Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee unafanya mazoezi ya boxing.... Fanya mechi ya kirafiki na Mandonga Mtu kazi😁😁
 
Marekani anakwambia yeye yuko juu ya sheria; unafuata anachotaka yeye, utake usitake.
 
Mkuu kuhusu unafiki unasema kweli. Nchi nyingi duniani wanaona Taiwan na China ni nchi mbili tofauti. Lakini kwa sababu ya ukubwa na umuhimu wa uchumi wa China bara wanapiga magoti na kuimba wimbo la "China moja". Hata hivyo wengi wanategemea Taiwan ambaye ni mtengenezaji wa Chips za kompyuta za kisasa. Hapa ni kiongozi kimataifa hata kushinda Marekani na Korea.
 
Uko sahihi. Ila why China alete mbwembwe zote zile?
Attention ilikuwa haina maana kwasababu hata Taiwan naye ashajua mpango wa China kuwa yupo tayari kijeshi kukamata Taiwan yote unafkiri vikao vya west vitaisha hapo Taipei? No. Is the beginning of new era.

Jana Taiwan ndo walikuwa wa kwanza kurusha warning fires. Maana yake they are ready to die. No one predicts what comes after death, is hell or paradise.
What is next? HongKong. James Wong mwengine akianzisha tena maandamano itakuwa hapakaliki. It is chain reaction of many events from now onwards
 
Hongera kwa uchambuzi murua kabisa mkuu,walau fundo la hasira limenishuka kidogo.
Kwa kuongezea tu,Mimi nahisi Marekani baada ya kuonyesha udhaifu wake Ukraine,alitaka kujisafisha kwa China.
Na alikuwa amepanga kweli ampige China kwa sababu nahisi anajua kabisaa Xi ni mdhaifu wa vita au hana ujasiri wa vita loz ata lose. US hawezi kufanya hivi kwa North Korea, NKorea has nothing to lose when it comes to their territorial integrity and their dignity.
 
Hivi unafikia kweli kusema kuwa marekani atampiga China?China ni ya 3 kijeshi na wananuclear wanauwezo wa kuipiga marekani.
 
Hammaz hata ukiwa mjeda kuna shida gani anayoweza kuipata mtu.
Halafu mbona wajeda wengi wajanja na wasomi. Au kuna kitu sijaelewa.
 
Mda ni mwalimu mzuri bro, tufanye kusubiri majibu tutayapata. Hapo hapo Wakati unajiuliza kwanini mikwara yote ile jiulize pia kwanini msafara wote ule kwenda Kyiv kama hawakuwa na malengo ya kuichukua Kyiv?

Hizi ni Geopolitics, wanazielewa kinaga ubaga wanaozifanya sie tutaishia kuzungumza assumptions nyeupe nyeupe.

Hivi unafikia kweli kusema kuwa marekani atampiga China?China ni ya 3 kijeshi na wananuclear wanauwezo wa kuipiga marekani.
Naam, Mkumbushe wakati huo haitakuwa Vita ya US na China bali NATO nzima vs China.

Je kwa position aliyo nayo China anaweza kwenda nao manda manda huo mkusanyiko wote? Cuz we knows hakuna sehem US aliposhiriki peke yake bila mashoga zake.

Binafs, I'm glad China jana haku'react, in turn kawanyima the Collectives west kile walicho kihitaji. Wangetuharibia OP yetu pale Ukraine. Maana back up yetu ya sanctions ingekuwa inashughulishwa kitu ambacho kisingekua rafiki kwetu.

Kila kitu kitaenda slow but sure hakuna uharaka wa kuipiga Nyundo Nguruwe inayojifia taratibu.

Geopolitics hazipelekwi kwa mihemko. Xi sio Comedian Zelensky wa kuangamiza taifa lake baada ya kujengwa miaka yote hiyo kisa kile kibibi ila Onyo as a President katoa na wameionesha Dunia sababu za kwenda against US kwasababu ya Tabia zao za kindezi.

Zaidi wamepata sababu za kuishughulikia Taiwan rasmi, Unafikiri walichoanza kukifanya kuanzia jana usiku hadi sasa wangeanza vipi kama huyo bibi asingetua hapo Taiwan?
 
Mdogo wetu unajitahidi 🤔
 
Hivi unafikia kweli kusema kuwa marekani atampiga China?China ni ya 3 kijeshi na wananuclear wanauwezo wa kuipiga marekani.
All battles are first made and won in mind.

