LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
iliwekwa hapa link ya russian state media(RT) Ikiripoti kuhusu mamia walivyokamatwa moscow kwa kuandamana kupinga vita ukraine, unamaanisha media za serikali ya urusi zinaongea uongo mkuu?
 
Mnapunguza stress kwenye roho za watu kweli kutoka!camoon
Mama hili ni swala Ku calculate risk,ni ether watu wafe sasa hivi katika kiwango kidogo au uache badaye mje kufa wate-sijui wewe ingekuwa Putin ungechagua kipi??.
By the way Nchi zinajengwa na zinaendelea Ku exist kwa Jasho na damu-kama hujafikiwa basi jua zamu yako haijafika.

Hata hapa hapa Tanzania ambapo unapoona kuna amani,tambua kuna watu wanakufa na kuvuja damu kwa ajili ya wewe kuendelea kuwa hai.

Ni vyema ukawa unachangia mada ambazo unaelewa nazo na kama zingine zinakuzidi kimo ni bora kuomba ufafanuzi kuliko ukachanga na watu wote wakakuona hamnazo katika swala husika.
 
The situation in Volchansk, Kharkov region, which was recently liberated from the Azov fighters. Now the city is under the control of the Russian army.

The streets are calm, but there are serious difficulties with medicines and baby food. The situation is somewhat stabilized by humanitarian aid convoys coming from Russia. But it is still difficult to establish a centralized supply - there are still sabotage groups working on civilian vehicles in the forests.
Your browser is not able to display this video.
 
Comparison of the standard route of Japan Airlines flight JL43 from Tokyo to London and the new route after Russia closed its airspace. The flight duration has increased by three hours and is 15 hours 12 minutes
 
Mwambie huyo anajitia mjuaji wakiambiwa elimu muhimu wanabisha bisha tu. Hawajui uhusiano wa urusi na mbepari upoje. Hawa ndio walioishia kwenye evolution of man na causes of mau mau.
 
Ile sio vita Bali ni operation ya kijeshi,ingekuwa vita nadhani Nusu ya Wananchi wangekuwa marehemu
 
Putin:

We have no ill intentions towards our neighbors. I would also advise them not to aggravate the situation, not to impose any restrictions, we are fulfilling all obligations and will continue to fulfill them. We see no need to escalate the situation or worsen our relations. All our actions, if they arise, always arise exclusively in response to some unfriendly actions against Russia. I think that everyone should think about how to normalize relations and cooperate normally.
 
Wewe kwa akili yako, kama kweli unazo, unafikiri huyo kibaraka watakayemuweka atawala nani wakati kwa muda sasa Ukraine imekuwa ni nchi ambayo imekuwa ikichagua viongozi wao kwa njia ya kidemokrasia tofauti na hao wavamizi wao.

Huyo kibaraka yeye ataendeshaje nchi pasipo kupata uungwaji mkono toka kwa mataifa mengine, huoni kwamba Russia watakuwa wanamdanganya na huku hata uwezo wa kukarabati nchi watakayokuwa wameharibu hawana ukitilia maanani kwamba na wenyewe watakuwa wameelemewa na vikwazo.

The picture we have is that Ukraine is going to be completely ungovernable with the people of Ukraine likely to unleash a protracted and bloody resistance against the Russian invaders a situation that will ultimately compel the aggressors to leave Ukraine.
 
