Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu naomba unieleweshe ukichokiandika hapa. Baada ya Donestk na luhansik kujitenga na kuwa jamuhuri kamili zingeendelea vipi kuwa tegemezi kwa Ukraine? Si zingekuwa nchi huru zinazojitegemea kwa kila kitu? Mbona Eritria si tegemezi kwa Ethiopia ama South Sudan si tegemezi kwa Sudan?
 
Mie[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Mkuu kama Ukraine iliruhusiwa kujitenga kutoka USSR kwanini nao wasiruhusu hayo majimbo kujitenga?
 
Russia haikupenda haikuziachia hzo nchi zijitenge bali ilimbidi maana kulikuwa na vita za hapa na pale kwenye hayo majimbo ambayo baadae yalijipatia uhuru. Kumbuka vita hzo zilikuwa zinafadhiliwa na West. Kipindi hicho Russia ilikuwa hoi kiuchumi hivyo isingeweza kumudu kuyalinda hayo maeneo na pia ukubwa wa jeshi ulikuwa unaielemea Russia
 
Mkuu sijapinga hoja yako ya msing kuwa russia wameweka mtego pale kherson ila ukraine wameshtuka ,nachokupinga unadai ukraine wamejisalimisha huko kherson
 
Ila urusi analambishwa hasara aisee.., mpaka hii vita iishe.., atakuwa hoi,kuja ku-cover hii loses anazopata itachukua miaka,hii ndo ghalama ya vita,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapo pia lazima aijenge ukrain aliyobomoa miundo mbinu yote na majengo yote lazma ajenge lasivyo asetts zake zote zilizokua freezed zitatumika kuijenga ukraine
 
Ni kama unavyoona mapato yanatoka Tanganyika na kughalamia huko Zanzibar.., nafikiri umepata concept

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sorry kuna siku USA alijinisabu kwakusema kwamba atashambulia au kusema atapiga nyuklia?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Ndiyo Marekani ilishawahi kujinasibu hivyo na siyo hivyo tu bali ni kweli alizitumia silaha hizo huko Hiroshima na Nagasaki huko Japan na kuua maelfu na/kwa maelfu ya watu wasio na hatia. Marekani ndilo taifa pekee duniani mpaka sasa lililowahi kutumia silaha za nyuklia duniani. Kwa silaha hizo za nyuklia katika miji hiyo miwili ya Japan zaidi ya watu 500,000 waliuawa. Na hata sasa wajapan wanaendelea kufa kwa kansa. na wengine huzaliwa hawana pua, mikono, miguu, sehemu za siri na viungo vingine. Marekani pia ni taifa lililowahi kutumia silaha za sumu
za napalm huko Vietnam . Picha ya chini inaonesha mtoto mdogo wa kike wa Vietnam akikimbia mitaani uchi baada ya kuunguzwa na mabomu ya napalm huko Vitnam mwaka 1972. Marekani ni taifa la kinyama, kishenzi na kifedhuli. Marekani pia imewaua viongozi kadhaa duniani akiwemo Patrice Lumumba wa Kongo, Sadam Hussein wa Iraq na Ghadafi wa Libya na Allende wa Chile.

Utaniambia nini mimi mkongwe kuhusu Marekani???!!! Nyie vijana wa dot.com ndio ambao mmelishwa sumu na propaganda za USA. Marekani ni taifa la kishetani. full stop.

za
 
Kwanini hamtaki kuambiwa ukweli?!

Si mnataka turudi kwenye Historia,bhas Alaska irudi kwa Russia. Kaliningrad irudi Ujerumani. Shida iko wapi?!
Ukweli upi uliouongea hapa !!?

ALASKA nisehemu halali kabisa isiotenganishwa na US sababu watu walikaa chini wakafanya biashara yakuiuza ALASKA sasa unatakaje kuifananisha hii ALASKA na KALININGRAD!!?

ukweli utabakia kua ALASKA nisehemu halali ya US lakini ukweli zaidi nikwamba maamuzi yakuiuza ALASKA hayakua ya busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…