Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wazee wa mobilization war leo wanapeleka mafuta na milk tanker[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2364325
Hivi nani anaweza kuamini taarifa kama hii kweli,labda a lunatic.Muwe serious vijana,mbona mnalisha watu upupu?Vijana vipi?Hivi mkileta taarifa nzuri ya kuaminika what do you loose.Na ukileta taarifa ya uongo,halafu watu wakaiamini,unapata faida gani hasa?
 
Kipimo kipi kilikuonesha USA alikuwa akitetea raia wema!? You are stupid.
 
Sasa uongo uko wapi picha ya gari hiyo na imebeba mafuta brother vip kila mtu aheshim source ya mwenzie unaleta taarifa zako za telegram groups mbona tunasoma tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Endelea kudanganywa shekhe!! Na Libya kule vipi??
 
Yani walioitwa toka syrea ni wanajeshi wa kirusi au? Embu karudi tena kwenye vyanzo vyako habar
 
The US/NATO/Europe-Ukraine/Russia war is multifaceted.Yes it is about destroying Russia,but it is also about destroying Europe and trying to save the US Dollar from collapse as a Global Currency.Listen to this clip and get this very insightful information.

 
of all the people wewe ndio unatu-lecture hapa kuhusu US kuwa wa dunia yote?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

kuna kipindi nilikua najua ni jamaa flani well informed, ila baada ya biden kuingia madarakani nikajua kumbe ni lijamaa liberal flani, lenyewe msm na kila propaganda zao!,

btw, how is biden doing ukilinganisha na adui yako trump?......... nyie us fanatics mnafurahisha sana
 
Nimeshaachana nae huyo,kila kitu anasema propaganda lkn yeye hatoi hoja yoyote yenye mashiko
Wewe hata hoja yenye mashiko sidhani kama unaijua. Propaganda ukiileta lazima tuiseme hiyo ni propaganda. Uzuri ni kwamba zinajionesha zenyewe hatutumii nguvu sana.

Kusema operation ya urusi imeenda/inaenda isivyopangwa ni hoja yenye mashiko au ni propaganda!?

Unatumia kigezo cha mobilization kuhitimisha kwamba Op imeenda mrama. Eti kwa sababu Putin kaitisha mobilization ni ushahidi kwamba op yake imeenda kombo visivyotarajiwa. Very illogical!

Lazima kwanza utuambie relationship ya mobilization na op ni ipi mpk ufikie hitimisho hilo. Hiyo ndio namna ya kuleta hoja yenye mashiko. Ni kwa vipi mobilization inatatua tatizo la operation kwenda south!? Yaani operation ikifeli ndio solution yake ni mobilization!? How!?

Unashindwa kujibu swali hili kwa sababu huwezi kuestablish relationship kati ya partial mobilization na Operation inayoendelea. Conclusion yako ile inakosa premises za msingi. Simply ni mihemko tu imekufikisha kuhitimisha hivyo.

Pia unabisha kwamba Putin na Lavrov wanavyosema mambo yanakwenda kama walivyopanga hawasemi kweli. How do you know!? Umejuaje kwamba mambo yanavyoenda hivi ni tofauti na wao walivyopanga!? Unajua walipanga mambo yaendeje!? Unaijua Original plan ya operation ni ipi mpk ufikie kusema inakwenda tofauti!? Huku mimi ndio naita kuforce. Unaforce kingi.

Endelea kuforce
 
Kipimo kipi kilikuonesha USA alikuwa akitetea raia wema!? You are stupid.
Sasa wewe Jesus, labda unaweza kutuambia USA alifuata nini Vietnam? Kweli haikushangazi hata kidogo unapoona maendeleo ya Korea Kusini? China mwenyewe baada ya Mao Tse Tung waliamua kuwa kila mwaka wanapeleka vijana wasiopungua 200,000 kusoma Marekani.

Pamoja na baadhi ya vijana hao kuzamia huko Marekani lakini waliorudi China walipokelewa kama Wafalme na kupewa mitaji mikubwa mikubwa watumie akili walizopata huko kufungua viwanda vya teknolojia. Huo ndio msingi wa maendeleo ya teknolojia huko China.

Hadi leo hii China ndio inaongoza kwa kuwapeleka vijana kusoma Marekani na wakirudi wanakuwa mtaji mkubwa. Linalowaangusha China ni udanganyifu hasa pale wanapotengeneza bidhaa zisizo na viwango na kuvisukumiza kwa nchi masikini kama zetu.

Halafu sisi kama mazezeta tunapokea tu...thubutu hizo bidhaa zikanyage Marekani. Bidhaa za kutoka China kwenda Marekani ni bidhaa zenye viwango bora kabisa. Halafu tunasifia uchumi wa China na kusahau ni sisi hao hao tunaokuza huo uchumi kwa kuagiza bidhaa feki.
 
Mi sijaona maana zile fix amezitumia kuivamia chenchenia,Georgia, na saivi Ukraine,2014 ime yang'anya Crimea,now Donbas na luhask, yale ni mazoe mabaya kwenye nchi za watu .nini nilicho kosa mkuu?
 
Rudia kwenye ile hutuba wakati anatangaza vita na Ukraine.aliwaambia waweke siha chini maana yake wakaidi amri ya Raisi.
 
Ukrainian Deputy Defense Minister Gavrilov said that US military companies can use the conflict in Ukraine to test their pilot projects, and a number of firms are already doing this.

In July, Ukrainian Defense Minister Reznikov said his country had become a "proving ground" and invited Western arms manufacturers to test new products on the battlefield against Russia.
 
dong yi: Natumaini wewe ni Mtanzania kama mimi. Katika makabila zaidi ya 130 yaliyoko Tanzania, zaidi ya makabila 100 yanawakilishwa Marekani ukianzia na kabila kubwa la Wasukuma, kuna Wamarekani Wasukuma kibao! Kabila dogo kama Datore nalo kuna Wamarekani Wadatore. Ni hayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…