Nimesikia europe gas imeanza kushuka bei kwa kasi ya 7GView attachment 2401068
In America, the supply of diesel fuel will last only 25 more days.
"What will happen after that? Everything will stop," said Fox News host Tucker Carlson.
Analytical gan uliyonayo ambayo inaweza mshawishi mtu ,maana ungekua mbobez usingeegemea upande mmoja ,wachambuz wa kweli hawafanani kabisa na wewe unakopi na kupest tuu huna maajabu bora ujikite kutuletea habari kuliko kutuletea uchambuzi uliojaa hisia kuliko uhalisiaI'm not surprised by your highly predictable rants - what would one expect from a subject whose analytical mind is dismal - obviously, every thing sounds Greek to him/her. CHEERS all the same.
Ngoja nimtag mwana demoghasia Yoda[emoji1258] American stand-up comedian and popular US radio host Jimmy Dore spoke about US policy:
[emoji117] When we occupied Afghanistan for 20 years and killed millions of people in Iraq or destroyed Libya and Syria, where were the international laws?!
America wants to control the world, saying that rules based on international orders mean what we say, but we ourselves do not follow any laws.
Mkuu hudhani kwamba kuna lugha inayofaa zaidi? Maana hapa hakuna anayeuawa kama kumbikumbi wala kama mbwa wala kama mdudu - wanaouawa ni binadamu wote. Tena hawauawi kama wanyama wanaotajwa maana ukimpiga kumbikumbi hatakuuma - hapa inaweza kutokea kinyume .Wasiposalim amri wataendelea kuuwawa kama kumbikumbi tu, hakuna namna [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Samahani ila siku nyengine nikwamba ukiongelea uliongelee lilokuepo MKUU la sivyo utatoka nje ya mada na lengo hapa ishu ilikua biibiisiiiWewe si juzi hapa ulileta habari toka DW ukawa unasema Ukraine anazungukwa huko Kherson kwamba itakua Mariupol 2,tena uliileta Kwa bashasha zote. Kwahiyo habari ikikufurahisha toka kwenye hivyo vyombo vya west unavyoviita vya uongo sio propaganda lakini isipokufurahisha inageuka propaganda,si ndio?!
Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule IraqHahahaha hapo kwenye Airforce umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23]. Airforce hiihii ya Russia iliyoshindwa kukamata anga la Ukraine kikamilifu tena Ukraine ikiwa haina mifumo ya maana ya Ulinzi Bali Ile ya Usovieti ambayo na Russia alishaitumia sasa tunaingia mwezi wa 9. Kila kidege cha Russia kikijaribu kuingia kwenye anga la Ukraine kinashushwa tena ndege za kisasa kabisa kama Su-34 na Su-35 ambazo Russia alikua akizinadi zina powerful electronic warfare systems. Marekani ndani ya wiki tu alishacreate No fly zone kule Iraq Ila Urusi tunakaribia kumaliza mwaka sasa alichobakiza ni kutumia drones kupiga makazi na Raia pamoja na Shule za chekechea.
Hivi hizo artillery mbona hatuzioni zikileta mabadiliko yoyote kwenye hii vita?! Artillery nyingi za Russia ni unguided,atarusha mizinga ishirini kupiga target moja wakati Ukraine itahitaji kutumia Excalibur moja tu kupiga target hiyohiyo,Air defenses za Russia mlizokua mnazisifia humu ndani ziko wapi mbona hatujaona maajabu yake kwenye hii vita?! [emoji23]
Jeshi la Putin linatisha kwenye TV tu na makaratasi Ila ikija kwenye uhalisia ni paper tiger ndo maana chawa wake kila siku wapo kwenye TV wakitishia kuipiga Marekani maana ndo silaha Yao kuu waliyobaki nayo.
