Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya nimerudisha tena ile video ya majengo mawili yaliyopigwa na Himmars na kuua wanajeshi wa Russia zaidi ya 100.Pro Russia Naomba leteni source hata ya maandishi ya wanajeshi 300 wa Ukraine waliokufa leo

 
Wewe mwenyewe unalishwa matango pori ni hawo unaowaona wa maana.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Na wale majenerali wanaochinjwa kama kuku kule Ukraine kumbe sio red army
Duh [emoji848] kipigo Cha zelensiky kimewachanganya akili vijana wa Putin

Urusi ni pilipili hoho

Joka la kibisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
walijikuta pilipili kichaa wamechakazwa mbaya kumbe ni pilipili hoho Russia mikwala mingi hamna kitu
 
Leo mmepiga makazi odesa mmejeruhi watu 4 jana Ukraine kapiga majengo mawili yalikuwa na wanajeshi zaidi ya 100 wa russia wakafa hapo utaona nani ana target ya maana[emoji28][emoji28][emoji28]

Acha propaganda hakuna jeshi zembe kiasi hiko wanajeshi 100 kukaa sehem moja. Achana na Propaganda aseee zinakuharibu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…