Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijawahi kuchangia chochote kwenye uzi huu ila Leo nitachangia kidogo!!!! Nimeona kwenye huu kuna pande mbili wenyewe mnasema pro nato na pro Russia [emoji635] lkn wachangiaji wengi humu ni watu wenye ngoz nyeusi ambao kl siku tunapambana kujikwamua kwenye dimbwi la umaskini uliokisili haliyakuwa rasilimali tumezikalia swali LA kujihoji huu umaskini tulionao ni kutokana na viongoz tulionao au ni wakusababushiwa? Leo Hawa tunao waona WA maana na manufaa kwetu ndio ambao walitutesa na kuchukua kilicho chetu ndio ambao wametuulia viongoz ambao waliokuwa wanaonekana Kuja kuikomboa afrika kwa fikra na vitendo ndio Hawa kl siku wanatuletea vita milangon kwetu baadae wanarud kwa mwamvuki wa UN ni nini Kina sababisha hl baada ya ukolon kwisha wakaja na ukolon mamboleo una kuwa huru kwa bendela lkn mambo ya msingi kuhusu taifa lako huwez kujiamlia kwa mfano Enzi ya uhai WA muheshimiwa maguful Kuna mradi wa umeme km sikosei(stiggles George) km nimekosea namna ya kuandika mtanirekebisha huu mradi ulipingwa kutokea ndan mpk nje sababu kuu ni mazingira yataharibika pamoja eco system yote lkn wao wanamiviwanda mikubwa mfano kuhusu Bomba la gesi kutoka Uganda kupitia tanga bado wanakuja na sababu hyo hyo lkn Hawa pia mnawao washabikia ndio wale waliomvamia gadafi na wakamuua 2011 kwa kisingizio cha demokrasia na mauwaji ya halaki Leo nenda Libya nchi iliyokua inatililika maziwa Leo inanuka damu hakuna Amani Tena kl siku wakimbia nchi Yao wanafia baharin wao wamekaa makwao na Amani Tele watoto wa kiafrika ninyi ndio mtaifanya afrika iwe pepo ya pili ushabiki wa vita hv sion maana yake!!! Tuchoke na kupangiwa cha kufanya wao WA kufanya ni sahihi lkn we ukifanya ni haramu km tumeamua kupinga vita bc tupinge kwa wot!!! Hakuna vita isiyo kuwa na sababu ndio uwapo jeshini unaampa kumlinda amiri jeshi mkuu maslah ya taifa ndani na nje ya mipaka!!! Huu ni mda wa afrika kusimama pamoja kukemea kwa wote na kujijenga mwishi wa hii operation wenda mambo mengi yatabadilika iwe positively au negatively!!! Lkn pia Russia [emoji635] yuko kwenye operation hii kulinda maslah ya inchi yake km vile alivyo fanya Georgi bush kwa Iraq kwa msaada WA United Kingdom France pamoja na Canada km vile alivyo kwenda Yugoslavia km vile alivyo kwenda Iran mwaka 1975 huu c wakat WA kulaumiana na kuona fulani hayuko sahihi wenda kupitia hl mifumo ming utabadilika kuanzia world Bank na mataasisi yote ya Duniani. Afrika kwa kukosa maono na umoja tuna kubali kuangamiza uchumi wetu wenyewe kwa kupangiwa na watu wenye utajir wa kutosha tunapangiwa marafiki na shangaa kumuona degree holder anashabikia mataifa ambayo yametufanya sisi tuwe hp sisi afrika ni matajir kuliko wao
 
@Champagnee Si wewe tu kiongozi mimi mwenyewe namshangaa sana huyu jamaa Yoda maana anaonekana kama anajielewa ila jamaa vitu ambavyo huwa anavitetea kwa kweli mtu mwenye akili timamu hapaswi hata kidogo kuvitetea yaani inshort huyu jamaa ndio wale wanaojiona wana akili timamu ila kumbe ni punguani.

Unauita utawala wa assad utawala wa kidikteta kisa kutawala miaka 50, tena syria ilikua miongoni mwa nchi zilizokuwa na maisha mazuri kwa raia wake. Wakati unauacha utawala wa quuen eliza pale britain unaendelea kutawala kwa karne kadhaa, poor you.
 
