Hakuna seint Mataifa makubwa yote Yana pambana Kwa faida yao.mbonaa Husemi Russia ilivyo haribu maisha ya waAfganistan ilipo vamia na kuua raisi wao?haya Syria Hasad anapo omba msaada Kwa Russia unaatwa okomboz ila U.S anapo ombwa msaada anaitwa mchochezi?Diplomacy serves the strongest....Mpaka sasa dunia ilikuwa chini ya west yaani USA na nchi makuwadi wake plus NATO. PUTIN is trying to change this, and I can say in earnest he is winning in this mission....If you remember UN iliikataza USA, NATO na west kutoishambulia Iraq, lakini kwa ujeuri mkubwa hiyo haikusaidia. Wakaishambulia Iraq wakamuua Sadam Hussein na kuisambaratisha Iraq nq qmbayo mpka sasa tunaweza kusema nchi hiyo haitawaliki....Kwa Libya ilikuwa hivyo hivyo wakamuua Mummar GADHAFI NA KUISAMBARATISHA lIBYA. Dgambi ya Saddam na Muammart haikuwa udikteta. Dhambi yao ni kutaka dollar isiwe fedha ya dunia na baadala yake nchi zote duniani zitumie vigezo vya dhahabu kama rate of exchange......Serbia nayo ilipigwa kwa kile kinachoitwa carpet bombing....Yaani mabomu yanarindima non stop na kupiga nchi and everything wakiwemo raia kwa kisingizio cha 'collateral damage' . Yaani ni unyama wa kutisha. Huko Ukraine PUTIN anafanya ubinadamu 'uliopitiliza' kwa kuwajali raia wakati wa vita. Milosevic wa Serbia naye alijkufa akiwa gerezani lakini inasadikiwa alililishwa sumu.
Diplomacy kwa dunia ya sasa haiwezi kufanikiwa kamwe mpaka unipolar world itokomezwe.
Hahahahahaha.......Nadhani uendelee kujielekeza kwa 'Russia anapelekewa moto'🙂🙂🙂🙂"mara kadhaa humu.."
hizo nukta mbili ulizoziweka mwisho zina maana yake.., matumizi yake umeyakosea hapa.
"na siyo 'siraha'..." (na sio siraha)
Mwisho ni kwamba hapa hatuko darasani kuandika " imla"
Aliyebuni kipengele Cha imla aliona wazi kwamba always tunafanya makosa mengi kwenye uandishi
Mbona huweki picha mkuuView attachment 2354714Russian T-90 Tank Crews Capture Ukrainian Weapons & US-Made Equipment
The Ministry of Defense has published video of Russian tank units in action.
As a result of the combat work of T-90 tank crews together with motorized rifle units, three military vehicles were destroyed – two Ukrainian tanks and one US-made M113 armored personnel carrier.
Subscribe to RT
Watajenga kama Mariupol 👏👏👏naona sasa wameamua kulipua mpk mabomba ya maji,
Sasa hapo Russia inapambana na jeshi la Ukraine au Wanchi wa Ukraine?Ukraine anawakati mgumu sana usiku wa leo. Russia amelipua na miundombinu ya maji pia.
Kama hili la umeme ulilogusia majiji mengi hayana umeme kwa sababu vinu vikubwa vya umeme Russia anavilipua.
Hajaishia hapo na sehemu nyengine Ukraine hawana network. Wanajeshi wao nao wanakula kisago! Ukraine walijaribu ku intercept makombora ya Russia kwa kutumia mifumo ya zamani ya kisovieti wakichanganya na ya west lakini hola wamefeli vibaya makombora yanapenya.
Moto mkubwa, Zelensky amehutubia Taifa.
😀Kumànina
.PUTIN ANAZIDI KUWAPELEKEA MOTO[emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji635][emoji1255][emoji298]The Russian army delivers a massive blow to targets in Kharkov and the region
Also explosions in Slavyansk and Konstantinovka
Aseee .... Noma Sana ....hahaha n sehemu ya mikakati, tukikupiga tunashangilia ukitupiga tunalalamika
Afu mnasema Putin anajali raia pia halengi miundombinu ya kijamii?UNAAMBIWA ULE MTAMBO WA KUZALISHA THERMAL POWER KWA JINSI JESHI LA URUSI LIMEUHARIBU. HAUWEZI KUREKEBISHIKA TENA
[emoji635][emoji1255][emoji298]It is reported that at the Kharkiv CHPP-5, the heat capacity workshop was destroyed, which cannot be repaired.
