Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Oyaaa China katupiga na kitu kizito leo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
This man kaongea kile nawaza pia πŸ˜‚

πŸ”΄ The winner of the US provocations towards China is.. Russia. Xi will never forget what the US did today and we can fully expect economic measures which will crush the Western economy in aspects China decides on. This is all playing into Putin’s hands & further complicates the situation for the US and EU. China’s soft power is more scary for the west than any military skirmishes. USA’s biggest nightmare with Russia is Chinese assistance to russian economy. China knows this and so does Putin.

Putin is on top once again

Slava vladimir
 
Hii ziara ya Pelos itampa akili China jinsi ya kuishi na mabeberu, kama Urusi alivyopata akili ya kuishi nao mabeberu baada ya kuibeba Crimea..

Wiki kadhaa zilizopita kiongozi ngazi ya juu wa CIA alisema China inaangalia mzozo wa Russia na Ukraine Kwa jicho la mwewe kuliko nchi yoyote duniani.

Marekani wameamua kumuwahi Mchina kabla hajala nondo za kutosha toka Russia.

Mtihani mkubwa wa China Kwa sasa ni jinsi gani anaweza kusonga mbele bila Marekani..
 
Yah Rusia atapat full support ya uchina saivi kma China angeingia vitani Leo ingekuwa ushindi mkubwa kwz marekani Ila Kwa alichokifanya China ni big loose Kwa west na chumi zao ziko htrini zaidi
 
Mkuu sijawahi kuchangia huu Uzi ni msomaji tu na pro east,nakuhakikishia wewe ni kama Mimi tu napenda ugomvi sana ila china Leo kazingua sana sijui atafanya Nini nimuelewe mbwa huyu.
Uchina katudhalilisha sanaaa
Angekaa tu kimya pumbav zake[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa upo sahihi
Ila haiondoi ujinga wa uchina angejikalia zake tu kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli sawa. Ila China ajue kuna hundreds of JF members hawakwenda job kwa wiki sasa ili wafuatilie kwa kina shughuli ya zile zana zinatembea nchi kavu, zinatembea juu ya maji, na zingine zinatembea nchi kavu, zinatembea angani.
 
You have earned my positive VOTE plus all those of my friends--whether they like it or not. I suppose no one could have said it so beautifully!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Duh kawapiga dongo kunako aisee πŸ˜„πŸ˜„
 
Sasa walipeleka Yale mavifaa ya kijeshi kufanya nini wkt kichapo kulikua hakipo kwny Mpango wao?

Aisee nimeikubali Russia kumbe walifanya maamuzi ya kiume saaana,yaani mnooo.Sasa hivi ndio nimezidi kuwakubali maana nimejionea mchina alivyokua Mchele Mchele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…