Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nchi 28+ zipo hizo?!

Kuna mwanajeshi wa hizo nchi Ukraine?!

Acheni kupotosha.

Russia inapigana na Ukraine inayosaidiwa silaha na baadhi ya nchi za NATO na EU. Ni Russia Vs Ukraine hizo nyingine ni propaganda.
Ndio rejea taarifa iliyotoka leo kuhusuina na kubadilishana mateka walikuwemo pia wanajeshi kadhaa raia wa uingereza
 
Viladmir aneshaliweka ilo wazi kabisa kwenye hotuba zake nyingi tu. Withdrawal ya vikosi vya Russia from Kyiv ilikuwa ni hatua ya kuonesha a goodwill baada ya mazungumzo ya amani ya Instanbul kufanyika n akukabiliana.

Kuonesha kwamba Russia iko committed na mkaubaliano, waliamua kuretreat from Kyiv. Baada ya jamaa kuondoka naona Zelensky akaamua kushuoaza shingo baada ya Boris na ndugu zake kumtia ujeuri.
 
Hapa nimemwelewa Urusi kuwa anaimaliza vita mapema . Uikrane itamwelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda mwenge ,Ubungo , Goms je hizo foleni wanamkimbia Putin
 
Wakati wanashambuliwa wao watakuwa wametulia tulii huku wakigonga cheers [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
UK kamhujumu sana urusi huko Ukraine,Cha ajabu urusi anaishia kubweka tu,
Ikimbukwe UK ndo wa Kwanza kupeleka NLAW anti Tank Missiles ambazo zilifukuza msafara wa Kyiv
 
Referenda hazitasababisha Ukraine kutoshambulia maeneo tajwa

Kama Belgorod na Kursk zinapigwa mabomu kila siku na ni maeneo halali ya Urusi, sembuse maeneo ya Ukraine toka 1991?

Crimea imepukutishwa mara kibao na hakuna kilichofanyika...

Putin anahadaa ulimwengu, katangaza watu 300,000 kumbe kwa chini ni watu 1mil
 
How comes wanafanya denazification, then Azov battalion ambazo ndio wanashutumiwa ndio Nazis halisi wameachiwa. Malengo ya denazification yameyeyuka, walikuja wakijua wanapambana na wazembe kumbe sivyo
Hao walioachiwa uwafuatilie kisha utupe mrejesho kama wanaendeleza unazi! Maana denazification siyo "kulaza mtu chini" peke yake!
 
📞🇷🇺🇸🇦The main thing from the Kremlin's statement following the results of telephone conversations between Vladimir Putin and Crown Prince of Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud:

▪️Putin discussed with the Crown Prince of Saudi Arabia issues of ensuring stability in the global oil market;

▪️Putin and the Crown Prince of Saudi Arabia discussed the decision of the SCO to grant the kingdom the status of a dialogue partner.

▪️The transfer of foreigners who illegally fought in the Donbass in the ranks of the Ukrainian forces to Riyadh was discussed during a telephone conversation between Russian President Vladimir Putin and Crown Prince of Saudi Arabia Mohammed bin Salman Al Saud.
 
🇭🇺 Péter Szijjártó, Hungary's Minister of trade and foreign affairs said "I was just looking for you", when he was entering 🇷🇺 Russian FM Sergey Lavrov's office at the 🇺🇳 UN General Assembly on Thursday evening. Lavrov asked him whether most reporters covering the meeting came with Szijjártó.
 
Mkuu tunajuaje kwamba hao ni Warusi na sio cooked stories?Mna bore kweli kweli,leteni taarifa ambazo mtu mwenye akili timamu akiisoma inampa majibu ya maswali yake.
Nilidhan unakuja na fact kuwa hapo sio mpani mwa Georgia? Sasa kiwepesi tu unapinga bila kuweka fact nani Sasa ana cookstoty kati ya Mimi na wewView attachment 2365248
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…