Njaa hainaga baunsa, vita ya mfungo na kula havinaga mshindi πBaada ya njaa kali mashirika ya ndege Ulaya yaanza Safari za kwenda Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91]View attachment 2319244
Don't shout, argue your case...Poleni sana enyi walamba viatu wa Putin.., upepo umegeuka Sasa..,tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.
Kiufupi ni kwamba; dikiteta Putin na mafashist wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu niliuliza je kuna mkataba gani uliosainiwa na Ukraine ambako iliahidi kutojiunga na NATO. (sisemi kwamba Ukraine inatakiwa kuingia lakini hapo hatujadili hisia zetu. Kuna mikataba ya kimataifa, niliuliza kuhusu mikataba).Je, unaelewa maana ya NATO should never make further eastward expansion? Mbona wenye Kipala wanakuwaga na miakili sana mkuu?
Au tuseme tu kwamba kuna BEBERU HALISI (Mmagharibi) na BEBERU WA HESHIMA (Russia).Mkuu jibu lako lingekuwa sahihi kabisa kama "beberu" ni matusi tu. Hapa ungekuwa huru kuitumia jinsi unavyopenda. Mimi najua ufafanuzi wa BAKITA unaosema "taifa linalopanua madaraka yake kupitia ukoloni kwa kutumia nguvu za kijeshi au njia nyingine". Kwa hiyo ni neno lenya maana yake kama tunapenda au tusipopenda. Linalingana na tabia za Urusi, zamani pia za Uingereza. Unafaa pia kwa Marekani.
Urusi iljenga himaya kubwa za koloni katika karne 5 zilizopita. Kutegemeana na namna ya kuhesabu ilishnda au kushindana hata na Uingereza. Tofauti na Uingereza inashika sehemu ya maeneo iliyotwaa kama koloni hadi leo katika Asia na sehemu za Ulaya. Sasa hivi inajaribu kurudisha ukoloni juu ya Ukraine.
Sijui nani beberu kuliko Urusi?
Mkuu ukipendelea kupigwa na beberu wa heshima, hakuna anayeweza kukuzuia.Au tuseme tu kwamba kuna BEBERU HALISI (Mmagharibi) na BEBERU WA HESHIMA (Russia).
Marekani ni taifa kichaa, anakataza wenZie jambo akiliita ubaya ila akifanya yeye wenzie waone sawa, Dj niletee Putin kwa miondoko ya Sarmat-2Huo ndio unafiki wa Magharibi sasa. Huku anadai Ukraine iachwe huru ijiamulie ipendavyo, then anavunja msimamo uleule kwa kuzikataza nchi zingine zisijichagulie marafiki wanaowapenda wenyewe.
These things (should) make any sane and sensible person sick & tired of that horrible monster!
Labda hujui kusoma bwana Kipala . Huwezi kutofautisha NO FURTHER EASTWARD EXPANSION FOR NATO na suala la Ukraine kujiunga na NATO.Mkuu niliuliza je kuna mkataba gani uliosainiwa na Ukraine ambako iliahidi kutojiunga na NATO. (sisemi kwamba Ukraine inatakiwa kuingia lakini hapo hatujadili hisia zetu. Kuna mikataba ya kimataifa, niliuliza kuhusu mikataba).
Don't shout, argue your case...
πππMkuu ukipendelea kupigwa na beberu wa heshima, hakuna anayeweza kukuzuia.
Mkuu siwezi kupinga sana yale unayotaja. Ila tu, je hii inapunguza hadhi ya ubeberu upande wa Urusi kiasi gani?TOFAUTI NI KUBWA SANA MKUU! USA anaongozwa na ulafi uliofichika kwenye vazi la demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria. Kwa bahati mbaya sana hajawahi kamwe kulivaa vazi hilo since aanze safari za ughaibuni za exploitation.
Kwenye vita anything is possible,and such cases will always be there.Tunacho angalia ni overall success.Ni wazi The war is already won by Russia,no doubt about it.Crimea inawaka moto huko
Russian Airbase in Crimea is on fire
Ndiyo maana tukasema si kila aliyevaa suti-kaunda ni afisa kipenyo wa TISS.Mkuu siwezi kupinga sana yale unayotaja. Ila tu, je hii inapunguza hadhi ya ubeberu upande wa Urusi kiasi gani?
Tumpendelee jambazi anayevaa suti na tai au yule anayevaa sare?Ndiyo maana tukasema si kila aliyevaa suti-kaunda ni afisa kipenyo wa TISS.
Mkuu, mantiki hii ina mwendo wa chopi kidogo, sivo? Al-Qaeda ilikuwa kitu kipya kilichoanzishwa katika karne hiyo ilhali sheria za jinai zimetungwa katika karne iliyopita.Labda hujui kusoma bwana Kipala . Huwezi kutofautisha NO FURTHER EASTWARD EXPANSION FOR NATO na suala la Ukraine kujiunga na NATO.
Hata tukisema kwamba Ukraine haikusaini mkataba wowote, bado hiyo kauli inawa-exclude.
Mfano: Hakuna Mtanzania yoyote kujiunga na Al-Qaeda (suppose organization hiyo imeweka huo mkataba).
Then, wewe kwa vile ni Mbongo, unadai una haki ya kujiunga na Al-Qaeda simply because hakuna mkataba wowote uliwahi kusaini kama zuio la kutojiunga nayo. Ndivyo almost lilivyo suala la Ukraine na NATO.
