Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sahii chief,
Uchumi wa ujanja ujanja ufike kikomo
 
Hii inaitwa TACTICAL WISHFUL THINKING! Kimedani katika masuala ya vita, unamwacha adui ajitwalie na kujitawalia kila anachotaka, at least mawazoni mwake.

With unabashed reasoning, anaweza akadhani hata dunia yote iko mikononi mwake. And before they know it, upepo wa kisulisuli na wa kisirisiri unamgeuka.
 
He is probably afraid of the consequences after the war. If nobody else gonna be there, case closed. Mission accomplished.
 
Tactical tawanyika kwa njia saba...lugha ya malkia imeniacha

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
TACTICAL DISINTEGRATION & SPREADING -- Hii katika medani za vita ni pale mnapoihitaji kutumia jeshi dogo kui-activate kwenda kumshambulia adui mwenye watu wengi zaidi.

What happens? Mnaanzisha simultaneous assaults from various locations (disintegration), adui atagawanyika kuwafuateni kila mahali (spreading). Na hiyo itawafanya wawe decimated in every whichway katika manageable namba mnayoweza kuikabili kwa idadi yenu ndogo kwenye specific location mnayotaka kuiteka.
 
Hii inaitwa tactical kidnapped

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
TACTICAL SELF-KIDNAPPING. Pale unapozidiwa vitani au unapoona bosi wako ni hard-headed, comedian asiyeshaurika, japo ni mbabe, so mnaamua kujitegesha na kujikamatisha kwa adui.

Sometimes, tactical self-kidnapping inaweza isihusishe askari kama askari, bali kusalimisha silaha kwa adui na hata kumpa intelligence za harakati zenu na maeneo muhimu ya kutungua such as depots, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