Ule mfumo uliokuwa kwenye ile meli ya urusi iliyozamishwa haukufanya kazi au sio bora?Haya maelezo mengi hayana maana, ungesema tu Russia ni defensive na USA ni offensive.
Ndio maana Urusi ana best mifumo ya kulinda anga kama S300, S400, S500, S550 na huku Wazee wa ugasho Wana Aircraft carrier aka Kambi katoto
Mblock kinyume chake usiumie.Mkuu huwa unaniharibia sana siku kwa comment zako...yaan unakera ile mbaya....sasa unavyosema raia wa serbia wanakubali eu...ww uliingia mioyoni mwao? Ulikusanya sample ngapi ukajua...kuna mijitu ni mipuuz mno..had keroo
Ampinge kutokana na asiyomkubalia na sio kumtukana.Nimelike lakini sijaelewa "kwayo" ni nini mkuu ...
Kwanini utolee mfano marekani ambao tunajua mifumo yao ni ya hovyo?Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.
Ingekuwa Ni 100% usahihi wake wa kikazi basi nchi ya kivita Kama US isingepoteza hat mtu mmoja kwenye Vita huko duniani
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hata wa urusi mtangaza humu.NATO kwa Matangazo. Hakika mmejipanga vizuri. Yaani hata Manati inaweza kupambwa hadi kikosi cha adui kikakimbia
Ndyo maana nakuita mpiga buluji snake [emoji216] ilikuwa mzigo Tu Kwa Rusia haijawai kuwa lengo lake mwanzo WA vita ilikuwa kukuchukia ili kuipunguza nguvu ya Ukrein kwenye kuanzisha mashambulizi Ila haikuwa lengo lake ndyo maana kaondoka.Snake island kama sio muhimu waliteka ya nini. Na mbona wakitandikwa hata hawakuondoka wenyewe, kwani Moskva ilipigwa ikiwa karibu na nini? Si ni hii hapa na machumachuma yao baada ya kupigwa helicopters, air defence system, Raptor boat na silaha nyingineView attachment 2311452
Kyiv walitandikwa vilevile. Huku ndio kufanya mazungumzo? Na kama Kyiv ni kunogesha sherehe mbwembwe zote za misururu ya silaha zilikuwa za nini, kutalii amaView attachment 2311454
Nilikuwa nimeanza kuandaa VISA ya China; by jioni ntakuwa nimejua nijue nini. 🙂Na wao wasipofanya kweli ndo basi tena. Marekani atakuwa amewanyea kichwani na hawatakuwa na namna ya kujitetea kwa ulimwengu maana mikwara waliyopiga ni mingi mno.
Sasa tunasubiri vitendo tu.
^I hope they also buried the body in the sea; just like Bin Laden^Wakuu Salam
Mmesikia US still doing drone strikes in Afghanistan hu? Isn't it pathetic we are cry over Russia all day but we are still bombing countries in the middle east?
Look like the United States intends to divert attention from its wrong foreign policies by announcing it killed the al-Qaeda leader. I hope they also buried the body in the sea; just like Bin Laden.
Kitendo ambacho amefanyiwa na Russia, then Saudi Arabia, then BRICS, then nchi za Afrika, kimemtoa utimamu. Nashauri Marekani apelekwe Mirembe kupimwa kumkichwa.Kama walikua hawajamaliza kilo wapeleka kule c wangebakia
US wamepanic sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ICBM tangu lini ikatumika kushambulia carrier. Unajua CEP ya makombora ya North Korea yale kina Nodong na Pakgungsong sijui nimelipatia jina? Hata ballistic missile au cruise missile ya kawaida haitumiki kupiga meli. Meli inapigwa na anti ship missiles ambazo zinatakiwa kuwa extremely accurate na zina mambo mengi kupitiliza. Carriers zikiwa baharini huwa hazisimami na haziendi kwenye straight line, ili uipige inabidi ujue iko wapi hundreds of kilometres away kisha uwe na real time data na positioning, kisha na missile uliyotuma iweze kuvuka defense zote za destroyers na cruisers ambapo kuna layers kama tatu tofauti. Mwishoni ikutane na CIWS, na missile iwe na speed kubwa au sea sea skimming ya hali ya juu. Sifa ambazo hakuna kombora la North Korea linazo.
Kufyatua makombora baharini na kuyatumia kupiga meli ni vitu viwili tofauti kabisa. Ingekuwa kupiga mjini kuua watu hapo sawa maana litaanguka popote libahatishe
Ni kweli ila si alisema ataneda Japan? Ngoja tuone majira ya jionNaona bibi Nancy anagwaya kuelekea Taiwan. Mwelekeo wa ndege yake siyo Taiwan.
View attachment 2311861
Mkuu nikitaka na mimi nifuayiilie nafanyaje?Naona bibi Nancy anagwaya kuelekea Taiwan. Mwelekeo wa ndege yake siyo Taiwan.
View attachment 2311861
Ni kweli! Iran alipiga kambi ha kijeshi ya Marekani pale Iraq mwaka 2019, ile kambi ni kubwa kuliko zote pale Mashariki ya kati na inavifaa vyote vya ulinzi wa anga! Jaribu kujiuliza licha kuwa walijua kama Iran watashambulia lakini bado makombora ya Iran yalipita!Pengine usichokijua mkuu Ni Kwamba Hakuna mfumo ulio na usahihi kwa asilimia 100 dhidi ya makombora au ndege Vita.
Ingekuwa Ni 100% usahihi wake wa kikazi basi nchi ya kivita Kama US isingepoteza hat mtu mmoja kwenye Vita huko duniani
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kufika Taiwan anafika leo hii na hakuna lolote litafanywa na China.Naona bibi Nancy anagwaya kuelekea Taiwan. Mwelekeo wa ndege yake siyo Taiwan.
View attachment 2311861
Mkuu nikitaka na mimi nifuayiilie nafanyaje?
Level zipo hiviMKUU sijui kwawenzangu wanaweza wakajua ila binafsi sijui juu ya hilo
Ila kwamaoni yangu binafsi nahisi hakutakua nautofauti wowote na partnership nyengine sijui kwenye muundo nauendeshaji
Pia namjni hizi partnership zinatakiwa tu kua na taasisi imara ili zijiendeshe
Mwisho naiona USSR ikirudi kwanamna nyengine kama BELARUS atajiunga na RF ukijumlisha na yale maeneo yanayodokolewa kule kwenye SMO
Haya mawazo mitazamo namaoni yangu MKUU Bugucha ila swali lako sina uelewa nalo nadhani wajuvi ulowatag nausio watag watakujibu pia watanieka sawa namie nijifunze kupitia swali lako MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app