Mmekaririshwa mpaka akili zenu zimeganda hivyo hivyo!Unaambiwa Russia imepigwa targets muhimu 8 ikiwemo Kambi ya mafunzo na military facility,pia key infrastructure zimetandikwa!Pia Kuna mengine yamepiga maeneo ya usalama wa taifa wa Ukraine!Sasa kulipua majengo ya makazi ya watu na kuua raia ndo u special wake ulipojikita?
Yaani huyu ndo hatodumu hata muda kwenye hiyo nafasi maana ataitia hasara kubwa Russia ya kurusha ovyo makombora pasipo kufifisha nguvu ya jeshi la Ukraine.
Ndio wanaanzaga hivi hivi mwishowe inakuwa aibu kwao.[emoji91][emoji91][emoji91]
From TG Channel ya Medvedev...
The first episode has been played.
There will be others.
And further. I will express my personal position. I can't help but mention it now. The Ukrainian state in its current configuration with the Nazi political regime will pose a constant, direct and clear threat to Russia.
Therefore, in addition to protecting our people and protecting the borders of the country, the goal of our future actions, in my opinion, should be the complete dismantling of the political regime of Ukraine.
UKRAINE kuripua lile daraja ilikua nini !!?Anaeharibu miundo mbinu ya Ukraine hiyo operation?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kwasababu za ki usalamaKwa nini Putin hapendi kuwatembelea wanajeshi wake walioko mstari wa mbele ? Watakata tamaa.
Hazitasaidia kwa stealth and/or hypersonic missiles.Ni wasaa kupewa air defences zakutosha
NdioKwamba nchi huru kutaka kujiunga na jumuia za kimataifa kama NATO ni kosa hadi kufikia kushambuliwa?
Endeleeni kusonga mbele TwitterLeo tunapigwa kutokea angani ila haitakuwa na msaada wowote kwa Urusi maana hawawezi sogea...
Wao ngoja waendelee poromosha mabomu yao sisi twasonga mbele
Hii ni fatal mistake, hizo nchi za uarabuni zikisema kuwa hawatumii dollar, basi dollar inaenda kuwa toilet paper maana hata Sisi bongo tutaanza kutafuta yuan ili tununue mafuta hii itasababisha hata akiba za mataifa mengi kubadilika kutoka dollar maana matumizi makubwa ya serikali hayahitaji dollarA bill was submitted to the US Congress to withdraw US missile defense systems from the UAE and Saudi Arabia.
------------------
super power ana wivu wa kifala
Huyo Ndugu nahisi ana tatizo kubwa la kisaikolojia....mentally he is not ok...wewe fuatilia comment zake utagundua kiitu kumhusu huyo...Yaani yeye ku=post hicho kikaragosi kinachofanana na Putin anaona kuwa amefanya au kupost kitu cha maana...Poor him..Unatia huruma aisee!