Mbona Marekani alipokea kipigo cha mbwa koko kutoka kwa hao wavaa kubanzi mpaka akakimbia?Wewe ni mpuuzi hizo battles dhidi ya wavaa kobaz walio na bunduki dhidi ya modern army kama ya Ukraine wewe unaweza Fanya comparison hapo kama Una akili ?
Au akili yako IPO matacleni
Kenge weww
HahahahahKalibr missile zinarushwa tokea Blacksea
Lakini mkuu siulituambia yamepiga barabarani sasa umeme umekatikaje?Hakuna umeme Kyiv
Avae tena vest za kijeshi akapige picha na wanajeshi wake frontlineππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zelensky was urgently evacuated to a secret bunker in western Ukraine according to media reports,
The President of Ukraine, amid rocket attacks on the capital and other major cities, was urgently taken out of Kiev and sent to one of the secret bomb shelters in western Ukraine[emoji845]
Walisema atiiiiii hatoki Kiyv sasa imekuaje tena anakimbia [emoji1]
Nimewaambia humu, huyo jamaa nyege zinamsumbua..,kwa kumuangalia tu unaona jamaa amekaa kimama mama, wanaume wa ukraine wakimpakata ndo atapata akili [emoji16]Hamna kitu mwone kichwa, kama Yai.
hit baada ya hit, hakuna chomoa nijambeβ‘οΈπ₯The Russian Armed Forces seem to have launched and continue to launch massive missile strikes against all 750kV substations in Ukraine. And the NPPs with hydropower plants simply could not cope with the transfer of power.
A detailed map with an analysis of the strikes on energy infrastructure will be presented very soon.β‘οΈ
Usicheze mbali na uzi huu, Mkuu. Juzi Ukraine ilichezea sharubu za dubu. Leo wamevunja Madaraja ya kuelekea Belarus na Sasa mishipa ya Ukraine Armed Force Ina dungwa ganzi!!!Kamata kamata yaanza Moscow
Tupe tofauti ya kombora na rocket.Siyo makombora ni rocket bwashee na hizi rocket huwa zina air defence syetem yake ambayo israel ndio wanazo ,air diffence nyingine zinazuia makombora ,mfano huwez kulipua kiroket cha milion tatu kwa kutumia kombora la billion moja.pia hivi viroket vinaruka kwenye low attitude hivyo kuviditect ni ngumu.huwa vinaishia kuharibu majengo na magari na kuuwa raia wasiyo na hatia ,mrusi kwake haoni hasara kuuwa watu , ni ukatili mkubwa sqna unarusha roket kwenye mji wenye mkusanyiko wa watu ,ndio maana urusi hawana tofauti na hamas au hezbola maana wanatupia tuu maroket hawajal cha raia
we jamaa uhurumiwe tu mtindio wa ubongo unakusumbua[emoji848]We ni PIMBI we unadhani URUSI hakuchokozwa?? Basi huelewi masuala ya kimataifa kama unahisi URUSI alivamia bila sababu za msingi wa kuchokozwa.
Marekani aliingia Iraq kwa kuchokozwa na nani?Labda kuna kapoint hatujaelewana mkuu mfano russia hii vita kaingia bila kuchokozwa ,ingekua ukraine alianza uchokozi nisingelaumu sana ,ila jamaa kitendo cha kuvamia nchi iliyo huru tena na msafara mkubwa kwa nia ya kupora ,haikua busara.Russia siyo kwamba ana madhambi kuliko westen hapana ! Ila kwa maisha haya ya kustaarabiakaalichofanya ni kinyume kabisa may be ukraine angekua ndiye mchokoz ningesema fair ila that is too much
ππ Hio inaitwa jambia humo humo tu-Alisikika kamanda mpya wa Urusi akiongea kwa hasirahit baada ya hit, hakuna chomoa nijambe
Usicheze mbali utujulishe matokeo.Raisi Vladmir Putin leo ategemewa kuketi na baraza la zima usalama la Russia ambalo maamuzi yake ndo yataleta picha halisi ya nini Russia wamekusudia kukifanya kuanzia leo mchana.