Kwa kweli ukiwa na ufikiri mwepesi utafata yote ya mabeberu( et dictator).. maana hata hayati Magu walianza kumuita hivyo huku asilimia kubwa ya watz wakiamin wamepata mtetezi wa maslah yao
 
Lakni unachokitumia kuandika mifumo yake imefanywa na huyo debe tupu.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Not anymore it is China.Lakini America ifanye inavyotaka hata kama vifaa tunavyotumia vingekuwa vyake?No,huo ni mtazamo finyu na mawazo mgando kabisa.Infact tunge-tegemea more responsible bahaviour,decisions and morals,tofauti na Marekani ilivyo sasa.America kwa sasa makes very stupid decisions and is morally bankrupt.Haistahili heshima kabisa and to be called a civilized nation.To me it is a rogue and an uncivilized nation.May be I should sum up by saying America is a "Banana Republic."
 
Jamani mueleweni Yoda.Huyu jamaa tunajua ni CIA/FBI agent,minion or moron,na yupo kwenye payroll yao,so anatetea ndigwa yake.Ila namuona ni mjinga kwa kuwa utajisalitije mwenyewe,ndugu zako na Taifa lako eti kwa sababu ya mkate wa siku?Ni ujinga uliopitiliza frankly.Mimi nilishamu-ignore,he has nothing to offer me in terms of knowledge.
 

Chinese president Xi Jinping expected to visit Saudi Arabia next week​

XI ambaye haishiw dili

Anakupa dili za bidhaa zako ukauze kwake kwa mashart nafuu ilhal yey hupasw kumlegezea mashart lkn mwishowe yey ndie anaefaidika

Ukitaka mkopo wa kias chochote unapata uwe wa miundombinu au kwa mengineyo kikubwa umshirikishe kwenye dili zinazoendana na matumiz ya huo mkopo.

Lkn wadau hv wachina km nchi wao huwa wanakopa wapi???
 
Mkuu je kuna sababu maalum zinazokufanya kutumia lugha ya matusi? Yaani kuona kwamba Bwana Assad anaendesha serikali kwa namna ya udikteta si gumu sana. Labda una sababu ya kumwona si vile? Ingekuwa vema kama ungeweza kuleta sababu zako! Labda unisamehe lakini kurejelea kwamba "propaganda" iko, haisaidii sana. Dunia hii inajaa propaganda kila upande.
Changamto ni kutambua propaganda na kuuliza: Je hali halisi ni ipi?
 
Tuachane na hizo lugha za matusi.

Kwa upande wako wewe niambie kulikua kuna uhalali gani wa marekani kuivamia syria??
 
Hawa watu ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa kwa sababu hizo akili wanarithisha familia zao, siku zote mapenzi hayatakiwi kutawala akili yako kiasi kwamba maamuzi yako yategemee mapenzi uliyonayo. Jaribu kuwa muadilifu kwenye kila kitu kuanzia unachofikiria mpaka kutoa maamuzi utaishi kwa amani maana hutamuonea mtu.

Hata kama tuna team hapa pro russia na pro nato but sisi wengine tuko very open mapenzi hayajatutawala kama russia amekosea we admit it, na kama tumeshindwa hoja pia tunaadmit tumeshindwa, but wenzetu hoja za wazi kabisa wanajaribu kukataa na kupotosha sijajua sababu yao kufanya hayo ni nini hasa.
 
China ipo na vitu:-
1. China ipo na madini mengi sana

2. China ipo na cheap Labours halafu wamesoma sana.

3. Population ya china ni kubwa, uhakika wa biashara

4. Sera za CCP, wamejikita zaidi kwenye collaborative busines.

5. Wachina wanafanya kazi sana.
 
Nilivyosema: Kila beberu alipenda kujiita Taifa teule. Ni neno mbadala kwa beberu
Naomba leo nikujibu kwaurefu
Hakuna mzungu anaetupenda ngozi nyeusi
Ila RUSSIA hahalalishi kupakatana watu wajinsia moja
Pia hao wanaompinga yeye kwakujionesha wao wasafi wanausafi gani wakumpinga RUSSIA
Wakat wanaitwangwa LIBYA waliekewa vikwazo nanani
Wakati wanaitwanga SYRIA waliekewa vikwazo nanani
Wakati wanaitwanga IRAQ waliekewa vikwazo nanai
Wakat wanaitwanga YUGOSLAVIA vikwazo viliekwa wapi
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumeni NATO wakamtoe maana kashagoma kutoka
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…