Unaamua kupotezea sio? Nimekufahamisha tu siku nyingine usirudie kukosoa watu kwa makosa ya kawaida ya kiuadishi,Hahahahahaha.......Nadhani uendelee kujielekeza kwa 'Russia anapelekewa moto'🙂🙂🙂🙂
Wapo bize wanakusanya silaha alizo acha Russia.afu izyamu kuiteka ilichua mwezi jamaa wanachukua Kwa siku Tano?Ukraine TG Channels zote ziko kimya hope ni kwasabab ya hyo black out.
Wenye power banks mtuazime tupeleke msaada ili tuendelee kupata updates za Urusi inavyochapika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingawa Urusi haijakana wala kukubali tukio hilo, kwangu mie nalitafsiri kama onyo kwa Kiev. Ni as if Russia anatoa ujumbe kua wanaweza fanya chochote mda wowote chenye madhara zaidi kwa Ukraine.
Kama jana hadi reli hazifanyi kazi, hizo reli pia tunajua ndio zinatumiwa na Ukraine kuingizia silaha kutoka west il kipindi chote hicho Urusi hakuwahi kuzuia.
Urusi amekuwa akifahamika kwa their rigid patience linapokuja swala la kidiplomasia, kitu ambacho of course kwa wasio elewa mambo huona kama udhaifu kwa Warusi. Bt indeed Russia ni powerful yet wako too much humble.
Je hiyo 'Move' ya jana inaashiria kubadilika kwa upole wa urusi? Wacha tuone.
Kashapigwa ban huyo.., sometimes moderators nawaelewa,[emoji3]
I'm sure huyo mahubiri ni miongoni mwa wale wahubiri wa ule upande, utasikia:, fulani na fulan ni devil worshipers wakubwa wa Degree 11😂😂.Wakuu
Kuna muhubiri mmoja hivi
Alisema Russia ndio hasa waisrael HALISI hao wengine tunaowajua ni feki kabisa!
Akasema Russia ndio atashinda vita!!naona dalili ndio hizo naziona!!
Japo Tanzania hatujaweka wazi tupo upande gani!nadhani USA ata mind kiaina!!madhara yake tutayaona kwenye afya hasa akikata msaada kwenye shirika La WHO hali itakuwa mbaya!
Tuisubiri!!
kwa nini Putin atumie njia hii pamoja na ile ya kuzuia kusambaza kwa vyakula duniani?Embu assume hivi, wakati wa winter ukibaki Kama wiki 2 hivi, halafu jamaa akaharibu mitambo yote ya kuzalisha umeme.. unafikiri Nini kitatokea?
Just fikiria hiyo scenario.
Siku Tano wametwaa blyanklia, kupyansk,na izium..,nk nkWapo bize wanakusanya silaha alizo acha Russia.afu izyamu kuiteka ilichua mwezi jamaa wanachukua Kwa siku Tano?View attachment 2354731View attachment 2354734
Sisi ni NAM. Wao wapigane tu wakiamua kukaa ni vizuri zaidi wakiendelea sawa. Hatuna upande. Ilishawekwa wazi na Balozi wa kudumu wa Tz UN na Balozi Mulamula Waziri wa Mambo ya nje.Wakuu
Kuna muhubiri mmoja hivi
Alisema Russia ndio hasa waisrael HALISI hao wengine tunaowajua ni feki kabisa!
Akasema Russia ndio atashinda vita!!naona dalili ndio hizo naziona!!
Japo Tanzania hatujaweka wazi tupo upande gani!nadhani USA ata mind kiaina!!madhara yake tutayaona kwenye afya hasa akikata msaada kwenye shirika La WHO hali itakuwa mbaya!
Tuisubiri!!
YAP.Sisi ni NAM. Wao wapigane tu wakiamua kukaa ni vizuri zaidi wakiendelea sawa. Hatuna upande. Ilishawekwa wazi na Balozi wa kudumu wa Tz UN na Balozi Mulamula Waziri wa Mambo ya nje.