Kuna taarifa iliwekwa humu kuhusu hili.We jamaa kwa mihemko ni next level! Ni wapi na lini Putin alitaka wanajeshi wa ukraine wamng'oe raisi wao!? Source!?
Umeona ulivyo na mihemko
Hilo swali lako ni vague na irrelevant. Hakuna uhusiano wowote wa Operation kwenda mrama na mobilization. Nilikuuliza hukujibu kwa sababu sijui hukuelewa. Ni kwa vipi mobilization inatatua tatizo la operation kwenda south!? Yaani operation ikifeli ndio solution yake ni mobilization!? How!?
Kubali tu mkuu unaforce
Kuna pahali pa kuchanganya na zako. Sio kila unachoambiwa uchanganye na chako. Huo utakuwa ni ujuaji na utakugharimu siku moja. Ukienda hospitali ukaambiwa unaumwa malaria unywe amoxilin inabidi ufate kama ulivyoambiwa. Ukijidai kuchanganya na zako mwisho wake hautakuwa mzuri.
Eti Putin ana Fix wewe ndio mkweli [emoji1787].
Wewe una akili? upo hapa JF 24hrs.. seems huna shughuli ya kufanya.. kuweka avatar ya Einstein ndio uonekane una akili? Wenzio wapo buza, wewe hapo Brooklyn unaendeleaje?Nao huo u-lunatic amewaambukiza hadi wafuasi na mashabiki wake waliojaa Buza ambao hawawezi kuguswa na huo upuuzi anaouita "partial mobilization"
Wamepata walichokitafuta hao West. Watulie.Everyone must put maximum pressure on Putin to stop the war - Macron
Russians are not naive as you are struggling to put it in the bottle.Hahahaha Ukraine wanajua kunegotiate,hilo ni bonge la deal
Watu wanataka kuishi sio kufa.Wakati Warusi wa Mchongo toka Buza wakishabikia tangazo la Putin kuhusu partial mobilization,Hivi ndivyo Warusi halisi toka Moscow walivyopokea hilo Tangazo🤔
.......
How has the announcement been received in Russia?
Shortly after the address Russian media reported a big rise in demand for flights out of the country, despite the very high price of tickets.
Dmitry Oreshkin, a Russian political analyst, said that the announcement smacked of "an act of desperation". He predicted Russians will resist the mobilisation through "passive sabotage".
"People will evade this mobilization in every possible way, bribe their way out of this mobilization, leave the country," Mr Oreshkin told the Associated Press. He said the announcement will not go down well with the public and described it as "a huge personal blow to Russian citizens, who until recently (took part in the hostilities) with pleasure, sitting on their couches, (watching) TV. And now the war has come into their home."
The Vesna opposition movement called for nationwide protests on Wednesday. It said: "Thousands of Russian men - our fathers, brothers and husbands - will be thrown into the meat grinder of the war. What will they be dying for? What will mothers and children be crying for?"
It was unclear how many would dare to protest in the face of Russia's suppression of opposition and its harsh laws against discrediting soldiers and what it calls a "special military operation".
Source:Sky news
Nimeshaachana nae huyo,kila kitu anasema propaganda lkn yeye hatoi hoja yoyote yenye mashikoKuna taarifa iliwekwa humu kuhusu hili.
Mobilization ni tofauti na deployment ndugu, unaweza uka mobilize askari 300,000 lakin wakawa deployed 100,000 wengine wakawa on standby!Mpaka leo Estimate ya Askari wa Urusi waliouwawa au kuwa disabled kwa mujibu wa jeshi la Ukraine ni kati ya 90,000 na 100,000, na kwa sababu hesabu hii inatokea Ukraine ni wazi iko overstated.
This verse of war, Putin anataka kulinda maeneo ambayo yatapiga kura kujiunga na Urusi, ambayo kimsingi tayari yanakaliwa na majeshi ya Urusi, na kwa taarifa za wiki hii pekee hakuna ushahidi kwamba Ukraine wanatishia kuchukua hata eneo moja kati ya yote manne.
