Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jinsi USA wanavyojiona wanahaki na kila kitu..ni kama CCM inavojiona inahaki na Tz...
CCM oyee....haha
sehem yoyote bila kiongoz haiez enda vzr , wavunjaj sheria ndo hua wanamchukia kiongoz though kiongoz hukosea pia ila haimaanish uongoz ufutwe , jifunzen kwa libyia hawakuweza kupima mzan vzr waliona bora kuvuruga amani ili kumtoa kiongoz ila hawakujua kumpata kiongoz huwa ni safar nzito sana
 
Hitler aliiteka Poland yote plus maeneo ya Urusi ila hatima ya uvamiz ni aibu na fedheha tu
 
Yule wanayemwita comedian anaweza kutembelea majeruhi hapo yupo Lviv Hospital je Putin anaweza kutoka Moscow kuja Crimea kuona majeruhi wa vita[emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
US kununua silaha ya adui sio ajabu. Mbona alinunua Atlas Cheetah za South Africa? Kwahiyo nao waamini ndege zao ni hatari sana ndio maana US alizinunua. US aliwahi ipata Mig-25 Foxbat iliyokuwa inasifiwa mno na Soviets ila akaja gundua ni kubwa jinga na halina tishio lolote ndio maana hata SR-72 Blackbird haikuziweza. Ndege haikuwa hata na look down-shoot down.

US ana HIMARS zaidi ya 400 ila kapeleka jumla ya 16 kwa nyakati tofauti na Warusi wanateseka nazo. Su-27 ni 3rd generation, Mig 29 ndio fourth ila tafuta kill to loss ratio ya hizo ndege uone. Unajua kuwa McDonnell Douglas F-15 ina air to air kill ratio ya 108 to zero, yani kwenye engagement ambazo imekutana na ndege za adui angani na most of them ni Russian imedungua ndege 108 bila kudunguliwa hata mara moja. Tafuta ndege ya Urusi inayokaribia rekodi hiyo.

Kwani hizo ndege si walikuwa nazo Iraq, Syria, Egypt na wengine. Hata sasa si tunaziona hazipati air superiority kwenye anga la Ukraine.
 
Hii tv ninachoipenda iko frontline yani tunapata matukio ya moto yanatokea tazama hivi vifaru muda mfupi uliopita vimepigwa na mabomu vinateketea mpaka tutavimaliza.

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Yule Famba aliyesema Himars zimepigwa atazame hii video hii ni leo machine ziko site tutegeme SABOTAGE zingine kwenye base za super power sisi ni wazee wa sabotage[emoji1787]

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Huko kote usemapo Russia ilkua mbovu baada ya Vita imemega maeneo na kuyaweka chini ya ushawishi wake.
Nb. Ukraine inazidi kuwa Russian Federation
South Ossetia si ni kama jimbo tu. Na sikusema haikushinda ila ilikuwa na performance mbovu sio level za kupigana na NATO. Russia ligi zake ni kupigana na jirani mwenye population ya watu milioni 20 hivi na uchumi mbovu. Chechnya ambalo ni eneo la ndani lilipigwa, hiyo hata Tanzania tunaweza. Georgia ukubwa wake unazidiwa na Tabora, kwahiyo superpower wenu mlimpa vyeo kisa kaipiga nchi inayozidiwa na Tabora? Maajabu!

Russia level zake ndio hizo. Haina maajabu kwenye mataifa yenye nguvu
 
Wewe kweli ujielewi kabisa kwa mifano yako iyo.yani una hata akili,unakurupuka kwenye kila jambo.ISRAEL inaingia zaidi ya mara 40 kwa TANZANIA,ina maana sisi ni bora kuliko jeshi la ISRAEL.

UK anaingia zaidi ya mara 8 kwa TANZANIA,ina maana jeshi la TANZANIA ni bora kuliko UK.
 
Russia alisema Finland na Sweden zikijaribu kujiunga NATO anazivamia. Yuko wapi sasa?
Kaishia kujadili Waziri Mkuu wa Finland aliyekuwa anacheza mziki. Yani kutoka kutishia kuvamia nchi mpaka kulalamika PM wao kucheza mziki. Aibu gani hii

Huyo mbunge aliyesema kwani ndio standards za kijeshi duniani. Kwahiyo mbunge wa Ulaya akisema kitu unafuata kisa mbunge. Hata Babu Tale ni mbunge bwana
 
Unachotetea ni ushindi wa Russia dhidi ya Georgia. Unagombanisha tembo na panya kisha unashangilia ushindi wa tembo. Georgia ina uchumi mdogo sana, jeshi dogo, population ndogo na kila kitu ni mbali sana na Russia ila performance ya jeshi la Russia kwenye real wao nao ilikuwa ni kuwatoa jasho. Hapo hakuna superpower ni mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…