Yani Putin huyuhuyu aliyekimbizwa Kiev kama mwizi na lile limsafara lake na 65km ndo aweze kuikamata Ukraine nzima wakati Kherson tu inamshinda kuidhibiti kikamilifu.[emoji1787]
US hawana akiliNorth Korea's nuclear strike will mean "the end of the Kim regime"-Pentagon
Ngoja nimtag mwana demoghasia Yoda
Kaka wamesema tena URUSI IMEISHIWA BALLISTIC MISSILES......Samahani ila siku nyengine nikwamba ukiongelea uliongelee lilokuepo MKUU la sivyo utatoka nje ya mada na lengo hapa ishu ilikua biibiisiii
Sasa hio diidabliyuu imetokea wapi hapa MKUU
Mwisho vyanzo vyote vya habari vyakimagharibi sio vyakuviamini hata dakika moja
Ila hua tunawaletea sababu ndio vyanzo munavyo vihusudu nakuvipenda tukiwaletea RT mnasema ni chombo cha sirikali sasa tuwaleteeni nini kama sio biibiisii na diidabliyuu ambavyo munaviamini nyie
Kuhusiana na KHERSON na DW nilitoa tu sababu ndio vyombo vyauhakika kwenu ila sisi maendeleo ya huko tuliishayapata toka kwa MOD wa RUSSIA
Makala pekee nnazo ziamini nakuzifatilia kutoka DW VOA na BBC nimaoni kwenye meza duara sababu yanatoka midomoni mwawatu sio yakukaririshwa yalio bakia yote uongo mwingi kuliko ukweli ukiacha michezo
Mwisho:-vyombo vya habari vyakimagharibi hata viseme nini usiviamini na uvipuuze ila kwakua ndio mmechagua kuviamini viaminini tuu ila kwasisi tunaojua uhovyo wahivyo vyombo tunataka kujua RUSSIA ipi iliishiwa chakula mwezi feb acc na biibiisiii pia RUSSIA ipi iliishiwa na silaha tokea march acc biibiisiii na RUSSIA ipi inatumia mashine za microwave acc T14 Armata ataleta chanzo usipokuja na majibu uache kuviamini hvyo vyombo vya hovyo
Hayo umenena wewe ila ukweli unaujuaKwani umoja wa mataifa uliamzishwa kwa madhumumi gani - ni lini Dunia iliwahi kupigia kura Merikani kwamba ndiye awe kiranja mkuu wa Dunia, lini? Kama hiyo ni kweli, basi., hakuna haja ya kuendelea kuwepo Umoja wa Mataifa
Wanazifunga nchi ipi?View attachment 2401066
Deputies of the State Duma promised to close gay clubs, in order to prevent LGBT propaganda.
RUSSIA TAIFA TEULE na KREMLIN KILA GOTI LITAENDA KUPIGWAThose who keep saying Russia ni Taifa teule, to some point naungana na nyie!
[emoji635] [emoji635] The Duma of the Russian Federation adopted a bill to ban LGBT propaganda and gender reassignment in Russia, including in the media, books, the Internet, advertising and cinema.
Kuna meli yao imeshushwa tayari inaogelea na samakiMimi napenda kuwa wazi leo ukraine karusha zaid ya drone 20 crimea zote zimetunguliwa na russia marine hii habari ipo aljazeera na cnn .Nimetoa habari hii ili mjue vyombo vya habari kwa ulimwengu wa sasa ni ngumu kutoa habari za upotofu.
Tunapowaambia Russia kapigwa muwe mnasadiki .Maana hakuna chanzo cha habar zaid ya hivi
oblast zote za urusiWanazifunga nchi ipi?
Kumbe hawa wapuuzi wanaanza kupata pata akiliMacron and Scholz agree on fighting unfair competition by the US, vows to negociate with Washington and launch a trade war if necessary.
Uzuri nikwamba tunafurahi mushaanza kuelewa somo kwamba hayo maeneo sasa rasmi ni sehemu za RUSSIABaada ya juzi Russia kupiga oil storage za Ukraine,Ukraine nayo imejibu. Tit for tat [emoji1787][emoji1787]
The oil depot in the temporarily occupied Shakhtarsk is on fire.