Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Ukraine inafanyika Operations ya kijeshi sio VITA ile.Boss, Kuchukua ardhi ya Ukraine ni matokeo ya vita au ni mipango kabla ya vita?
USA na NATO wanaona aibu hawawezi kufanya chochote wanasingizia Ukraine-huku kombora tumerusha sisi Urusi.Kulingana na taarifa zilizotolewa na marekani ni kwamba kombora limerushwa na Ukraine kimakosa kwahyo kazi inaendelea.
Tumerusha sisi Urusi fanyeni basi kurusha hata jiwe pale KremlinHata super pawer wa mchongo ameshakanusha kwamba sio yeye aliyerusha hayo makombora,kwa hiyo kazi iendelee [emoji57][emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu angalau WEWE hujachukua chochote hata punje.Jamani Pro NATO mmisha rejesha majimbo mangapi kati ya 5 tuliyoyachukua??
Hii habari ya mwaka 2015Na hapa hiyohiyo Turkey utasingizia mlango bahariView attachment 2418609
Huo mwaka 2015 Russia haikuwa na jeshi?Hii habari ya mwaka 2015
Sasa wewe na huyu rais wa UKRAINE tumuamini nani MKUUNi kwamba mpaka sasa hujui au.
Makombora yamerushwa na Ukraine. Kwa mzoefu yeyote tangu hiyo jana asingethibitisha kusema makombora ni ya Urusi. Mpaka sasa upo tu
Wewe na serikali ya Urusi tumuamini nani. Sasa mnataka Urusi ionekane nchi ya kifala hata nyinyi mashabiki zake mnaikanaSasa wewe na huyu rais wa UKRAINE tumuamini nani MKUU
Ikiwa RAIS wa UKRAINE anasema hivi unatka nimuamini nani kati yake nawewe!!!??
Basi itakua UFO ndio wamepiga POLAND maana UKRAINE umemsikia Elensky hapo na RUSSIA wamekanusha
Basi itakua limetokra kusikojulikana
[emoji1255][emoji1782] I have no doubt that the rocket that caused the explosion in Poland was not Ukrainian - Zelensky
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui?
💥💥💥Dmitry Medvedev: "Russia is ready to provide Poland with the most powerful air defense systems to protect itself from Ukrainian aggression"
Not a joke💥💥💥
Marekani iliua 4 star General. Iran ikafyatua makombora kushangilia na bado kwenye mazishi watu wakafa. Tofauti ni akiliKuweka kumbukumbu sawa,Iran hakuufyata Bali alirespond Kwa kupiga Kambi ya kijeshi ya US!
Baada ya hapo,US akaufyata!
Nawewe unajua mambo kumzidi Elensky !!!??Wewe na serikali ya Urusi tumuamini nani. Sasa mnataka Urusi ionekane nchi ya kifala hata nyinyi mashabiki zake mnaikanaView attachment 2418967View attachment 2418968
Kwahiyo tukubaliane Russia ni nchi ya kipuuzi tusiwe tunaisikiliza. Wewe unajua sana mambo kumzidi Lavrov?
Kwahiyo Urusi mmeshindwa Ukraine mnataka misaada wa NATOKama Makombora yamerushwa na Ukraine,nadhani NATO wanatakiwa kumvamia Ukraine Kwa kushambulia mipaka ya NATO!Au article ziko Kwa ajili ya Urusi tu😃😃😃
Afrika bara la hovyoAfrica Nani katuroga,Yani hatupo vitani lakini Umeme tu kupatikana ni shida
Johannesburg is seeking electricity supply from private generators to reduce the amount of scheduled power outages
Iraq na Libya zilivamiwa na Russia? Yani mfanano wa hizo nchi na Ukraine unatoka wapi, kwamba zote ni vita au kwamba walikuwa na no fly zone na intervention ya NATO.I don't argue with morons.
Umeuliza Kama Ukrane ni NATO, umeulizwa kamaLibya na Iraq zilikuwa NATO. Kwa sababu huna akili huwezi kuelewa hata kile ambacho wewe mwenyewe umeanza kukihoji.
Hawakukosea kuliita Bara la gizaAfrika bara la hovyo
Hata kama tunaumia kuusema huu ukweli ila afrika bara la hovyo mnooo
Sent using Jamii Forums mobile app
KOMBORA ni letu na limetua Poland. Kama ni kuputa tumeshaputa . Ingalikua Libya hata lingegusa mpakani likaua mbuzi mmoja ungeona midege hewani. Russia anataka mziki mezani Ndio maana haangaiki na Ukraine keshajua hao wanasubiri apungue NGUVU SASA hapungui ingiene field tumalize ugwaduSasa Poland adabu imewakaa wanajua fika KOMBORA limetoka wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo NATO ndo tumeuona udhaifu wao
Nilishafuta mpaka app yenyewe nashangaa vita BADO haijesha Wakati lgbt walitangaza ushindiWewe si uliaga hapa kuwa hutochangia tena siku ile majeshi ya Russia yamekimbia Kherson? Kumbe bado upo [emoji1]