Vita ingeanza jana China angelose big time.
US wamempelekea Vita nyumbani. China hakuwa na intel ya ujio wa Pelos jana hapo tayari alishashindwa.

Au hukuona, eti jana ndo anapeleka vifaa vita.

Ilitakiwa wiki nzima wamefunga Taiwan strait, live fire exercise, angepitisha ICBM juu ya Taiwan alarm zikalia kama North Korea alivyowafanyia Japan.

Jeshi lingeingia Taiwan 24 hrs. Wangeshika tower Polosi akija wangemuongoza na bomber zao kwenda Beijing anatua halafu wangemuongoza tena kuingia Taiwan.
 

China Opens Corridor for Pelosi to LEAVE Taiwan; She has departed​

AUGUST 2022
China and the US worked out a safe flight corridor for Speaker Nancy Pelosi so her US Air Force plane could safely depart from Taiwan. Reports are coming in as of 7:30 AM EDT that the Speaker's aircraft has, in fact, safely departed.
US House Speaker Nancy Pelosi concluded her controversial visit to Taiwan, with a plane carrying America’s third highest-ranking official taking off from Songshan Airport in Taipei on Wednesday.
Pelosi arrived on the self-governed island on Tuesday despite stern warnings from Beijing, which views Taiwan a part of its territory under the One China policy.
During her short stay in Taipei, the House speaker promised that the US “will not abandon our commitment to Taiwan,” describing it as “one of the freest societies in the world.”
The 82-year-old addressed the local parliament, held a meeting with the island’s leader Tsai Ing-wen, and was awarded with the one of Taiwan’s highest civilian awards – the Order of Propitious Clouds with Special Grand Cordon – for her firm stance in “safeguarding freedom, democracy and human rights.”
The Chinese Foreign Ministry has condemned Pelosi’s trip, saying it “seriously infringes upon China's sovereignty and territorial integrity” and will have a “severe impact on the political foundation of China-US relations.”
 
I humbly supported the Chinese decision Ila why ile mikwara. Mi nafkiri mikwara ilitokana na kukosa details. Nafkir China hajawekeza sana ktk military intelligence ilitakiwa ajue kuwa US walishafanya maamuzi ya vita kabla ya jana. Hapa ndo panaponifikirisha. China asitegewe ktk vita.
 
Sio China opens corridor for Nancy to leave Taiwan...! waache kusema hivyo.
 
Vipi kama nao waliamua kumuingiza US chaka kama tulivyofanya kwa Ukraine kuwaaminisha tunaitaka Kyiv kwa ule msafara wetu kumbe hatuna habari nayo kwa wakati ule?

Huu mfano naurudia mara kwa mara kwasababu umenifundisha kitu cha muhim sana.

So what if China aliamua kushupalia lile swala, akijua US ni mpenda ugonvi atalazimisha kwenda Taiwan. Then akienda wao itawapa kila sababu za kuanzisha kile walichokua wanakitaka hapo Taiwan?

Alichokifanya jana Pelosi kwani kisingewazakana hata kwa mawasiliano ya kawaida kwa sim au n.k?

Again tena bro we unafikiri kwa alichokianya US ataendelea kuwaambia akina nani juu ya kuheshim sovereignty ya mataifa mengine?

China ataonekana mwoga ila upande wa East hasa Xi na Putin washajua west wana ombwe la nini... Ubabe usio na tija na kwasababu hawafikirii mara 2 mbili naona kama kila kona wanaingizwa mkenge.

Hakuna shambulizi la kuambiwa utapigwa kwa namna hii hadharani tena mbele ya Media kwa adui yako. Kipigo huwa ni siri ili usitafute njia za kujihami.

Tuendelee kula mtori matarajio ya ujio wa Multipolar yanazidi kuongezeka. I don't know why nawaamini sana upande wa mashariki.

Kila Chess Move yao kwangu Bingo, ha ha ha yani ipo nje ya matarajio ya walio wengi na of course unapomkosesha adui yako kujua next move yako ndio ushindi wenyewe.

Like penalty shoot, unamuhadaa kushoto ajabu unapiga kulia, Una score muruuuua kabisa washabiki tunaamka kwenye viti.

Chonde chonde tutulieni wakati wapishi wetu wako jikoni 😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…