concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
The purchasing power of Asian countries has been growing for a number years now, also due to the growing population in Asian countries versus the dwindling population in europe, Russia is to benefit in the long-run aas compared if it could have stuck with the European marketThirdly: The one who prompt and fuel brawl. The third party. You know who.
Secondly: In short run, Europe is endure and somehow in longrun Russia for loosing market esp if a subtitute will be at hand. Replacing Europe market to chinese/India is curently not a smart move due to purchasing power effect.
And About 15% of land, You are right but the squabble is in progress so no point in thoroughgoing.
Mkuu vizuri kwakua mfuatiliaji wa haya mambo, siku zote huwa nasema penye ukweli uongo lazma ujitenge.Hence balfore declaration
Huyo hatoalikwa tena hapo studioni"This is cruelty and sadism, a war against civilians"- Mrusi mmoja mwenye akili, October 2022.
Umelewa swali!Ukubwa wao si wa kujitangaza ila ni kujulikana.
Mbona umenifuata gizani?Umelewa swali!
Huyo alosema maneno hayo kakiona chaajabu seuze mie !!?Cha ajabu nini hapo??
Nimeona jambo dogo tu humu watu wa kila upande hutaka kuonesha upande mwingine umeelemewa.
Unakumbuka Trump alishutumiwa kwa kutokujenga ushawishi Afrika. Hata vita ilikuwa haijaanza.
Kubwaaa [emoji34][emoji35][emoji34]Mkuu bwana utamu unahasira sana
Sasa kuusema ukweli unahusishaje na hii vita?Huyo alosema maneno hayo kakiona chaajabu seuze mie !!?
DT hakushutumiwa aliambiwa ukweli
Mbona umenifuata gizani?
Au wewe ndiyo giza mwenyewe?
Nilisema tu useme hio mbele ya lini na sikukwambia tu miaka mia nilianza mbali kabla ya hio miaka miaaNi kujikosea kama kwenye maelezo yangu yale uliona niliposema "mbele ya safari" nilimaanisha ni miaka mia ijayo. Utakuwa ulikuwa unasoma bandiko langu huku ukiwaza nimeandika ulichodhani nitaandika.
Vita ni suala la Sayansi, wala halihitaji kupiga ramli. Hii vita inavyoelekea ni kwamba mbele ya safari, Russia itaanza kubeba machungu yake.
Umefuatilia kinachotokea kwa wale wanajeshi waliohamasishwa kujiunga na jeshi wakitokea mitaani? Tatizo wengi wenu mnaona kama vile Russia inapambana na Marekani, wakati ukweli wa mambo inapambana na Ukraine inayotumia silaha za Marekani.
Sehemu ipi nimehusisha hayo maneno na hii SMOSasa kuusema ukweli unahusishaje na hii vita?
Mambo mengine yapo wazi sana hata kuyahusisha na hii vita inashangaza.
Kwahio unataka tumkatae tuungane na waunga ushoga au !!?Kwanini hakusema yote haya mwaka jana au juzi?
Kwann sheria za kupinga ushoga ndio zinapitishwa saivi urusi?
Tumia akili wewe Muafrika.
Putin anajua akifanya hivyo atapata support kubwa ya middle east na China.
Na lengo lake hapa hasa sio kupinga ushoga, lengo lake ni kupata support kama ikitokea vita ya WW3
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzAThat is still not my point.
Kwanza mimi sio pro west wala pro east...mi ni pro African, soma ID yangu.
I dont care kuhusu ideology za west au za putin...nachoangalia hapa ni hii timing.
Kama Putin ameanza kupondea ushoga kipindi hiki cha hii vita.
Basi ujue vita haiishi leo wala kesho.
Ujue tumekaribia kuingia phase 2
Hapa putin anajaribu kurecruit more allies.
Na karata kubwa aliyo nayo ni kujifanya yeye ni Anti ushoga ili apate support kubwa zaidi ya middle east, Africa and China.
Nachosema mimi ni kuwa, hii ni dalili tumekaribia kuingia vita kubwa sana.
Fungeni mkanda, safari ndio inaanzA
Wale MAGAIDI wamepewa haki zaoPutin anachukia ushoga ni sawa tunaungana naye lakini kwann ameuwa raia na kinyama ukrean? Kharkib makaburi za ya 400 maiti zimefukuliwa na kuchunguzwa zimeonekana kabla ya kuuliwa walikuwa touchard na kusulubiwa sana sana kwanini mtu anayekataa ushoga anakuja unyama kiasi hiki?
Swali je tupinge mila za West ushoga au tupinge unyama aliofanya na anaendelea kufanya putin, putin aliuwa watoto wachanga Syria na watu wengi sana kama ambavyo US waliuwa Iraq na Afghanistan nk, Mi nadhan putin kuna wakati hujifanya yuko sahihi lakini ni mnyama na dikteta asiestahiki kuachiwa hata kwa dakika 1 zaidi
Ivi ni kwanini putin hataki mjadala wa yeye kumaliza muda wake urais urusi kila siku anawaza kubaki madarakani ni jambo gani hasa