Source ni 'The Moscow Times'Mlipuko wa kawaida tu ajali azini lakini Pro Ukraine wanavyokaza fuvu utafkiri hili ndege [emoji116]View attachment 2319365View attachment 2319367
Hahah, nishaagiza mkuu na mhudumu amesema hakuna shida baada ya kumwambia kijana wa putin atakuja kulipia, maana Russia inaaminika sana Africa.
Sema kuna wakati pro-West&USA wanaleta hoja dhaifu hadi unajiuliza hivi hawa wanafikri JF ni Facebook (Meta)?
Tuendeleeni kuwavumilia na kuwaelimisha panapobidi, maana siyo kosa lao bali nikosa la vichwa vyao ila pia tusisite kuwapuuza wale wenye mafuvu magumu kuelewa kama kina MK254 , FUSO na kp kipanya44 [emoji23] [emoji23]
Ruble tu imewatosha ....Na nyie wekeni vikwazo iwe fair
Kasome pia MINSK AGREEMENT ambayo ni recent zaidi ....halafu UrudiMkuu, mantiki hii ina mwendo wa chopi kidogo, sivo? Al-Qaeda ilikuwa kitu kipya kilichoanzishwa katika karne hiyo ilhali sheria za jinai zimetungwa katika karne iliyopita.
NATO ilikuwepo tangi 1949 nisipokosei. Mnamo mwaka 1975 Urusi ilikubali Mapatano ya Helsinki.
Kifungu cha kwanza kinasema kwamba kila nchi ina haki ya kuchagua au kutochagua ushirikiano wake na nci nyingine. Inasema pia kwamba mipaka inaweza kubadilishwa kwa kuelewana kwa hiari pekee.
Mapatano hayo yalikuwa msingi wa kipindi kirefu cha amani na maendeleo kwa nchi za Ulaya. Ningetamani kuona mapatano ya aina hii kwa nchi za Afrika ya Mashariki, tukumbuke mivurugo ya Kongo, Rwanda, Uganda, Sudan!
Kuachana na mikataba na mapatano huwa na hatari yake. Matokeo tunaona sasa.
THE HELSINKI ACCORDS OF 1975
I. Sovereign equality, respect for the rightsinherent in sovereignty
The participating States will respect each other's sovereign equality and individuality as well as all the rights inherent in and encompassed by its sovereignty, including in particular the right of every State to juridical equality, to territorial integrity and to freedom and political independence. They will also respect each other's right freely to choose and develop its political, social, economic and cultural systems as well as its right to determine its laws and regulations.
Within the framework of international law, all the participating States have equal rights and duties. They will respect each other's right to define and conduct as it wishes its relations with other States in accordance with international law and in the spirit of the present Declaration. They consider that their frontiers can be changed, in accordance with international law, by peaceful means and by agreement. They also have the right to belong or not to belong to international organizations, to be or not to be a party to bilateral or multilateral treaties including the right to be or not to be a party to treaties of alliance; they also have the right to neutrality
Umeandika mambo mengi sana, lakini sidhani kama hata unajua mantiki na relevance yake. Kuhusu Al-Qaeda, nilitumia kama mfano. Naona nao, bila shaka, umekupiga chenga za Messi.Mkuu, mantiki hii ina mwendo wa chopi kidogo, sivo? Al-Qaeda ilikuwa kitu kipya kilichoanzishwa katika karne hiyo ilhali sheria za jinai zimetungwa katika karne iliyopita.
NATO ilikuwepo tangi 1949 nisipokosei. Mnamo mwaka 1975 Urusi ilikubali Mapatano ya Helsinki.
Kifungu cha kwanza kinasema kwamba kila nchi ina haki ya kuchagua au kutochagua ushirikiano wake na nci nyingine. Inasema pia kwamba mipaka inaweza kubadilishwa kwa kuelewana kwa hiari pekee.
Mapatano hayo yalikuwa msingi wa kipindi kirefu cha amani na maendeleo kwa nchi za Ulaya. Ningetamani kuona mapatano ya aina hii kwa nchi za Afrika ya Mashariki, tukumbuke mivurugo ya Kongo, Rwanda, Uganda, Sudan!
Kuachana na mikataba na mapatano huwa na hatari yake. Matokeo tunaona sasa.
THE HELSINKI ACCORDS OF 1975
I. Sovereign equality, respect for the rightsinherent in sovereignty
The participating States will respect each other's sovereign equality and individuality as well as all the rights inherent in and encompassed by its sovereignty, including in particular the right of every State to juridical equality, to territorial integrity and to freedom and political independence. They will also respect each other's right freely to choose and develop its political, social, economic and cultural systems as well as its right to determine its laws and regulations.
Within the framework of international law, all the participating States have equal rights and duties. They will respect each other's right to define and conduct as it wishes its relations with other States in accordance with international law and in the spirit of the present Declaration. They consider that their frontiers can be changed, in accordance with international law, by peaceful means and by agreement. They also have the right to belong or not to belong to international organizations, to be or not to be a party to bilateral or multilateral treaties including the right to be or not to be a party to treaties of alliance; they also have the right to neutrality
Eti wanasema jaribuni sasa na huku kwetu Moscow ndipo mwone. Eti haitakuwa Judgment Day, bali Real Hell πWapi jugement day [emoji41][emoji41][emoji12]
Hata machumachuma mtatunyang'anya? Kuweni japo waungwana basi, ebo!Poleni sana enyi walamba viatu wa Putin.., upepo umegeuka Sasa..,tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.., tunaitaka Crimea.
Kiufupi ni kwamba; dikiteta Putin na mafashist wenzake hawaondoki na chochote hapo Ukraine [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]