Mkuu unamaanisha ahadi gani katika mapatano gani? Sikumbuki mkataba ambako Ukraine ilitia sahihi kutojiunga na NATO. Ukiweza kuutaja nitashukuru sana!!Na kwa bahati Mbaya Ukraine ilivunja ahadi yake kwa kutaka kujiunga NATO.
Ni sawa na mdogo wako wa damu umlee kwako toka mdogo kisha akishakuwa mtu mzima arubuniwe na jirani yako mwingine mwenye wivu na chuki zake juu yako avunje nyumba yako mnayoishi kwa kuwa amehaidiwa atasaidiwa kujenga kwake.
Kwenye kugundua hio njama unaamua kumtia kolokoloni kisha watu waje juu kuwa unamuonea mdogo wako.
Mkuu mantiki yako kuhusu faida za bei nafuu inaeleweka. Ila najiuliza je kuna sababu gani kuona tofauti kati ya Urusi na wabeberu wengine? Je nani beberu mkubwa kuliko Urusi?Mkuu naomba nikuambie kitu ambacho nadhani hujakijia.
Kauli ya kwanza ndio kauli halisi.
Museven alipokutana na Sergei Lavrov alimpa kauli halisi kabisa kua Afrika itasimama na Urusi kwa kuwa Afrika na Urusi zimetoka mbali,na mabeberu hawana uhalali wa kitichagulia rafiki,ama Adui wa mabeberu sio Adui wa Afrika.
Hii ndio kauli ya kwanza ya museven.
Kauli ya pili ya Museven sio halisi kwa sababu ametishiwa,au waafrika tumetishiwa na Marekani.
Kwa hiyo kwa unyonge wetu waafrika imebidi museven aongee kwa kuogopa vitisho vya Marekani.
Ni akili ndogo TU.
Je Kuna mtu atakataa mafuta ya Bei rahisi ya Urusi kwa sababu ya Ukraine?,halafu aende akanunue mafuta ya nchi nyingine kwa Bei ghali?
Ikiwa matajiri India na china wanachamgamkia mafuta ya Bei Chee ya Urusi,sisi Afrika ni nani?au Uganda ni nani?ana Nini?
Kama ukielewa andiko hili nadhani utajua kuwa, Museven kafunika kombe mwanaharamu Marekani apite.
Kama huijui Africa kuwa ni bara la machawa basi utateseka sana. Museveni hawezi kuwa upande wa Marekani hilo hata Putin anafahamu na ndio maana walienda Direct kwa Museveni.Mbona ziara ya Lavrov tayari imeshafeli? Hapo hata ziara ya USA bado haijaanza.View attachment 2318974
Tz hata ile ajali ya ndege ya watu wengi. Sisi pekee ndio tulio kosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa report kamili ya idadi ya wapiganaji wa nje (Mercenaries) walioingia kupigana upande wa Ukraine.
Report inaonyesha kulingana na nchi idadi walioingia, waliouawa, waliokimbia na waliobaki.
Mfano: Kati ya wapiganaji 565 kutoka USA, 241 wameuawa, 243 wamekimbia na kubaki 81.
Hizo namba za kijani na nyekundu pembeni na chini ni mabadiliko kati ya tarehe 5 August na tarehe 7 August.
View attachment 2319031
Tuko vitani na CCM kuhusu katiba mpya toka 2O1O yani. Game inatakiwa iishe hii.Tanzania tupo vitani mwaka wa ngapi huu?
Kweli kabisa nakumbuka sana matukio haya.Mkuu pia kumbuka US haohao walikwenda Ukraine kujifunza jinsi S-300 inavyofanya kazi kama sikosei walikua na Israel[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316].
Unakumbuka US kumtisha Turkey asinunue airdefense S-400 ni nini anaogopa???
Da maswali mengine bana.Mkuu mantiki yako kuhusu faida za bei nafuu inaeleweka. Ila najiuliza je kuna sababu gani kuona tofauti kati ya Urusi na wabeberu wengine? Je nani beberu mkubwa kuliko Urusi?
URUSI sio beberuMkuu mantiki yako kuhusu faida za bei nafuu inaeleweka. Ila najiuliza je kuna sababu gani kuona tofauti kati ya Urusi na wabeberu wengine? Je nani beberu mkubwa kuliko Urusi?
Museveni ana tabia kama za rais wa uturuki Kuna kipindi alipitisha Sheria Kali Kwa mashoga lakini marekani alipomtisha akabadili msimamoMkuu naomba nikuambie kitu ambacho nadhani hujakijia.
Kauli ya kwanza ndio kauli halisi.
Museven alipokutana na Sergei Lavrov alimpa kauli halisi kabisa kua Afrika itasimama na Urusi kwa kuwa Afrika na Urusi zimetoka mbali,na mabeberu hawana uhalali wa kitichagulia rafiki,ama Adui wa mabeberu sio Adui wa Afrika.
Hii ndio kauli ya kwanza ya museven.
Kauli ya pili ya Museven sio halisi kwa sababu ametishiwa,au waafrika tumetishiwa na Marekani.
Kwa hiyo kwa unyonge wetu waafrika imebidi museven aongee kwa kuogopa vitisho vya Marekani.
Ni akili ndogo TU.
Je Kuna mtu atakataa mafuta ya Bei rahisi ya Urusi kwa sababu ya Ukraine?,halafu aende akanunue mafuta ya nchi nyingine kwa Bei ghali?
Ikiwa matajiri India na china wanachamgamkia mafuta ya Bei Chee ya Urusi,sisi Afrika ni nani?au Uganda ni nani?ana Nini?
Kama ukielewa andiko hili nadhani utajua kuwa, Museven kafunika kombe mwanaharamu Marekani apite.
Marekani imewahi kuzitisha hata India na china juu ya mafuta ya Urusi,lkn kwa vile India na china ni matajiri wamempuuza.sasa anaonea vidagaa.
Mkuu ongeza karne 985 647 858 035 547 mbele, madaraka matamu sana Katiba mpya ni kitendawili.Tuko vitani na CCM kuhusu katiba mpya toka 2O1O yani. Game inatakiwa iishe hii.
Naam vitasa murua kaibisaaKipigo tulivu cha mahadhi ya Zouk [emoji23][emoji23][emoji23] kama Adeba ya Monica Seka
Kwaheri paris[emoji23][emoji16][emoji14][emoji122][emoji122][emoji845][emoji635][emoji3575][emoji576][emoji1159] Russia has handed over military helicopters and planes to Mali[emoji845]
View attachment 2319383
The Russian Federation has transferred several Su-25 and L-39 attack aircraft to Mali, as well as several Mi-8 and Mi-24 helicopters.
Russia's military-political presence in North-West Africa creates the prerequisites for further weakening of the role of France in Africa
Wakuu sababu za Marekani kupinga ununuzi wa S400 na nchi rafiki zinaeleweka.Kweli kabisa nakumbuka sana matukio haya.
Nulishaiandikia Hadi thread hii.
USA na Israel walienda Ukraine kuisoma S300.
Pro NATO hawalijui hili
Na sio Turkey TU,Bali USA aliwatishia India,china na saud Arabia wasinunue S400.
Hofu Yao ni Nini?
Mie sijui.
Urusi mbabe bana,Hapa alipo anapigana na NATO wote kupitia ukraine.na anawatuliza.
Kazi inaendelea
View attachment 2319385