May 31 hiki kibibi kilipost hivi
I welcome the #EUCO agreement tonight on oil sanctions against Russia.
This will effectively cut around 90% of oil imports from Russia to the EU by the end of the year.
Duuh hadi uranium wanatoa Russia kumbe
Msiwajibu ndio dawa zaoooSiyo tu kwamba hawaijui Russia na Ukraine tu bali nakuthibitishia hata Tanzania hawaijui.
Comedian zelensiky anazidi kuwapelekea moto [emoji91][emoji91][emoji91]Super power bwana anakwenda hadi na vitz kwenye vita sisi tunapiga tu Tazama video
Apo vip [emoji41][emoji41]Tazama hapa mateka wakirusi tunawafunga macho leo hii huko Kherson [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo dada nilidhani ni mzungu,baada ya tukio ndio nikajua kua Ni mkorogo huo Hahah.away from front line
just for laughs -Mwafrica katika ubora wake
During the opening ceremony of a new footbridge in the, something went wrong...
View attachment 2347580
Tusiongee sana, hasara ya Russia kutokubaliana na Israel ndani ya Syria ni hii. Na Israel hana muda wa kuhangaika na wewe kama hamna makubaliano sanasana they will express "sorrow" ambayo haibadili kilichotokeaYaani Israel watumie nguvu dhidi ya Urusi [emoji1787]. NATO na US wanahofia direct confrontation dhidi ya urusi alaf hapa israel ndio awe haofii wala hana haja ya kubembeleza ikibidi atumie ubabe!? Mkuu Unaichukulia Russia poa sana hadi sio poa
Ndege za Israel kuruka kwenye anga la Syria licha ya kuwa kuna air defences za urusi haimaanishi kwamba Hizo ndege ni bora sana au mifumo ya ulinzi wa anga ya urusi ni mibovu. Of course inaweza kuwa hivyo lkn pia inaweza kuwa ni makubaliano baina ya Israel na Urusi.
Logically speaking kama kweli ndegevita za Israel ni bora kiasi cha kutamba kwenye anga linalolindwa na mifumo ya urusi mbona hao hao Israel wanahangaika na kulalama mifumo hiyohiyo (mibovu) isiuzwe kwa mahasimu wao Tehran!?
Mfano Shambulio la December 28 kwenye bandari ya latakia lilikuwa umbali mchache tu kutoka base kubwa kabsa ya urusi hapo syria lkn cha ajabu sio tu kwamba s400 ilishindwa kuintercept bali hata haikuwa activated kbs. Alaf sasa wakati huo huo Israel wanafanya shambulio lao ndege ya urusi ya kijeshi ilikuwa inashuka kwenye base hiyo iliyoko mile chache tu kutoka latakia hivyo pia mifumo ya syria nayo haikuwa activated. Kumbuka Muda mchache kbl ya shambulio hilo la Israel waziri mkuu wa Israel na Putin waliwasiliana kwa njia ya simu
Bado haijakuwa wazi kbs kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo haya kwamba ni kwa nini hasa urusi anaiacha Israel ishambulie kupitia anga syria licha ya kuwa hao ni allies wake. Zilizopo ni speculations tu ambazo hazikupi sababu yenye mashiko lkn inaaminika kuna kitu nyuma ya pazia.
Then hiyo gesi ya Nord Stream 1 itafikaje China? Unataka China anunue gesi zaidi ya mahitaji yake kisa inauzwa bei ya kutupwa na hilo haliwezekani, sasa Russia akate gesi ya Ujerumani ambayo ni 19% ya mauzo yake ya gesi kabla ya vita, akate gesi kwa Ulaya nzima ainywe hiyo gesi tuone uchumi wake utabebwa na biashara gani. Kwanza hakuna pipelines za kupeleka LNG China kwahiyo ni vigumu Russia afidie gesi ya Ulaya, hapo kumbuka anahatarisha 40% ya market na inayohusika ni kwa discountUlaya hawawezi kureplace gesi ya urusi kwa namna yeyote ile. Wataongea tu lkn mwishowe watarudi kununua.
Geopolitics is more chess than checkers.
EUROPE ECONOMY
Europe's plans to replace Russian gas are deemed 'wildly optimistic' — and could hammer its economy
Hii ni kutoka cnbc
Kataa gesi ya urusi ukanunue ya senegal kwa bei maradufu ya ile ya urusi alafu urusi auze ya kwake china kwa bei ya kutupa. Alaf wewe na china mtumie gesi kuzalisha bidhaa alafu tukutane sokoni [emoji1787]
Nicaragua ni nchi takataka haiwezi kusaidia uchumi wa Putin kurudi kwenye hali yake
Nicaragua ni nchi takataka haiwezi kusaidia uchumi wa Putin kurudi kwenye hali yake
Huu mchezo mbona hata huyo Russia anaufanya Sana kama Ile ya kuharibu Himars 44 wakati Ukraine wanazo 20 tu. Russia anataja kuharibu vifaa vya Ukraine ambavyo wakati mwingine ni mara mbili au zaidi ya idadi ambayo Ukraine inayo. Alisemaga kaharibu Bayraktar zaidi ya Mia wakati huo Ukraine alikua nazo kama 50 tu mpaka watengenezaji wa drone wakasema bado hawajaship idadi hiyo ya drone Kwa UkraineThis is what they have been doing all along, sisi ambao usanii huu wa jeshi la Zelensky tulisha ushitukia kwa muda mrefu, tulijaribu sana kuwatahadhalisha JM members lakini wengi wao hawakutuelewa hata kidogo, waliendelea kuamini picha na video za kughushi zinazo tolewa na jeshi/utawala wa Zelensky zenye lengo la kuwalaghai watu ili waendelee kupewa misaada ya kijeshi na fedha kutoka magharibi wakijifanya wana uwezo na hari kubwa ya kuwashinda Warusi, kumbe...