President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
View attachment 2419983
Xi talks to the Japanese Prime Minister.
It’s even difficult to comment here, the poses and gestures are so expressive.
Naona kibano alichotembezewa na vijana wakakamavu wa rais zelensiky kitakua kimemkaa sawasawaPutin anafunguka zaidi kwa mazungumzo ya amani baada ya kupata hasara kubwa kwenye uwanja mapambano,Ukraine [emoji848]
.....
Putin more open to peace talks as he suffers losses, say western officials
Vladimir Putin is becoming more open to the prospect of peace talks in Ukraine as he loses further ground on the battlefield, western officials said on Tuesday.www.standard.co.uk
Hata mataifa ya ulaya nayo yameumiaLakini kwenye kuumia ki Uchumi wote Russia na Ukraine ni wahanga wakubwa sana,hakuna mwenye afadhari hapo.Mengine unaweza kuwa sahihi kabisa.
Urusi kombola anapewa na nani.Tushasema toka mwanzo, Russia ukitoa makombora anabaki Kama Uganda.
Kombora zenyewe zakupewa[emoji16]
Inaingia sana kwani urusi yeye hutoa idadi yake ya wanajeshi wanaokufa?Kuna watu wanaamini hizi data? inakuingia akilini Ukraine kutoa idadi ya wanajeshi wa Russia wanaokufa alafu haitoi idadi ya wanajeshi wake wanaokufa?
Aliyeingia hasara zaidi ni nani?Ndio nimesema Iran alijibu Kwa kulipua Kambi ya kijeshi ya US!Ni Hilo tu!
Somalia si walikimbia 1993 kwani wamerudi tenaMzee wamesanda Russia sio Somalia.
Nato walisema urusi akiivamia Ukraine wataingia vitani kupigana??NATO walisema Urusi akivamia ukraine watafanyaje???
Urusi wamesema lengo lao la kuvamia Ukraine ni nini? a- Je umeamini?
Inshort haya mataifa ktk mapabano wanatumia sana Propaganda kama tool pia.
Usiminnye sana ubongo
Russia kuishiwa silaha bado sana wanaichukulia Russia poa, US naona vile vifurushi vya kupeleka Ukraine vinapungua, soon Ukraine ijiandae kusimama yenyewePro Kiev wiki Ngumu sana kwao.
Urussi meishiwa silha, anaokoteza!!
- Alisikika mla mihogo mmoja hapa Nyakato
Atakaeingilia mgogoro??Hebu rudi shule ndugu. Hichi ndicho Putin alisema. Narudia Tena alisema atakae ingilia mgogogoro na sio atakae isaidia Ukraine kwa njia ya misaada.
View attachment 2419908
Hakuna nchi imesema wazi kuwa imetuma wanajeshi wake Ukraine elewa hivyo.
Kama kajinga mbona akitest kombola , Mavi yanawagonga vyupi , na kulalamika sanaKajinga kengine haka huku, kila kukicha kanatest makombola ya kufika US 😀 😀 😀
North Korea tests suspected ICBM with range to reach US mainland
Weapon landed in seas off the Japanese island of Hokkaido as Pyongyang ratchets up tension in the region.
Japanese Defence Minister Yasukazu Hamada said the weapon, which reached an altitude of 6,000km (3,730 miles), was capable of travelling as far as 15,000km (9,320 milles), giving it the range to reach the mainland of the United States.
Hii picha niliiona mwezi wa 6 sasa bado wanaitumia mpaka leoRecent updates as of 17.11👇View attachment 2419975
DuuuuRussia kuishiwa silaha bado sana wanaichukulia Russia poa, US naona vile vifurushi vya kupeleka Ukraine vinapungua, soon Ukraine ijiandae kusimama yenyeweView attachment 2420016
ni kama chizi anapotest manati yake, huwezi kujua akili itamtuma vipi na kwa wakati gani.Kama kajinga mbona akitest kombola , Mavi yanawagonga vyupi , na kulalamika sana