Huo mkataba wa Nord Stream wa Gas supply umeshawahi kuuona?Common sense inasema Putin aliagiza mlipuko!
a) hataki kutuma tena gesi Ulaya
b) anajua mkataba wake na kwamba akiacha hivi hivi bila maelezo ya "Force majeure" (matukio ambayo hakuweza kutegemea, bahati mbaya) atabaki na madeni ya faini kubwa sana kwa kuvunja mkataba katika miaka ya baadaye.
c) hivyo ni kweli ujanja mkuu akiharibu bomba mwenyewe na kukosesha force majeure!
Nilishakueleza uwezo wanao sema hawataki maafa makubwa.[emoji1255][emoji1255] Maandiko yako mwenyewe ndo yanakushtaki Wala Mimi sistaili lawama kwa hilo[emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mnamchukia kwa sababu hasapoti haki zenu.lakini NATO ni wauaji Sana walianzia Vita vingi kuliko hata Russia.Huyu fashsti hakustaili kuishi katika ulimwengu uliostaharabika,[emoji848]View attachment 2399711
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nan atamufunga paka kengeleWale mnaoshangilia udhalim unaofanywa na fashisti msikose pia kushangilia pale atakapokuwa katika Hali hii [emoji848][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2399723
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hili ni la kuigwa na nchi za Africa.piga ban hayo mambo yakafanyikie mashimoni.Those who keep saying Russia ni Taifa teule, to some point naungana na nyie!
[emoji635] [emoji635] The Duma of the Russian Federation adopted a bill to ban LGBT propaganda and gender reassignment in Russia, including in the media, books, the Internet, advertising and cinema.
Why dont they start with war crime committed in iraq, libya, Afghanistan and vietnam before going in ukraine. Hypocrisy at highest levelNuremberg charter laws will be unleashed against all perpetrators of war crimes in Ukraine ,no matter where they hide and burry themselves into .
Umeshapata msaada wa kondomu sasa iv unaropoka tuCha msingi fashisti anayejiita Putin anachapika..,huko ulaya hata wakitumia mafta ya taa na mishumaa sisi hatujari..,ndio maana tulilazimika kubutua hata mabomba ya ges Ili mradi dikiteta achapike kwa ghalama yoyote ile [emoji3525][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Like wise kuna kiji-story hiki hapaOyoooo
Tunafuatilia hii maneno up to the minutesUmekaa kitandani unatunga ubeti kama huu bila aibu unautupia mtandaoni utafikir uko front line
Israel yenyewe imezinyoshea mikono hizi drones inaonekana zina utesi sana maana mpka nato wanaenda kwenye group therapy kwa ajili ya hiz droneIran namba nyingine kabisa, hasikudanganye mtu,binafsi walinikosha walipo ishusha gracefully one of the most USA sophisticated Drones na kui-reverse engineer - toka siku hiyo Iran nilivulia kofia, hivyo mimi sishangazwi na uwezo mkubwa wa Drones zao katika vita hii ya Ukraine, Wairan wakiwapatia/wauzia Warusi roketi zao hatari walizo wahi kuzirusha kwenda kushambulia kambi mbili za jeshi la Merikani na kusababisha hasara kubwa kwenye infrastructure pamoja na majeruhi kwa wanajeshiwa Kimerikani wsliokuwa wamejichimbia kwenye mahandaki ya zege ndani ya kbi lakini hilo halikuwasaidia kitu walijerujiwa all the same, mpaka sasa huwa najiuliza maswali mengi, hivi hizo roketi za Iran zinawekewa milipuko ya aina gani yenye uwezo wa kuwajeruhi hata wanajeshi walio jificha kwenye reinforced concrete bunkers!! Hata ukiangalia saizi za kamikaze drones za Iran ukalinganisha na madhara yanayo sababishwa na viji-drone hivyo utashangaa sana ukubwa na nguvu za milipuko yake ni kama a small nuclear bomb - Iran si mchezo.
