Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nchi za Africa ziko uhuru kuchagua upande zinaotaka na US yuko huru pia kutumia uwezo wake wa uchumi kufanikisha sera yake ya mambo ya nje, ili mradi hamjavamiwa kama Urusi alivyovyamia Ukraine acheni kujilalamisha, mtakula mnapopeleka mboga.
 
Madai haya hayapo naukiwaomba ushahidi wanapotea kama alivyopotea ndugu yangu bwana T14 Armata baada ya kuomba ushahidi juu ya hili

Nakama ataamua hata siku tatu zinaweza zikawa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madai mnaweza waomba pro Russians wenzenu watafute yalipotokea. Hata humu yapo sana tu sijui kwanini hamkuuliza yaliyotolewa mnauliza miezi kadhaa yakiwa hayakutimia
 
Nchi za Africa ziko uhuru kuchagua upande zinaotaka na US yuko huru pia kutumia uwezo wake wa uchumi kufanikisha sera yake ya mambo ya nje, ili mradi hamjavamiwa kama Urusi alivyovyamia Ukraine acheni kujilalamisha, mtakula mnapopeleka mboga.
Huko Libya,alitumia sera zake za kiuchumi?
 
Germany ikiendelea kushughulikiwa 😄😄
🇵🇱🇩🇪The Polish pipeline operator PERN claims a leak on one of the lines of the Druzhba oil pipeline, through which oil is supplied to Germany.

The cause of the leak is unknown, a leak has been detected on the Polish section of the Druzhba oil pipeline. Oil can still flow to Germany from the Baltic terminal-operator Oil supplies via the southern branch of Druzhba to the Czech Republic are going according to plan, local operator MERO told RIA Novost.

Poland continues receiving oil from the Russian Federation via the Druzhba pipeline, the vice president of Transneft reports
 
labda kwenye vita ya nuke. Ila kwenye vita ya kawaida ndani ya mwezi tu urusi anaiteka ulaya

Thanks Quote Reply
Report
Reactions:Bwana Utam

Pro rusia kipind cha february
 
Na yeye kutoa subsidies ,aids za madawa ,vifaa tiba ,elimu na mikopo ya fedha ambayo anazipa nchi zenu hizo za kijinga zilizofail kujiongoza na kuondoa Umasikini kupitia serikali yake ,NGOs ,balozi na IMF na UN agencies nyingine msimpangie sasa na wala msimlazimishe .
Contributor mkubwa pale UN ni yeye na Hakuna big contributor WA foreign aids Chini ya dunia tofauti na yeye .
Kama mbwai na iwe mbwai sasa tuone Nani anamhitaji mwenzake .

Yaani Mimi nawashangaa ni Bora hata nchi nyingine zingeongea si nchi za kijinga kama hizi za Hapa Africa ambazo donor kama USA akijiondoa Tu nchi inarudi Zama za mawe , fanyeni utafiti muone ni kiasi gani hizi nchi zinategemea US aids , handouts na mikopo kwenye budget zake ili kujiendesha .
 
Nchi za Africa ziko uhuru kuchagua upande zinaotaka na US yuko huru pia kutumia uwezo wake wa uchumi kufanikisha sera yake ya mambo ya nje, ili mradi hamjavamiwa kama Urusi alivyovyamia Ukraine acheni kujilalamisha, mtakula mnapopeleka mboga.
Jibu mujarabu
 
Mmarekani anatoa USd billion 100+ kila mwaka kama misaada Tu hapo hata mikopo haijawa included
 
Kisa unapewa msaada ndio upangiwe adui na rafiki?Kisa unapewa msaada ndio uwapigie magoti kila wakitakacho mkifanye?Ndio hayo ya kulazimishwa ushoga wakati ni kinyume na Mila na desturi zetu!Fikra za hivi ni za kitumwa!Sasa mnamuitaje baba wa demokrasia wakati anatumia uwezo wake kiuchumi na kijeshi kukandamiza nchi huru?
Misaada hata kama sio ya kiwango Cha US,mbona nchi nyingi zinatupa misaada na hawatuchagulii marafiki Wala maadui?
Msikilize waziri wa mambo ya nje wa South Africa alichomchana Blinken!
 
Nchi za Africa ziko uhuru kuchagua upande zinaotaka na US yuko huru pia kutumia uwezo wake wa uchumi kufanikisha sera yake ya mambo ya nje, ili mradi hamjavamiwa kama Urusi alivyovyamia Ukraine acheni kujilalamisha, mtakula mnapopeleka mboga.
Hata Urusi ana haki ya kutumia nguvu zake za kijeshi kutetea sera yake ya mambo ya nje.
Kila mtu atumie nguvu alizonazo kutetea maslahi yake kwahiyo acha povu.
 
Wewe uwe Unatumia akili , kuna hoja mnaandika humu ni za kipumbav Sana , mnashusha hadhi ya hii platform , kila siku iukimbilia hoja ya ushoga ,rubbish . Ni uwezo mdogo WA kiakili WA kushindwa kuchambua mambo , Kuna mtu alisha kulazimisha kukuingizia matacleni mwako na kukulazimisha kuwa shoga ?
 
USA alipigwa na askari wasio na viatu Vietnam, akadundwa na wavaa makobazi Afghanistan, akapigwa Syria na Somalia. Huko kote serikali iliwambia nini wapiga kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…