kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mkuu,shikamoo..,umejua kunifurahisha kwa kweliVideo imepatikana ile base ya Nova Kahkovka iliyopigwa na Himars juzi ndio hii haya wale wa video game mkuje.Kipigo kinaendelea na evidence tutaleta
Mkifanikiwa kuharibu hata HIMARS Moja msikose kutuhabarisha [emoji12][emoji12][emoji12]Usiku huu Himars zinapigwa chini wadau
Vunjo anawavunja moyo kwelikweli Hawa pro-Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu vunjo unawapiga sana spana pro russia.
Naona umewaomba source wapo kimya sijui wanatafuta Library ya wapi?[emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Lazima pro Russia tuwafurahishe humuDuh we jamaa unawapa tabu pro-Russia kwa kweli.., punguza spaner.., jamaa Wana stress za kipigo Cha mbwa Koko
Sawa sawa hivi daraja la crimea limeshalipuliwa ama?Mkifanikiwa kuharibu hata HIMARS Moja msikose kutuhabarisha [emoji12][emoji12][emoji12]
Daraja la Crimea tunasubiri raia watoke watuachie wale kuruta wenu ndio tunalivunja na kuwamalizia humo.Sawa sawa hivi daraja la crimea limeshalipuliwa ama?
Halitasalia jiwe juu ya jiwe,Hilo daraja litawashiwa moto tu,kwani tunapotaka kushambulia tunawapa taharifa?Sawa sawa hivi daraja la crimea limeshalipuliwa ama?
Nilikuwa sijui, nashukuru mkuuButcher of Syria alirudishwa Moscow na sasa yupo jera za jeshi baada ya kutaka kusaga miji ya Ukraine na utovu wa nidamu
RUSSIA hakukurupuka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2326524
Hakuna Makombora ya Vita yanayo recodiwa kijinga kama vunjo anavyo leta hapa. Distance ni mbali. Hivyo video haziwezi kuwa hivyo..huenda adanganye wajinga.Mkuu vunjo unawapiga sana spana pro russia.
Naona umewaomba source wapo kimya sijui wanatafuta Library ya wapi?[emoji23]
Awaulize wenzie!!!Vunjo anawavunja moyo kwelikweli Hawa pro-Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vumilia kusikia msivyovipenda, Russia anapokea kichapo sio mchezo..,mliyemuita comedian kamgeuka,Hakuna Makombora ya Vita yanayo recodiwa kijinga kama vunjo anavyo leta hapa. Distance ni mbali. Hivyo video haziwezi kuwa hivyo..huenda adanganye wajinga.
Unataka kusikia Ukraine akichapwa? Kipigo kimegeuka mkuu..,Sasa hivi Putin anatembezewa mkong'oto[emoji12]Emu tuleteeni habari nzuri nzuri jmn
Dah basi bana vita iishe TU.Mlole
Masanga
Kibirizi
Ujiji
Mwandiga
Kazegunga
Kasaka
Msimba
Simbo
Nkungwe
Kidawe
Nkundusi
Kazulamimba
Mwanga
Saigoni
Kahabwa
Gungu
Zulu
Masanga
Vamia
Katosho
Mwasenga
Katubuka
Eti kichapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila siku mna kimbia miji. Mmeshindwa kurudisha hata Kijiji kimoja tuVumilia kusikia msivyovipenda, Russia anapokea kichapo sio mchezo..,mliyemuita comedian kamgeuka,
Sasa ili tujue kuwa Wakirene wanawatembezea moto Warusi.Unataka kusikia Ukraine akichapwa? Kipigo kimegeuka mkuu..,Sasa hivi Putin anatembezewa mkong'oto[emoji12]
Collection hakukataa kusaga ila alitaka kusaga Moscow ikamrudisha homeNilikuwa sijui, nashukuru mkuu
Wengine wanasapoti utoaji mimba[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2326485