Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama Himmars silaha ya mwaka 80 inawatesa hapo Ukraine US hamtamuweza kabisa muulize china na vitisho vyake kashindwa endeleeni kuungana ila USA baba lao.
 
Yani ni sawa na umefeli masomo yote ispokuwa KISWAHILI tu ndio umepatia..

Afu unaanza kujisifu kwa masela asee nimefeli lakini nimetusua kiswahili kinoma kwa 29% ...😂😂😂😂

Dunia inaenda zake hii.

🤣🤣🤣Hivi Huyu kilaza anakumbuka Rais wa Ukraine mwenyewe alisema idadi ya wanajeshi wake wanakufa wangapi kwa siku?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi Huyu kilaza anakumbuka Rais wa Ukraine mwenyewe alisema idadi ya wanajeshi wake wanakufa wangapi kwa siku?
Wewe ni famba tena wa mwisho hivi Statistics zilizotolewa miezi 2 imepita ndio itakuwa hivyo mpaka sasa waliongelea current situation ya wakati huo famba wewe.
 
Sisi Ukraine tumelipua Crimea,tunaendelea kusonga mbele,kesho tunaichukua Moscow.👇👇👇🤣🤣

Near Bakhmut, fighting continues on its outskirts. Wagner's PMC units are approaching the city from the north and south to storm it from several directions.



▪️ DPR People’s Militia units advance in the direction of Pervomais'ke and Vodyane. Artillery and missile strikes are launched against AFU strongholds in Nevel's'ke and Netailove.
 
Kama Himmars silaha ya mwaka 80 inawatesa hapo Ukraine US hamtamuweza kabisa muulize china na vitisho vyake kashindwa endeleeni kuungana ila USA baba lao.
Vunjo naona unaendelea kuwavunja moyo pro-Russia, endelea kuwapiga [emoji2923][emoji373] vilaza Hawa maana Wana mtindio wa ubongo,
 
Alafu utaona kilaza mmoja anashangilia wanajeshi 100 wa Urusi kufa Leo tu.
Kilaza ni yule super pawer wa mchongo aliyeingia Ukraine kwa mbwembe zote, matokeo yake anaishia kupata kipigo kikali Cha mbwa Koko[emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…