Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Katika ujinga ambao USA hatakiwi kuufanya ni kukata mawasiliano na na nchi za kiarabu maana hao ndiyo wanaofanya dollar iendelee ku survive
 
balaza linalopiga Raia wasio na hatia balaza gani ndugu ? huu ni ugaidi kama ugaidi mwingine wa kujitoa muhanga.
Ndivyo ilivyo kwenye vita hata Palesitna na nchi zingine ambazo raia huuawa.

Hii ni vita kati ya Russia na NATO akisaidiwa na Marakeni ambayo waitumia Ukraine.

Sababu na mengine yote tayari tumeyaeleza humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…