wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Duh Xi Jinping ameanza maneno ya motivational speakers Sasa.π¨π³πΊπ²πΉπΌ President Xi Jinping on Pelosi's visit to Taiwan:
βWe continue to look at the world with wide eyes so as not to miss a single provocation by American reactionaries. Pelosi's visit to Taiwan is yet another demonstration of the uncivilized campaign of the imperialists and the victory of the Chinese Communist Party."
To some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional π...
Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.
Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.
1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.
Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?
Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?
2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?
Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.
Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.
Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.
Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.
Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.
Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.
Sie tuwe observers tu inatosha!
Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.
Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.
Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.
Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.
Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
Duh kwa mikwara China haitofautiani na wale jamaa zetu wa fire hapa bongo,unawakuta njiani wamewasha king'ora na wako Kasi kishenzi njia nzima wameachiwa wao afu wakifika eneo la tukio unakuta Gari Lao halina maji ya kuzima Moto ππππ
GeniusTo some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional [emoji1]...
Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.
Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.
1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.
Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?
Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?
2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?
Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.
Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.
Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.
Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.
Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.
Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.
Sie tuwe observers tu inatosha!
Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.
Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.
Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.
Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.
Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
Ndo hapoYaan na ninyi mlitegemea Vita itokee kwa huyu Bibi kutua Taiwan!?
Usimuite puto because herufi zinagongana na jina la superpower.Halafu nashauri atolewe kwenye list ya Super power , tuliamini ni mkubwa kumbe ni PUTO tu
Daaaaaaah!!! Umepatia kabisa.Duh kwa mikwara China haitofautiani na wale jamaa zetu wa fire hapa bongo,unawakuta njiani wamewasha king'ora na wako Kasi kishenzi njia nzima wameachiwa wao afu wakifika eneo la tukio unakuta Gari Lao halina maji ya kuzima Moto ππππ
Katika kitabu Cha Art of war Cha Sun TzuTo some point bado niko na view tofauti na wenzangu hapa. Most katika mnaoiponda China naona mko too emotional [emoji1]...
Me nahifadhi ulimi wangu nasubiri end result nitakuwa na la kuongea, huwa sipendelei kuzungumza kitu later nikirudishe kinywani.
Kuna maswali mkitulizana mnaweza kukaa kuyatafakari kama mkiweza.
1. Sote twajua kua US hegemony is collapsing, Je US akipoteana nani will come next? Probably ni China ambae ndie second in term of economy.
Sasa hapo em tujiulize kwanini US akaamua kama mbwai na iwe mbwai kwenda mazima kumchokoza wazi China huku dunia yote ikiwatizama?
Kwa upande wenu wadau hamuoni ni kama US anatafuta wa kudondoka nae kwenye korongo alilopo?
2. We all knows part wanayo play China na Taiwan kwa pa1 kwenye Global economy. Kama hali kwa Russia mmeiona ilivyokua hadi uku tunaisoma number. Hapo ni kwenye energy pekee vipi China na Taiwan nao?
Hii mbona nayo pia kama yafanana vile na kile ambacho tunaweza kukitafsiri US anatafuta wa kushuka nao kwenye korongo alipo. Hapo tusisahau Quarter zote hizi 1 na 2 za mwaka huu uchumi wa US unasoma negative growth.
Tukiacha zile mbwembwe alizofanya China kuna kitu me naweza kukisema kwa udadisi wangu mdogo huu nilio nao. Kuna ule msemo unasema usimpe adui kile anachohitaji.
Hicho nahisi ndicho China kaamua kukifanya, hapa nifahamike vizuri. Sio kwamba namtetea China ila najaribu kuwaza nje ya box.
Inaonekana kama US alikuwa anataka direct war with China akiwa na sababu zake na akitaka kuitumia hiyo Chance ya uchokozi akiamini wazi China atareact kwa shambulizi dhidi yao hivyo yeye kupata justification ya kuwazoa nduguze wote waingie hapo kuibomoa China. Ambae of course ndie back up in term of economy ya taasisi nyingine ambazo US na team yake hawamo.
Kwa tukio la leo kama ambavyo Russia aliondoka Kiev kimkakati. Naamini kuna jambo anakuja nalo China dunia haitaamini. Simtetei China ila daima huwa na mashaka sana na maamuzi ya watu wakimya wasio penda kuongea ongea sana kama Putin na Xi.
Let us not forget nenda kote duniani aliye fanikiwa kusimama kidete against US kiuchumi toka kuvunjika kwa USSR ni China pekee, na hawakufika hapo bahati mbaya. So tusiwa overestimate wala kuwa underestimate. Tukae zetu kati tu.
Sie tuwe observers tu inatosha!
Mda una majibu mazuri tuupe nafasi yake. Tusiwe wepesi w kuhukum.
Nyongeza ya maelezo, Kwa wale wapenzi wa Multipolar inabidi tushangilie hizi ***** ***** za US na China. Why?, Ni hivi wadau, mvurugano zaidi wa US na China utazidi kumsogeza China karibu na Russia.
