kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nani alithaminisha? Na hiyo thamani against US Dollar, Rubble, Yuan au Gold!?Missiles zilizotua Ukraine zina thamani ya Tril 1.7 za Tz
Jamaa lazima alambishwe mchanga Ili dunia iendelee kuwa mahali salama pa kuishi [emoji848]Putin is a godamn punk and a coward
Au sio. Ndoto zako ziliisha wapimuda huu kiev inaenda kuchukuliwa. wanajeshi wa ukraine wameanza kusarenda
Vipi bado Urusi anauvunja moyo wako? Au umepata ahueniRUSSIA kushambulia raia sio ajabu hata Moscova na kambi ya jeshi la anga ilivyo sambaratishwa walifanya hivi hivi
rusian idiots cannot fight with the man of their Size.
Coward ni Russia ambaye analenga miundo mbinu ya kiraia na raia instead of combatants WA Ukraine wanaopukutisha Askari wake na vifaa kwenye battle field Hadi muda huu .Hakuna lolote kwasababu aliofanya sio LIBYA ni RUSSIA
Hakuna shida US anadeal na vijidagaa sio mapapa kama RUSSIA
Atalaani tu kwamaneno matupu nakashalaani
Hana lakufanya
us COWARD
Sent using Jamii Forums mobile app
Coward ni Russia ambaye analenga miundo mbinu ya kiraia na raia instead of combatants WA Ukraine wanaopukutisha Askari wake na vifaa kwenye battle field Hadi muda huu .Hakuna lolote kwasababu aliofanya sio LIBYA ni RUSSIA
Hakuna shida US anadeal na vijidagaa sio mapapa kama RUSSIA
Atalaani tu kwamaneno matupu nakashalaani
Hana lakufanya
us COWARD
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana urusi akiambiwa afanye mashambulizi kama alivyofanya Leo kwa siku tatu mfululizo huo uwezo Hana.., vikombora vyenyewe alikuwa amevitunza kama nguo za sikukuu, maana vikwazo vya west vimembana sana kuwa na silaha kama hizo,Missiles zilizotua Ukraine zina thamani ya Tril 1.7 za Tz
Ila tuliaminishwa kwamba uchumi wa Russia ni very weak, sasa toka february 24 mpaka leo ni missiles za gharama kiasi gani zimetumikaMissiles zilizotua Ukraine zina thamani ya Tril 1.7 za Tz
Alafu ikawaje mkuu. Siku zaidi ya 200 zimepitaMkuu umeangalia taarifa ya BBC ya saa ngapi? Maana saa 1 asubuhi ya leo Rais wa Ukraine alikuwa analalamika kuwa Urusi imelenga kumkamata yeye na familia yake kwanza. Vilevile, wamesema (BBC) majeshi ya Urusi yameteka Uwanja wa Ndege uliopo km 20 kutoka Mji Mkuu wa Kiev na yanatarajia kuingia Kiev muda wowote kutoka sasa.
Akiwatwanga NYUKLIA itapendeza zaidi ya sanaWarusi hawana mbinu za kivita za kisasa pia silaha zao za enzi za kisovieti zimefeli vibaya kwenye front line field battle. Alichobaki nacho ni kupiga miji kwa kutumia masafa marefu ili kuharibu miundombinu na kuwatisha wa Ukraine..ila uwanja wa vita front line kachoka vibaya.
Na kwa kauli yake ya leo Ukraine ijiandae anaweza kuwarushia hata nuclear wakati wowote.
Kutumia masafa marefu ni dalili za woga, ni sawa na kumvizia mtu kwa manati..poor Putin..
He will be fixed...time.
Bila huyu jamaa leo hii Syria Ingekuwa chini ya Islamic State pamoja na America. Huyu Jamaa aliwanyoosha wamarekani na Islamic State. Huyu ni mad dog chinja chinja.Huyu jamaa anasura isiyo na furaha!
View attachment 2382963
Russia ametumia $6 billion mpaka leo, America na EU na NATO wameshatoa karibu $24 billion kwa Ukraine lakini Russia pamoja na kutumia gharama ndogo ameshachukua robo ya nchi ya Ukraine na kurudisha kwa mama yao Russia.Ila tuliaminishwa kwamba uchumi wa Russia ni very weak, sasa toka february 24 mpaka leo ni missiles za gharama kiasi gani zimetumika
Pole MKUUUnaweza kuelezea chanzo cha Urusi kuingia vitani mkuu bila kuwa na upendeleo,au ushabiki? Hebu tuongee kama wanaume tuweke pembeni hisia za mihemko,kama ukishindwa useme hapa kuna pande mbili,pro NATO na pro Russians. Wataleta michango ya kujenga. Karibu