Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji779]️Mayor of Kiev Urges Power Rationing with Heating Season Beginning Thursday

"It is important at the beginning of the heating season to save electricity. For Kiev residents to not use electric heaters and air conditioners to avoid overloading the power grid,” Vitali Klitchko said on Telegram.

Subscribe to RT
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti west of the so called Ukraine... so where is the real Ukraine ?
Give the meaning of "the so called Ukraine"... Litakuwa swali la Paper la UE in Diplomasia mnamo 2050.

Na huyo jamaa Ni mkwe pia wa Erdogan(ameoa bintiye).
So unamaanisha anamnanhiii mtoto wa Raisi 😂.

Ziende zile shaed kama 50 kupiga Kiev huu uovu usienee popote
Bro we hautaki msaada mmmh? Hautaki matundu ya vyoo mjengewe kijijini kule ha ha ha.
 
Kuna watu "wanakojolea' pazuri bro 😁😁,Kama huyo mkwe wa Erdogan.
 
Siku zote ukiona mtu anaendekeza ujuaji kwenye kitu ambacho hakijui ujue ana dalili za kuwa mpumbavu.

Jana rais wa Ukraine amesema drone hizo zimeharibu karibia asilimia 30 ya mitambo ya kuzalisha umeme kote nchini Ukraine.

Kwa hiyo tumsikilize nani kati yako uliye jaa ujuaji na viongozi wa Ukraine?

Punguza ujuaji umesha pewa maelezo ambayo hata mtoto wa miaka 10 akipewa atayaelewa lakini bado umekaza kichwa.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji298]️Putin: Martial Law to come into force from midnight - Presidential decree will allow for response to emerging security risks

President Vladimir Putin has announced Martial law for the four new regions of the Russian Federation. Here's a breakdown of Security Council meeting:

[emoji625]Kiev refused to negotiate, continues to shell new Russian territories using terrorist methods
[emoji625]Saboteurs are trying to enter Russia, attempts to attack nuclear plant and civilian infrastructure prevented
[emoji625]DPR, LPR, Kherson & Zaporozhye regional heads will be handed additional powers to ensure security of populations
[emoji625]Russia must adjust state migration policy to counter existing and future challenges
[emoji625]Payments will be no less than 195k rub per month (circa $3,100)
[emoji625]Proud of those who have joined the Armed Forces - should be provided with proper food, equipment, housing & healthcare

Follow @RT_India_official
 
Wewe ndio unaandika utumbo [emoji16]

Yaani kwa kuwa price iko juu na production cost ni constant so haina shida kuongeza production!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huna hata hadhi ya kutamka neno uchumi wachilia mbali kuuchambua
 
Jamaa keshakimbia kichapo tayar [emoji4]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji779]️Russia is proud of everyone who fulfills the duty of defending the Fatherland, our soldiers must be provided with everything they need — Putin

Subscribe to RT
 
Mkuu asante kwa maneno ya hekima.
Nirudie: bado namsubiri yule atakayenionyesha athira ya droni hizo kwa maendeleo katika mapigano... Ilhali droni zinaleta kelele na ifo kadhaa kwenye miji ya Ukraine, nasikia pia kwamba Warusi wameanza kuondoa ofisi zao huko Kherson.
(Nilimsikia pia yule wa Ukraine akisema wako mbioni kufanya ukarabati. Tutaona watafika wapi . . .)
 
Kamanda anasema haya ili kuhalalisha kile atakachokifanya pale, subiri utawasikia tena baada ya kumaliza kulia hovyo na kamikaze na Iran.
 
Kama Russia ameshindwa kuiteka Donbass yote miezi nane sasa inakuaje utake Ukraine aiteke Kherson yote kwa wiki mbili?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…