Mvurugano zaidi wa Russia na US utazidi kumsukuma zaidi na zaidi Russia kwa China. Hii combo ya Superior Military (Russia) na Superior Economy (China) ndio tunayo ihtaji wapenda multipolar.
Hii visit ya huyu bibi inazidi kukoleza speed kwenye mteremko katika kuharibika kwa Unipolar world inayoisumbua dunia.
Mawazo yangu hayo mwenye mtazamo tofauti anakaribishwa.
Halafu nashauri atolewe kwenye list ya Super power , tuliamini ni mkubwa kumbe ni PUTO tu
Sasa walipeleka Yale mavifaa ya kijeshi kufanya nini wkt kichapo kulikua hakipo kwny Mpango wao?
Aisee nimeikubali Russia kumbe walifanya maamuzi ya kiume saaana,yaani mnooo.Sasa hivi ndio nimezidi kuwakubali maana nimejionea mchina alivyokua Mchele Mchele.
Wadau mie bado nasisitiza tuweke na brake kwenye hisia zetu kisha tusubiri end results naamini tutakuwa na mengi ya kuongea.Duh kwa mikwara China haitofautiani na wale jamaa zetu wa fire hapa bongo,unawakuta njiani wamewasha king'ora na wako Kasi kishenzi njia nzima wameachiwa wao afu wakifika eneo la tukio unakuta Gari Lao halina maji ya kuzima Moto ππππ
Nimegundua kuna watu humu ni maafisa waliofuzu kwenye masuala ya jeshi. Aisee! Mnaifanya JF ivutie kweli. Unacheka hadi unasahau kama uko duniani.China wamebaki na misemo yao ya kihenga na kiuhakika wanayo mengi.
China imeshadharaulika, inaonesha si mshirika wa kumwamini hususani ushirika wa kijeshi.
UK ilipojaribu kuvuka mipaka ya bahari na kujaribu kuingia Russia kilichofanyika Russia alipiga risasi za onyo kuonyesha ukithubutu tunafyatua kitu kamili.
Jeshi la Marekani lilipojaribu na merkebu yao kuingia mipaka ya Iran, jeshi la Iran liliwadhibiti na kuwaweka mateka.
Russia ilipoivamia Georgia makamanda wa NATO wakasema wanampa Russia juma moja! Russia ikajibu tunawasubiri. NATO haikuthubutu!
Kipindi cha Obama Marekani iliingia kwenye mgogoro mkubwa na North Korea. Kim akafunga balozi zote nchini mwake na kutangaza anajiandaa na vita na yupo tayari kwa lolote. Akasema ndani ya dakika 30 vita ameshaimaliza. UK iliingilia kati na kutaka huu mgogoro umalizwe kidipolmasia.
China huo ubavu hana! Ubavu huo alikuwa nao Mao ze Dong.
Kweli! Kwa nini Beijing walipiga kelele vile?Kaposti nyingine π€£π€£π€£π€£π€£π€£
"Well, why was it so much to catch up with horrors, scare people, raise a fuss when it was so easy to let the poor old woman fly to Taiwan? β Kadyrov.
PATRON - Subscribe
Backup channel - Subscribe
Mkuu unauliza swali jema. Nahisi walitaka kutisha kidogo. Ila wamtishe nani wakati wanakusanya vifaru barani wakati adui yuko kisiwani na hawana uwezo wa kupeleka vifaru huko???Sasa walipeleka Yale mavifaa ya kijeshi kufanya nini wkt kichapo kulikua hakipo kwny Mpango wao?
Mkuu unaona kweli nchi moja ina haki kutisha nchi nyingine kwa sababu inajisikia nci ile inapaswa kutii matakwa yake? Siyo hii ni ufafanuzi wa ukoloni? Ni dhahiri watu wa Taiwan hawana hamu hata kidogo kumezwa na China. Je wana haki kuendelea njia zao ilhali hawatishi jirani China??Wadau mie bado nasisitiza tuweke na brake kwenye hisia zetu kisha tusubiri end results naamini tutakuwa na mengi ya kuongea.
Namna mnavyoisakama China ni kama namna pro West hapa wanavyo usakama ule msururu wetu wa Kyiv enzi hizo.
Tujaribu kwenda nje ya box kidogo kuwaza why hivi ama why vile.
Naongezea tena neno, tusisahau Taiwan na China ni ndugu kama Ilivyo kwa Ukraine na Russia.
Imechukua miaka 8 kwa Russia kuamua kumchapa rasmi Ukraine baada ya ile Maiden Coup ya 2014.
Hebu tuizoom na Issue ya China hapo Taiwan kwa jicho la ziada. Kuna mengi naamini tutayaona.
Kuna Australia, kuna Uk.Oyaaa China katupiga na kitu kizito leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Marekani coz wako vitani bila kupumzika kwa miaka 75+ sasaKwanini utolee mfano marekani ambao tunajua mifumo yao ni ya hovyo?