Mkuu, ni MI6 na sio M16 ,Mkuu tuwe macho tu ila kiukweli kuna kila dalili za Vita ya 3 ya Dunia, Zelesky anajua nn anafanya, Zelesky ni Rais pandikizi na aliandaliwa na CIA kwakushirikiana na M16.
Mambo yataenda kuwa magumu zaidi ata Russia akishinda hii operation yake ila Marekan hatokubali ili na ndiyo maana kapeleka wanajeshi mpaka mwa Ukraine wakifanya mazoezi ya kivita, NATO hawatakubali kushindwa dhidi ya Taifa moja, watapoteza ushawishi wao Dunian na kwa namna hiyo lazima watataka kumpiga Russia na ndiyo hapo tutakapoisha Dunian.
Unafuatilia ukiwa buzaTunafuatilia hii maneno up to the minutes
Hujui lugha niniMaji ya shingo
Aljazeera
Putin says US needs to force Kyiv to negotiating table
Putin said that Moscow was ready for talks to end the conflict in Ukraine, but said Kyiv was not prepared to sit down at the negotiating table.
“It’s not a question about us, we are ready for negotiations. But the leaders in Kyiv decided not to continue negotiations with Russia,” Putin told the Valdai Discussion Club in Moscow.
“It is very easy to solve this problem if Washington gives a signal to Kyiv to change its position and solve the problem peacefully,” he added.
There have been no peace talks between the two since attempts at a negotiated settlement fell apart in the first weeks of the conflict, and Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has explicitly ruled out a negotiated deal with Putin.
Mkuu kuna ile story hata sijui kuwa ni kweli ya kwamba mbwa huwa anajipeleka mwenyewe kwenye coils za chatu huku kwenda kuliwa. Hii naifananisha sana na hii issue ya mahaba waliyonayo pro west kwa hawa former colonial master, former mass exterminater, former land grabber and former you name itMafara sana sana, ninacho wasifia waliumbwa by their MAKER up above in the blue SKY kutojifunza to learn from their past mistakes namely: VietNam, Afghanistan,Yugoslavia,Syria,Iraq even a tiny Grenada during Ronald Reagans administration - watu wa ajabu sana, hivi sasa wanarudia makosa yale yale huko Ukraine - wanajua sana kwamba Uwezekano wa Jeshi la Zelensky kuishinda supa pawa (Urusi) haipo kabisa lakini wapi bwana ndio kwanza wanawarindikia silaha chungu mzima ili vita hii iendelee miaka nenda rudi Urusi ifirisike na kusambaratika vipande vipande ili American multinational Companies zije kunufahika through turmoil wanayo i-create wao.
Anglo-Saxon breed si binadamu wakuwachekea hata kidogo, lililopo tumuombe Mungu ampe nguvu na ujasiri Putin wa kuweza kupambana na kuikomboa Dunia kutoka kwenye makucha ya umafia wa genge la Anglo-Saxon who behaves as if they own the World, binafsi nawashangaa sana waswahili/wabantu wenzetu wanao endelea kuhusudu/support genge hili ovu - nawashangaa sana, sijui hawaelewi kunacho endelea Duniani au ni suala la kipenda roho ula nyama mbichi!!
We unayejua toa ufafanuzHujui lugha nini
Hahahaha yani Israel yenye drone za kisasa za kamikaze kama Harop ambazo zina characteristics za Ant radiation maana zina home in radar frequencies ndo inyoshee mikono hivyo vidrone vya Iran vinavyotunguliwa na Ukraine ambayo haina Air defenses za maana?!!!![emoji23]Israel yenyewe imezinyoshea mikono hizi drones inaonekana zina utesi sana maana mpka nato wanaenda kwenye group therapy kwa ajili ya hiz drone
Kingine hawa iran ni noma maana waliwahi hata kuteka meli ya kijeshi ya marekani bila hata kupigana nayo.