Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanarusha Makombora toka kwenye nuclear plant wakidhani hawataguswa,wakiguswa wanalialia

 
Very nice,sasa leta list ya nchi za ulaya unazotetea zikizovamia nchi za Africa na kuzitawala na kuiba rasilimali na kuua watu,mwisho,leta list ya nchi Marekani ilizovamia toka ipate Uhuru mwaka 1776!
 

Ok, Marekani inayoiba mafuta kule Iraq na nchi zingine huoni? Ni hivi, Urusi itachukua Ukraine yote.
 
Waturuki ni waarabu toka lini kama umeshindwa kujua Jambo dogo hivi haya ya Urusi unapoteza muda wako Bora urudi tu kwenye uzi wa kula tunda kimasihara
Mkuu hakika Waturuki si Waarabu. Waarabu walikaa Uarabuni tangu siku za Biblia. Lugha yao ni Kisemiti, karibu na Kiebrania ya Biblia. Waturuki walifika Mashariki ya Kati tangu miaka 1000 TU, walikuwa wahamiaji kutoka Asia ya Kati, majirani wa Mongolia na China. Lugha yao ni tofauti kabisa. Luhja za kufanana unakuta leo kuanzia nchi ya Uturuki Ulaya hadi Wauighur kule China. ---- Hata Waajemi =Wairani si Waarabu, lugha yao ni Kihindi-Kiulaya. -- Lugha hizi zote zina idadi ya maneno kutoka Kiarabu kwa sababu ya dini ya Uislamu, sawa na Kiswahili.
 
Mzaha wa magasho uta uona tuu
Ikikuuma ichomoe mkuu.., Mimi jukumu langu ni kuendelea kukumbusha;

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wamezimwaga tena, atachomoka kweli ?? Ni TZS Trillion 3.6

The British defence secretary has said Russia is unlikely to succeed in occupying Ukraine as Western nations pledged 1.5bn euros ($1.55bn) more to to help boost the Ukrainian military in its fight against Russia.
 
Umewahi kulaani Israel inavyoshirikiana na marekani kuua wapalestina?
 
Newsbase la Uingereza linalofuatilia na kuchapicha taarifa za uchumi na biashara laripoti kuwa kuwa Urusi imekusanya faida kuubwa zaidi kipindi hiki cha vita vya Ukraine kuliko nyakati zote zilizopita.
View attachment 2321144
Ooh Urusi itachoka kwenye hii vita,ooh, Urusi inaanguka kiuchumi ooh bla bla bla bla nyambaf🇷🇺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…