Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna aina ya tawala mtu mmoja kiongozi anakuwa mungu mtu na wengine wanatakiwa kumuabudu kwani yeye tu ndo tajiri mwenye fedha za kupambana na umasikini. Ukiibuka mtu una akili ya kuwa na fedha na kupambana na umasikini unakuwa muhujumu uchumi.
 
Ndio maana naona wote wanaoshabikia upuuzi unaofanywa na Putin ni watu wasiojitambua tu ..,Hawa hawana tofauti na mtu anayekata tawi huku amelikalia

Wanajikaanga kwa mafta Yao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ongera zako.., lakini jitaihid kutumia lugha ya staha, wengine hatuna uwezo wa kuvumilia matusi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hata Mie Mtashangaa,Hivi haya matusi ni KWa faida ya nani ,Kuna shida ,Yani watu wapigane kule , wewe upo tz unalipuka na matusi , huu ni ujinga ,mbona mtu anaweza elezea chochote bila matusi na kueleweka,very shame mkuu
Tatizo linakuja pale wakosoaji wa lugha za kuhudhi mnapokuwa wanafiki na kukosoa Yale matusi yaliyo kinyume na upande wenu,huku mkiacha Yale matusi ya upande unaoukubali yakitamalaki..,hili ni tatizo kubwa sana kuliko hata matusi yenyewe


Unapoamua kuwa mkosoaji wa matusi na lugha za kuhudhi bas kosoa pande zote,sio unamkosoa mtu kisa mmetofautiana mtazamo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umeona waandamanaji wa huko France wanachoma matairi ya magari na kuzuia Barabara?
Pia umekwepa hoja,watu wanaokufa ila US Bado analipia internet iwepo Ili machafuko zaidi yatokee,Cha msingi interest zake kwanza ambapo ni kuona utawala wa Iran unaanguka!
Hajali gharama za maisha ya watu!
 
Walikuwa wapi wakati Iraq,Afgan na Libya zikivamiwa?Wanafiki wakubwa!
 
Kuna watu wanachukulia poa , hivi Ukrein ikishindwa serikali ya biden itawambia nini wapiga kura USA , KWa vita hii Marekani chini ya utawala wa Biden lazima moto kuwaka sawa sawa labda pawepo meza ya mazungumzo, narudia hizi nchi mbili zitawashiana moto husio na mchezo mda mwalim
 
Hapo wewe demokrasia imeishia hapo!Vp na huyo US anayetisha nchi kuchagua upande na kulazimisha sanctions anazoweka basi nchi ambayo haitacomply itawajibishwa na US!
Au umesahau waziri wa mambo ya nje ya South Africa,yule mwanamama alivyomchana live Blinken kuwa US iachie kuzitisha nchi za Africa kuchagua upande kwani ziko huru kuamua zitakavyo!
 
Vp mbona media za Russia zimepigwa ban?
 
Huyo USA hawezi pigana bila msaada wa NATO na EU plus mavikwazo. Coward
 
No nafikiri alianzisha uzi huu, hakuamzisha KWa matusi, ni wewe tu waweza anzisha uzi wa matusi wewe, hivi ukijiuliza why mtukanane ?
Binafsi nilikua nafuatilia jf miaka mitano kabla ya 2019 jiunga na jf ,na Manisha sio watu wapitao jf ni member no wengine wanatambelea ukurasa huu tu,

Sasa vita ipo uko mbali ,na wewe upo tz basi unakua juu kuliko walio/ ambao vita inawapa matatizo MOJA KWa MOJA ,alafu amatusi Kama yote lengo ni nini,? Acheni hii Mambo ,ni ujinga, na hii sio KWa vita hii hata kwenye Timu zetu ,

Kwamba kisa waipenda Tim flan na mwingine nyingine basi mtatukanana Kama vile wao ndo wafadhili no 1 wa Tim husika mpaka kupigana , wakati wachezaji wanalipwa, Tim inapata pesa , huu ni ukichaa wa kujitakia bila sababu

Heshima ni jambo la bure, shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…