Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urusi katumia kila kitu, patia picha US wangetuma tomahawk missiles je
Au akituma f22 apo si ndo ingesambalatisha, ingetumwa apo Blackhawk si ndo ingekuwa noma
Katumia kila kitu kakwambia nani?eti patia picha🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hii ni Military operation bwana mdogo, hatupatii picha hapa, watu wanakufa. Wakuu humu Kuna utoto mwingi sana, pigeni ignore vitoto hivi.msiwaquote hawa. Hatupati taarifa za kutujenga ufahamu wa Mambo ila tumeingiliwa na watu wenye akili za kitoto. Wenye haya maarifa wameamua kupuuzia jukwaa.. Nisha ignore huyo vunjo, na huyu anakula yake muda si mrefu. *✓¢¥£^√•p..mbv kabisa.
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

Habari za video za Himars ikitoa kichapo hamtaki kusikia mnataka articles kutoka magroup ya telegram ya Rusia.Safari hii tutazileta video mpaka mkome kuleta habari za kubumba
 
Hii inaitwa SABOTAGE OPERATION hili eneo Belgorod liko ndani ya Russia ndipo walipokuwa wanarusha makombora kuja Kharkiv. Himars imepiga hii kambi kitu kizito tusubiri statement kutoka kwa watasemaja.

Muda mfupi uliopita Russia imepiga mabomu Karkiv, Ukraine na kuwaua magaidi ya naziView attachment 2327340
Haya makombora yaliyopigwa Kharkiv jana yalipigwa kutokea Belgorod Region Rusia ndio usiku wa leo tumeipiga na Himars hiyo kambi hapajabaki hata mfupa kipigo cha mbwa koko tusubiri sabotage statement kutoka kwa warusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukraine Raha jamani
 
SOURCE 1:Tayari huko Himars ishatua tena ndani ya Tusi Belgorod Region ammunition depoti nasema tutaelewana tu ngoma zinapigwa ndani ya Russia ni kipigo kwenda mbele.Nitaleta video source 3 semeni video game.

Umeleta video kutoka vyanzo vitatu tofauti,...,hapa wakiendelea kusema ni video game basi watakuwa na mtindio wa ubongo [emoji848][emoji848]
 
Hii inaitwa SABOTAGE OPERATION hili eneo Belgorod liko ndani ya Russia ndipo walipokuwa wanarusha makombora kuja Kharkiv. Himars imepiga hii kambi kitu kizito tusubiri statement kutoka kwa watasemaja.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii inaitwa SABOTAGE OPERATION hili eneo Belgorod liko ndani ya Russia ndipo walipokuwa wanarusha makombora kuja Kharkiv. Himars imepiga hii kambi kitu kizito tusubiri statement kutoka kwa watasemaja.

Ni kichapo kwa kwenda mbele..,kama Kuna watu wanaanini urusi atashinda hii vita ,nawahurumia sana

Hiki ni zaidi ya kipigo aisee[emoji848]
 
Kwa kweli Putin anashikishwa adabu vilivyo,
 
Hii inaitwa SABOTAGE OPERATION hili eneo Belgorod liko ndani ya Russia ndipo walipokuwa wanarusha makombora kuja Kharkiv. Himars imepiga hii kambi kitu kizito tusubiri statement kutoka kwa watasemaja.

Harafu eti hii ndo nchi inayoaminiwa kuwa na mfumo imara wa ulinzi wa anga

Huyu andunje Putin kavuliwa nguo kwa kweli [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…