukrainian citizens from Odessa and Nikolayev willing to participate in the liberation of their home cities.

Español: @rpd_es
 
Mwanzo wa mwisho wa US na Dola zake umbwa huyu[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua,
USA Ni superpower wa mchongo,
Huyu Putin katufumbua mengi mno,

Kumbe Jamaa ukilia shida,
anaingia stationary anaprint minoti kibao na kukupa Kama msaada kwa masharti ya kubeba rasilimari zako na kuzipa upendeleo kampuni zake.

Hii imemfanya kuzd kuneemeka miaka na miaka kwa shida za waafrika[emoji3525]
 
Kuna uwezekano Urusi kuanzisha mashambulizi ya ardhini kuingia oddesa na mykolaiv ha ha ha ha ha

Jana nilicheka wanajeshi wa Ukraine walikamatwa huko kherson na kuchezeshwa ule umchezo wa kibongo ukuti ukuti ukuti
Ukraine kijesih na kivita bado Sana,
Afu eti Ndo Hawa wamekua wakitrainiwa na USA tangu 2014[emoji848]

Sasa Kama wapiganaji wenyewe waliofunzwa Ndo Hawa,
vipi hao walimu wao wako ktk Hali gan uko wanafunz wao wanazid kuwatia aibu[emoji16]
 
Sahihi MKUU ila hili lakushambulia MOSCOW na St
Mzee hilo hata Elensky sidhanii kama kaishawahi kuwaza
Naakijaribu atajikuta yupo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekua Putin,
Namiminia petroli kabisa Moto uchochee[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…