Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kichwa ngumu huyo cha Kenge kina nafuu😹
 
Hizo ni habari za vijiweni tu, vita yoyote ina malengo yake, siamini kana lengo Urisi ilikua ni kuikalia kiev.
 
Sasa warushe jiwe urusi
 
Tulitegemea aingize na jeshi mazima hapo Russia [emoji635] naona kimya
 
Kwanini waliondoa wakati wana air defense systems nzito. Huoni walijua wao ni matabulalasa
 

Hahaa Mkuu are you serious??.
Unasema Zele angejua asinge ingia vitani,really??
Are you serious??
Ulitaka Zele afanyeje baada ya kuvamiwa.

Ulitaka afanyeje?, asarende amkabidhi Putini nchi?.

Comeon dude.

Mi sio mshabiki wa Zele wala Putin ila naona alicho fanya Zele hata Mimi ningefanya, jamaa anajaribu kupambania nchi yake.

Najua sababu za Putini kumvamia Zele lakini hazitoshi kumfanya Zele ajikabidhi kwa urusi.
Maamuzi ya Zele ni yakishujaa kwasababu Anajua Ukraine ni nchi huru na inamaamuziyake kama nchi.

Ukiona nchi nyingine inakupangia chakufanya kwa faidayake ukikubali maana yake huna nchi, then anaekupangia akikulazimisha ufanye anavyo taka nini kina fuata, Just fight, right?.

Ungekuwa wewe Zele ungefanyaje.
 
Urusi kaanza tangu 2013 , Urusi amekuwa anaingilia siasa za majiran zake na kupandikiza viongoz kama Rwanda anachofanya DRC kwann jiran wa hivyo usiwe na hofu nae ?
Hofu itakuwepo lazima.
 
Unataka reality gani!? Wakati unaona mwaka unaisha Vita bado haijaisha...
 
Hizo ni habari za vijiweni tu, vita yoyote ina malengo yake, siamini kana lengo Urisi ilikua ni kuikalia kiev.
hutak kuamin unachokiona , alifuata nn kiev ? na kwann anashambulia nchi nzima?
 
Hofu itakuwepo lazima.
na ndio maana NATO wanawapokea tu majiran wa URUSI , Urusi kama ya kufikiria vipengelee vinavyomlinda bas ajitahidi pia kutovunja vipengelee vinavyowalinda majiran zake
 
Reactions: Tsh
Mwanzo nilidhani una akili. Kabla ya kugundua kuwa ili uandike hadi u google. You don't use your own consciousness. Yaani hata leo huko Google wakikwambia ni mwanamke you will agree.
Kaangalie hoja yako ya mwanzo ambayo I did comment on. Halafu wewe ukaniuliza swali Kama Ukraine Ni NATO kilichofanya nikuulize Kama LIbya na Iraq zilikuwa NATO.

Nimeshasema sibishani na vilandage, ila nikusaidie kilandage mmoja.
Mwaka 2011 USA and France Waliweka no fry zone Libaya kwa hoja kuwa wanalinda wanachi wa Libya dhidi Serikali yao kwa kigezo Cha Human right na hao wanachi wa Libya shawakuww wala wanachama wa NATO. Kwanini hawafanyi hivo kwa Ukraine( Wazungu webzao)dhidi ya Russia ambaye tena yeye ameenda mbali na kuvamia taifa lingine, anaua watoto na wazee, wanajeshi wake waniaba, wanafanya uharibifu wa miundo mbinu, wanashambulia makazi ya watu( accoding to Pro LGBT).
 
9
Hizo ni habari za vijiweni tu, vita yoyote ina malengo yake, siamini kana lengo Urisi ilikua ni kuikalia kiev.
Kwanini sasa walijimegea Crimea? na bado wakanogewa wakataka Ukraine yote,kama sio kufurushwa tu nchi yote ingekuwa imepiga kura feki kujiunga na urusi.
 
Una jirani yako usiku anafungulia radio/music sauti kubwa kuwasumbua majirani. Watoto hawalali na hawawezi kujisomea jioni. Je, mtamuacha jirani tu kwa sababu kila mtu ana uhuru wake wa kujiamulia.

Ama jirani yako anafuga nyoka wenye sumu kali mithili ya koboko. Na anawaachia kiholela hivyo wanaweza hata kuingia kwako utakaa kimya.


Vita ya Ukraine ipo katika mazingira hayo. Na majirani wamesema hatari iliyopo kwao mpaka wakachoka.

Unajua Ukraine kulikua na lab 33 za kutengeneza biological weapon
 
Achana vibua wa Ukraine....vijana hawana wanachokielewa...vimbumbumbu hivyo.... wanafikiri vita ni sawa na mpira, wamebaki kusema Russia kakimbia kerhson...wanabaki kutoa matusi tu Kwa Russia...lakini hata mataifa makubwa wanaogopa vita eti wao mashabiki uchwara wanabaki kusema ngoja kiwake... unafikiri vita mchezo,

Zelensky kayakanyaga ona sasa anabaki kuropoka tu kwenye mitandao na kutafuta huruma kwa ulimwengu ...kaharibu nchi, kapoteza maeneo, kasabisha mauaji ya raia wasio na hatia..yote hayo ili kumfurahisha Marekani na NATO...
 

kwa hio kherson na belgorod na crimea sio maeneo ya russia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…