Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yaani mmeshasahau juzi tu Trump alimtumia Putin kudukua taarifa za uchaguzi wa Marekani na kubadili matokeo ili apite??
Nawasi wasi na Putin kweli we wakuishindw Ukraine?!!!
Unapigana na kamtaa kama kale chaliiiiiiiii!!!
Au niamini kama kweli uliwekwa madarakani na Rais aliyewekwa na Marekani?! Kwamana hiyo unatuonesha mazingaombwe sio
 
Ingawa Credit hupewa walio juu hasa kwa top official ambae ni President. Huyu mzee kwangu ni Hero wa diplomasia.... Mzee Lavrov.



Hekima zake, Jitihada zake, Uzoefu wake na mapenzi yake makubwa kwa nchi yake yamesaidia kwa kiasi kikubwa sana kulinda Image ya Russia SF kipindi hiki kigum kwao ambacho wenye "hati miliki za fikra za watu" (International Media) zikiwa against nao.

Katika battle ya ushawishi huyu Mzee na team yake wanafaa kupongezwa kuliko hata V Putin mwenyewe.

Again kuna huyu mama nae dah πŸ₯°



Wanamuita Maria Zakharova, anazeeka na ubaby face wake 🀭, huyu nae ni kichwa na nusu.

Katika hali ya kisiasa iliyopo Russia me nadondosha nyota 5 kwenye hii wizara. Wewe je πŸ€”
 
They previously accused Russia of deploying child-soldiers.
 
Mungu ajaalie jamaa hawa wapatane kwakweli
Ingawaje ningumu mno mno mnoooooooooo
Ila kupatana hawa kutaharakisha lile anguko la petro dolar[emoji34][emoji35][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nasubilia wanaume waishe nikajiongezee wake nifunge wanne na madhulia kibao.
 
Machumachuma zimekuwa rendered useless
 
Nafahamu weye wafahamu ukweli ila kila wakati waleta matani.

Lakini nafahamu wapenda kuchokoza hoja ili upate madini zaidi.
 
1.Lavrov
2.Maria kama Maria
3.shoigu kama sergei
Hio ndio top 3 yang tokea huko KREMLIN halaf wengne wafuatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…