Sasa ana mobilize watu hao watu wote wa nini?
USA & Allies wamekuwa wanampatia siraha Ukraine ili ajilinde, sio watu.
Kwa nini Putin anataka kutumia watu kujilinda?
Kuna ushabiki humu.Huu uzi ulikuwa ni kudiscuss yanaotokea ukraine, historia yao, vita, vifaa, geopolitics, uchumi and more. Hapa tunaleta ushabiki wa kipumbavu mpaka unaboa. Vita hakusaidi lolote wewe mtu mweusi wa mbweni wala tabata. Hapa tunajifunza nini, je nchi yetu ipo wap, kipi tunaweza kuiga. Kwakweli, watu weusi ni watu wa hovyo mnoo
Ninachowapendea Ukraine wao ni kazi kazi.., mambo ya mobilization Wala hawana habari nayo[emoji2][emoji298]️Ukraine's Armed Forces report destroying Russian Mi-24 helicopter in Kherson Oblast.
Ukraine's Southern Operational Command said Ukraine's Air Force conducted 21 air strikes and destroyed a Russian Mi-24 helicopter from the ground near Kostromka, Kherson Oblast on Sept. 21.
Fashisti Putin alifikiri akitangaza mobilization watu watarudi nyuma, kumbe ndo kwanza anachochea moto[emoji91][emoji91][emoji298]️Reuters: EU ministers agree on new Russia sanctions, more weapons to Ukraine.
Ministers agreed to draw up an 8th package targeting more relevant sectors of the Russian economy and people responsible for the war in Ukraine, top EU diplomat Borrell said, Reuters reports.
The ministers also agreed to increase weapons supplies to Ukraine. The package could be formalized in October when the ministers meet next.
Kibabu Cha hovyo sana hiki..,kila mmoja alikionya juu ya madhara ya kuanzisha vitaUkiona kibabu kinalialia kuhusu kutumia nuclear basi ujue watu washakikamatia chini.
Yeye atumie tu hizo nuclear zake lkn akae akijua na wenzake wanazo Sasa chaguo ni lake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe una akili? upo hapa JF 24hrs.. seems huna shughuli ya kufanya.. kuweka avatar ya Einstein ndio uonekane una akili? Wenzio wapo buza, wewe hapo Brooklyn unaendeleaje?
Katika dunia halisi mkimbie adui anayeonyesha kukuogopa. Achana na level za nchi, rudi tu katika level ya individual makazini na mtaani. Siku zote unapoingia vitani iwe vya nafasi katika kazi, tenda au kijamii na mshindani ambaye ww unamuona ni mwepesi na yeye anakuonyesha kuwa unammudu hivyo anahitaji huruma yako, ghairi hivyo vita uwezekano wa kupoteza ni mkubwa.SUPERPOWER analia lia tu [emoji23][emoji23]
Hivi hawa pro NATO ni watu wa aina gani?? Mbona hawajui hata kiswahili fasaha?? Ziliishwaa..wameishaaa itwaaa...hizi kenge ndo zakubishana nazo kweli? Mathanzua..Jesus mulokozi..Manning..nawapa pole kujibizana na hawa wapuuzi..wanawapotezea muda wenu. Ebu muwablock shwain hawaNaenda kulala, nimeona sehemu kwamba hao watu 300,000 tayari wameishapewa taarifa na inasemekana ni combat ready.
sasa tukubaliane kitu.
hizi referendum naona ziko planned kukamilika ndani ya mwezi huu.
mnaweza nirekebisha, nachukulia maamuzi haya ya kuongeza wanajeshi ni mkakati wa putin kutimiza ahadi yake kwa modi, xi na edorgan probably, kwamba atamaliza hizi vita hivi karibuni haraka sana.
na mimi nataka hivi vita viishe pia.
tukubaliane, kwamba putin atamaliza hii vita lately by end of october.
sawa?