Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Utumwa kukomeshwa na waingereza ni baada ya kufanya MAPINDUZI ya viwanda na pia kiuchumi wafaransa walikua wanapiga bao kwenye soko kwa mfano bizaa ya sukari wafansa wakiendelea kutumia watumwa kwenye mashamba yao ambayo ilipelekea kuuzwa kwa bei ndogo while wao waliachana na mfumo wa watumwa na kutumia machine ambayo ikapelekea uuzwaji wa bizaa hiyo kwa garama kubwa.

Hapo umepata picha kwamba walisimamia hilo suala kwa namna nyingi moja kuondoa competition kwenye soko la bizaa, mbili mtumwa abaki africa ili awe soko lake na matumizi mengineyo.

Hiyo history yako ni ya wapi? Walimfanya nini Martin luther jr,unajua movement ya back to Africa ya kina Marcus Garvey?

Unajua mtu mweusi hakua anaruhusiwa kupata elimu,kumiliki ardhi,kuo weupe,kumiliki asset ya aina yoyote? Kwenye hiyo ardhi ya marekani.

Biashara ya watumwa ilikua kwa hao weupe ikiwemo wa arabu walioianzisha kwa mara ya kwanza africa.
 
Yugoslavia, USSR.....
 

STUNNING! Massive Escalation of Ukraine War​


Today an elected official from Donetsk, announced the latest plan for Ukraine and it marks the single most stunning change since Russia began its Special Military Operation (SMO).
Denis Pushilin is a politician from the Donetsk region who has served as Head of the Donetsk People's Republic (DPR) since 2018.
He had previously served as Chairman of the People's Council, and became the acting Head of State following the assassination of incumbent Alexander Zakharchenko amidst the conflict in the east Ukraine region. He successfully ran for election to a full term in the 2018 elections.
That being said, when Pushilin speaks, he speaks with authority; he's "in-the-loop" as it was his administration that asked for -- and got -- protection from Russia through the ongoing SMO.
This morning, Pushilin made the following announcement:
โ€œToday it's time to liberate again Russian cities founded by Russian people: Kiev, Chernihiv, Poltava, Odessa, Dnepropetrovsk, Kharkov, Zaporozhye, Lutsk"
This announcement is likely the single most dramatic change since the Russian Army crossed into Ukraine back on February 24. The escalation of ware fare neessary to accomplish this, now seems to fully explain why so many more trainloads of Russia troops and armor poured into the theater of war all last week, nearly TRIPLING the amount of Russian firepower available inside Ukraine.
The war is about to escalate in ways no one thought possible.
 

Hundreds of Chechen Soldiers ready to march to Kiev.Uniforms have patches written "To Kiev."​



Hundreds of new Chechen soldiers are boarding aircraft from Chechnya, wearing black police-style uniforms with large patches on the shirt back saying "To Kiev."
It appears Russian strategy and tactics are escalating severely against Ukraine . . . exactly as has been reported on the Hal Turner Radio Show for days.

UPDATE 8:42 AM EDT --
Video is now available showing the troops:
 

Attachments

  • ChechenTroops-To-Kiev.mp4
    1.5 MB
Kama haziwekwi we umezijuaje!??
 
Mwambie huyo Kuamini kama wazungu wamestaarabika niupuuzi wahali yajuu kuliko upuuzi wenyewe
Kiuhalisia wazungu woooote wanatakiwa waende Afrika tukawape darasa juu ya ustaarabu
Wazungu hawajastaarabika hata robo labda kma hujakaa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wazungu nikiendaga ulaya huwa nawapakia Mkongo mademu wao,nawasugua kwa hasira kweli kweli mpaka akili zinawakaa sawa
Nalog off Z
 
Mwamba kapigwa chini na amri zake za kijinga
๐Ÿ’ข India won't be told what to do. India has taken exception to the โ€œsuggestionโ€ by the US consulate in Mumbai that Russian ships should not be allowed at Mumbai port and has asserted to US that it is โ€œIndia's sovereign right to deal with global partners on national interestsโ€.

 
Malcom x aliwahisema โ€œThe media's the most powerful entity on earth. They have the power to make the innocent guilty and to make the guilty innocent, and that's power. Because they control the minds of the masses.โ€

---America civil war haikutokea kwa sababu northern states zilikuwa zikichukia utumwa bali zilikuwa ni sababu za kiuchumi na kimuungano.
Southern states zilikuwa na idadi kubwa ya watumwa hivyo ziliweza kuzalisha bidhaa zao kwa gharama ndogo kwa sababu watumwa walikuwa hawalipwi. Hivyo ikapeleka hizi state kuweza kushindana kwenye soko la dunia, na baadaye zikataka kujitenga napo ndio ukawa mwanzo wa civil war. Sio kwamba hawa crackers wa north walikuwa wanachukia utumwa .
Kwa hiyo mkuu jaribu kufanya uchunguzi kwanza na kufatilia vizuri historia na usipende kuamini kila unachokiona kwenye media just "trust but verify".

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Uganda nao wamesema hawachaguliwi marafiki,Museveni akaongeza,"adui wa the West sio lazima awe adui wa Uganda!" Museveni aliongea haya mbele ya Lavrov,Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Urusi alipozuru Uganda majuzi.

Museveni is not a President I hold to the highest esteem,ila katika hili kani-impress sana.Dunia naona ina-amka sasa,๐Ÿ‘.Tunasubiri tamko la Tanzania kwa hamu.
 
Wape elimu mkuu inaoneka bado kuna safari ndefu ya kuwa unslave huyu mtu mweusi hasa kwenye ufahamu wake

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wanapenda show za kibabe hauwakomoi hata angalia usijiumize ww apo tuu mkuu๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.
Ila Mkongo shikamoo mpaka mzungu anapiga kelele za pleeeease pleeeease tekere out,Im tired i can't take it any more!
Ila na mimi kesho yake nakuwa nyang'anyang'a kwa uchovu,hahahahaha,siku nikibahatika kwenda Urusi sintowapakia.
Putin piga Gaykraine hao
Nalog off โ€ŠZ
 
Mimi nimeshindikana kote, njoo Quora uone ninavyowaliza Warusi asili, wacha nyie hapo mnaoiga.
Wenye akili, post zako wanazipotezea wanajua wewe sawa na kofia la bati lisilogongewa misumari wanajua muda wowote linaweza kuchomoka juu ya bati ikawa majanga. Na kwa vile bichwa lako sawa na debe tupu, kelele kwako burudani ukishangilia ushindi kumbe wenye akili wamekupotezea.
 
MKUU samahani maelezo zaidi maana nimeaoma tele nasoma na hapa ila sijajua jamaa kalenga nini
Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini, cheki masikini wakiwa mkutanoni, kuna inch zipo kupigwa na kitu kizito, oligach wanatatuta upenyo
 
Bonus kuna mwamba Mansa musa alienda kuhiji macca ila kutokana na utajiri wake

Utumwa haukuanza Afrika

Mwingereza alipinga Utumwa sio kwa sababu anakupenda ila kwa kuwa ilikuwa inampa faida zaidi mfaransa na Mhispania kuliko yeye, hasa kilimo Cha miwa.
Ngaboru hembu mwambie huyu kijisu ya pwani jinsi mansa musaa alivyopata hizo dhahabu nyingi hivyo. Aliokota kwa mikono yake au kuna watu walikuwa wanamwokotea buree tuu.

Pia hembu mniambie au mnionyeshe sultan wa Zanzibar alipokuwa analima sukari mpaka aje kupigwa bsn na mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