Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali lako linafurahisha!IRAQ na LIBYA lini waliwahi kua wanachama wa OTAN !!?
Hata hao makowad wa OTAN wajaribu kurusha jiwe tu kule MOSCOW kama wanauwezo
Napenda sana mijadala kwa Lugha ya Kiswahili, kama natumia Kiingereza ni kwa kuonesha tu hakuna mbadala wake kwenye kujenga uelewa.Here we go ... Karibu tuongee ubongo..... Ndio maana nimeacha kureply na kucomment sana ..wengi tuna ama wanaenda na mihemko ... Karibu tujadili facts...
Lastly, as I Know Kiev ilikiri kupoteza 15% of the land.... Non came to say otherwise!?? Are we there!? So we stick to it..., Secondly whom one got the "pinch" of the sanctions!!? , Thirdly... Who benefits from this "trident" proxy war ...
NIMEKAAA PALEEE UKINIJIBU NTAJUA NAONGEA NA MTU WA UWEZO GANI KIAKILI... ASANTE. KARIBU
Kipigo kikubwa kitembeee leo [emoji35][emoji35][emoji34]After the terrorist attack on the Crimean bridge, Ukraine lost more than a third of its distribution and generating capacities.
After the drone attack on Sevastopol, Russia has every opportunity to completely close the export of any product from Ukraine by sea.
Retribution should be as heavy and painful as possible
Kazi kwelikweli unapoongelea taifa feki lenye Wayahudi feki wakizungu ambao hapo sio sehemu yao halali bali waliwekwa kwa mkakati maalumu baada ya kupikwa kwa vita vya pili vya dunia.Israel wanalijua hili siku wakijisahau kidogo imekula kwao. Ndio maana hata ma PM wanao wachagua wanakuwa na background ya kijeshi au intelligencia
Russia sio wajamaa usichanganye madaHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Vita ya pili ya dunia lilikuwa ni jambo feki?Kazi kwelikweli unapoongelea taifa feki lenye Wayahudi feki wakizungu ambao hapo sio sehemu yao halali bali waliwekwa kwa mkakati maalumu baada ya kupikwa kwa vita vya pili vya dunia.
Mashoga mnq kazi sanaHuyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Huyu ni mwehu kama hataki west walazimishe huo ugasho yeye mbona analazimisha wengine kuwa wajamaa
Endelea kuishi kwenye giza,siku ukipata mwanga ndio utajua niny namaanisha, kingine nikulize hivi unamini kabisa kwa akili yako kwamba vita vya pili vya dunia viliisha tarehe 11 mwezi wa 11 saa 11 jiony kwa bahati mbaya cndio eeh.Vita ya pili ya dunia lilikuwa ni jambo feki?
Kwani Mhayahudi ni rangi ama Taifa? Israel ni Taifa hata kama hulipendi.
Ni lini urusi ishajitangaza ni super power wa dunia.Hoja za kimantiki na Kipropaganda ndiyo zinatakiwa zitawale huu mjadala. Russia wanapigwa ila bado wanayo "Laverage" ya hii vita. Nayo ni Ulaya na Marekani.
Mpaka Ulaya itakapokuwa na Gesi na Mafuta ya Uhakika ndipo Urusi itaacha kujiona ni "super Power" na Kiburi chake kwa Marekani kitapungua.
Mrusi anategemea makombora na mabomu ya kuangushwa kwa Ndege wakati Ukraine wao tegemeo lao kubwa ni Askari waenda kwa miguu na vifaru. Kuingia kwa msimu wa Baridi na unyeshaji wa mvua utaipunguza kasi hii vita.
Bado kimantiki mpaka sasa anayeshambuliwa (siyo kushindwa) ni Mrusi. Vita ina mapambano (Batles) ambayo ndiyo huijenga vita. Jee bado mapambano mangapi mpaka pale mshindi atakapojulikana?
Unapotaka kujenga hoja, jitahidi kuutafuta ukweli. Hebu fanya utafiti ni lini hasa vita kuu ya Pili ya Dunia iliisha.Endelea kuishi kwenye giza,siku ukipata mwanga ndio utajua niny namaanisha, kingine nikulize hivi unamini kabisa kwa akili yako kwamba vita vya pili vya dunia viliisha tarehe 11 mwezi wa 11 saa 11 jiony kwa bahati mbaya cndio eeh.
Ukubwa wao si wa kujitangaza ila ni kujulikana.Ni lini urusi ishajitangaza ni super power wa dunia.
Endelea kuota na kulikumbatia hilo taifa fekiUnapotaka kujenga hoja, jitahidi kuutafuta ukweli. Hebu fanya utafiti ni lini hasa vita kuu ya Pili ya Dunia iliisha.