Ile sio vita Bali ni operation ya kijeshi,ingekuwa vita nadhani Nusu ya Wananchi wangekuwa marehemu
Kwani bro mtu anafanya operation ya kijeshi kwa kuvamia nchi nyingine kutokea sehemu tatu tofauti. Pia tambua Putin hawezi kuondoa majeshi yote kwenye mipaka yake na nchi kama georgia au china au north korea hata wawe marafiki vipi. At a moment go lolote linaweza kutokea likavuruga mipango yote ya Putin. Pia alichotaka kuachive ameshashindwa. Atashinda ila hatatawala. Watu wanaokimbia makazi yao ni hao hao waukraine anaotaka kuwatawala. Kusini mwa nchi kuna waukraine wenye asili ya urusi na wanaongea kirusi so ni rahisi kuwa win kwa propaganda. Kwa katikati ya nchi na magharibi ni vigumu mno. Pia watu wenye siasa za mrengo wa kulia kutoka Ufaransa na Ujerumani watapoteza nguvu. Hata Orban wa Hungary aliyekua rafiki yake ameshamgeuka. You don't show all your card in chess or gambling. Now all his moves are predictable. Jailing anyone who declare the war in Ukraine as a war is a cowardice stand. Now Moscow populace will start asking questions in their dreams. If you have studies the history of Russia from Ivan the terible, Catherine the great to the last Tsar you will learn that they are people who cant not be trusted especially those near the upper echelons of power.
 
Kaanza Kauli za kubembeleza
 
Wewe ni nani?
ww si kinyangarakata tu huko uswaken.......
eti kinamuonya Putin..,..
gademshit
Hasira hizi ni ishara ya watu wenye mtindio wa ubongo kama Putin, descents wa taahira Hitler.

Tutamuondoa tuu Ili Dunia ibakie mahali salama pa kuishi watu wenye utimamu wa akili.
 
Madhara ya kuongozwa na mataahira ndio hayo,yeye binafsi hana cha kupoteza kwa sababu ni kichaa ila Russia na watu wake ndio watapoteza na kujuta kuongozwa na taahira.

Tzn tulijuta miaka 5 iliyopita ila sasa tunapumua.
 
Kwamba state news unafuatilia peke yako hapo Nanjilinji au?

Huo ujamaa wa Russia ulikufa na USSR ila vizazi vya baadae vina ustaarabu na havitaki upuuzi wa Putin kizazi cha Hitler.
 
Sanctions haziwezi fanya kazi kwenye Nchi kama Urusi,nyie watu mbona vichwa vyenu vigumu kuelewa.Ni mara ngapi Urusi amewekewa sanctions na Nchi za NATO&USA???.Urusi sio Kenya wala Tanzania ukimuwekea vikwazo vunakuumiza na wewe pia,sababu Ulaya inamuhitaji Urusi kuliko Urusi anavyoihitaji-it is simple economics brother
Jamani someni,someni ni swala la elimu!
 
Hahahaha...NATO waliofanya tathmini na kuona bora wakae pembeni wamekaa kimya lakini mkazi mmoja wa mchambawima anainua kishingo kweli maajabu hayaishi. Mwamba anamaliza kila ncha
Hakuna NATO aliyekaa kimya.Nato kuna watu wenye akili na wanaofanya hesabu vizuri.

Is Ukraine a member of NATO or EU? Kwa hiyo NATO wanatoa msaada wa kuwadaidia silaha za kujilinda,humanitarian aid,pesa nk kwa Ukraine kama mshirika.

Kuna njia za ku deal na kichwaa sio kumkimbiza ukiwa uchi.

 
Empty head
 
Kachanganyikiwa huyo, Ukraine na NATO wake waliopo Ukraine wanapokea kichapo heavy ila hawasemi. Mpaka mataifa mengine chini ya NATO yameona yawe Neutral kwa sababu wanajua NATO ni mbwakoko tu kazi yao kubweka na kutikisa mkia
NATO mbwa koko? mnkawia basi na hashtag zenu prayfor.....
 
Madhara ya kuongozwa na mataahira ndio hayo,yeye binafsi hana cha kupoteza kwa sababu ni kichaa ila Russia na watu wake ndio watapoteza na kujuta kuongozwa na taahira.

Tzn tulijuta miaka 5 iliyopita ila sasa tunapumua.
Hiyo miaka 5 iliyopita ulijuta pekeyako.
Usitujumuishe watanzania wote.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…