Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Napendekeza utunukiwe Nobel Prize because uko kwenye the very track ya kufanya phenomenal diagnosis na hivyo ku-solve long-standing problem ambayo imewatatiza sana Wazungu wa Ulaya.

I wish ujengewe sanamu fulani hivi kuubwa, but saruji ngoja bei ishuke kwanza, huku tukikamilisha huu mnara mwingine aliouagiza Bi Mkubwa.
 
Serious! Where are these stories from? Lost martian, or antlantis, or nebura
Very serious Ivi unadhani tungekua weak kama unavyofikiri hao wabaguzi wa rangi wangewafanya watumwa waslav instead of sisi ebu fikiria vyema unakumbuka egypt empaya? Unammbuka ceasa ?

Kuhusu black race kutawala italy,france na spain sio ramani ya sasa ni kwa kipindi hiko unajua europe na morocco zimepishana km ngap?

Unamkumbuka , sundiata?

Bonus kuna mwamba Mansa musa alienda kuhiji macca ila kutokana na utajiri wake aligawa dhahabu kila alipopita mpaka akasababisha mfumuko wa bei ikapelekea alivyorudi kuzinunua izo dhahabu tena ili kustabilize uchumi wa aliko pita alafu unasema nini hiyo ni legacy ambayo hamna mbuzi yyte kutoka race nyingine aliyeweza kuifikia.
 
Ndugu adui mkubwa wa mwafrika ni fikra zake mwenyewe...asilimia kubwa ya mtu mweusi anamtukuza sana ngozi nyeupe yupo radhi hata kimdhuru mweusi mwenzake kwa ajili ya kumtetea slave master wake....hii kitu ni madhara ya institutional slavery, now days mzungu hajitetei kwa uovu alioufanya duniani bali ana kundi kubwa la vijana wenye slave mentality wanaofanya hiyo kazi tena kwa bidii kubwa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hata congo nao wanawasukuma Monusco waondoke Nchini mwao maana hmwananchi hawawaelewi na namna wanavyolinda amani
 
Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
 

Mwisho wao uko usoni ni suala la muda tu kama laiti tungeweza kuishi zaidi tungeweza kushuhudia utukufu wa ngozi nyeusi.

Sisi tumegundua vitu vya busara wao ni maasi tuu au ndio malusifa wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wakati tunapigana na Uganda walikuwa wametuzidi vifaa na teknolojia vita ni zaidi ya hivyo vitu ulivyotaja kama ingekuwa hivyo marekani asingepigwa na Vietnam
Vita ya mwaka 70 huko unafananisha na Leo?

We mzee unajielewa? Morali ni muhimu kwenye kumshinda adui, je pekee inatosha?

Unafahamu tulipandikiza waasi ndani ya Uganda?

Mass mobilization tuliofanya unajua walitoka askari wangapi mpaka wangapi?

Huyo Uganda alikuwa na Teknolojia gani special?

Afrika wote kwenye military doctrine tunafuata tulizoiga ambayo wakati wa Uganda ilitumika ya Mashariki.

Tulipata hasara kiasi gani?

Taja hivyo vifaa na Teknolojia aliyokuwa nayo mganda?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
❗️Lavrov Holds Press Briefing For African Union Permanent Representatives

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov is holding a briefing for Permanent Representatives to the African Union and the media in Addis Ababa on Wednesday.

The top diplomat is on a six-day official tour of Africa, having already completed a visit to Egypt, the Republic of the Congo and Uganda.
 
πŸ†•πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Update of the day from the Kherson front On the last day, the Ukrainian Armed Forces heading towards Kherson lost:
  • 34 people killed and injured;
  • a UAV
  • five armored vehicles
  • a T-64 tankπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Binadamu amekuwa akimyonya binadamu mwenzie toka enzi na enzi, ndicho kitu pekee alichojua katika kukuza uchumi. Na hii namanisha ulimwengu wote kulikuwa na system za kinyonyaji, machifu kuchukua mali za watu ilikuwa kawaida. Ndipo great Britain ikaibuka,ikafunguliwa. ikafinya uwezo wa King kunyonya, wakatambua uwepo wa haki ya msingi ya kumiliki mali kwa kila mwanadamu, haki ambayo hata king hawezi chukua, HUU NDIO USTAARABU WENYEWE. Wakati watu wa mataifa mengine wakiwa manyumbu full kunyonywa na watawala wao.

Ni ushahidi tosha kwamba England ni baba yetu, nakushangaa unaposema ubaguzi, utumwa, kwa taifa yako England ndo nchi ya kwanza kuban utumwa, ikifwatiwa na na Amerika. Pia jua gharama walizoingia haya mataifa teule. Britain ilibidi atumie british navy kuzuia hii trade, Amerika aliingia vita vya wenyewe kwa wenyewe akipigania mtu mweusi aachiwe huru, jamani hivi mnataka Muujiza gani mwingine kutoka kwa my beloved the Great Britain, hivi ni kona gani ya dunia utamkuta mtu atakayepigania kweli hata kama haipo kimaslahi nae, afu leo unakuja kumtusi, SHAMELESS.

NA watu mnajichanganya pakubwa mzungu hakuleta UTUMWA bali alikuta biashara ya utumwa ikifanywa na waarabu wakishirikiana na machief wa kiafrika! Mbona hili lipo wazi. Mbona wanyamwezi wamekamata ndugu zetu wengi tu wakaauza kwa Tip tip na wao kukabithiwa bunduki ili wawakamate wengi zaidi. Mzungu alikuwa haiingii ndani huko kulikuwa na masoko ya utuma kama bagamoyo, hao watumwa walikuwa wanauzwa. Ni unyonyaji wa hao watawala ulipelekea sisi kubaguliwa wewe kiongozi wako anakuuza badala kusema ni kiongozi wako unaanza kurudha lawama kwa mzungu, they were doing business nothing personal wstu wamewekeza ukapige kaxi unaanza lia lia.
 
Inaelekea moto wa jw kibiti ulikugusa sio bure
 


Dmitriy Medvedev in his telegram channel posted 2 maps of Ukraine:

1)In the brain of the President of Ukraine,affected by psychotropic substances,the following picture of the bright future of his country appeared

2)Western analysts believe that this will actually be the case
 


Russian FM Lavrov slams the Western 'rules-based' order at the meeting with diplomats at the Russian Embassy in Addis Ababa, says US/EU sanctions against Moscow are illegal, adds that Russia should not be blamed for everything. He explains that the 'food crisis' is the result of the flawed economic policies of the West, worsened during events in Ukraine, but not directly caused by them.
 
USA Anapewa lift anataka kupiga na honi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…