Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Pamoja na Supa pawa wenu wa mchongo kushirikiana na wenzake lakini wapi. Urusi anadunga tuHuo ndio ukweli.., super pawer anashambulia miundombinu ya kijamii Ili kumforce zelensiky kuja kwenye meza ya mazungumzo, lakini njia hiyo haitamsaidia maana Jamaa wako tayari kupigana kwa namna yoyote ile
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna miundo mbinu mpya ya umeme Ukraine analetewa NA USVinu vyote vitatu vya nishati ya nyuklia vinavyofanya kazi nchini Ukraini vimetenganishwa na gridi ya umeme ya nchi hiyo. Viwili kati ya hivyo, Ukraine Kusini na Rovne NPPs, viko katika hali ya kuzima kwa dharura.
Mkuu wa utawala wa kijeshi wa mkoa wa Khmelnitsky, Sergey Gamaliy, aliripoti juu ya kuzimwa kwa mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky.
Vyombo vya habari vya ndani vilikuwa vya kwanza kuripoti juu ya kuzima kwa dharura kwa mifumo ya nishati katika kinu cha nyuklia cha Ukraine Kusini katika Mkoa wa Nikolayev. Habari hii ilithibitishwa na Energoatom. Kulingana na opereta huyo, ni kutokana na uharibifu wa gridi ya umeme, matokeo yake mtambo huo haukuwa na mahali pa kufikisha umeme unaozalishwa. Wakati huo huo, kampuni hiyo inasema kwamba kinu chenyewe kipo sawa.
Chombo cha habari cha Strana kiliripoti kwamba kinu cha nyuklia cha Rovne kilikuwa kimebadilisha hali ya dharura. Kulingana na gazeti hilo, sababu inayowezekana zaidi ilikuwa kushuka kwa kasi kwa matumizi ya umeme. Baadaye Gamaliy aliripoti kwenye chaneli yake ya Telegram kwamba mifumo ya mtambo wa nyuklia wa Khmelnitsky ilikatwa kutoka kwa mfumo wa kusabaza umeme.
Siku ya Jumatano alasiri, tahadhari ya anga ilitangazwa kote Ukrainia. Ilichukua zaidi ya masaa mawili, baada ya hapo tu mikoa ya kaskazini mashariki ya nchi ilibaki katika hali ya tahadhari. Kulikuwa na taarifa za milipuko na uharibifu wa miundombinu kutoka miji mbalimbali. Ukrenergo iliripoti kuwa kukatika kwa umeme kwa dharura kutaendelea kote Ukraine wakati wa mchana.
Kufikia mwanzoni mwa 2022, kulikuwa na vinu vinne vya nguvu za nyuklia vilivyo na vitengo 15 vya nguvu nchini Ukraine na uwezo wa jumla wa 13.88 GW. Kiwanda kingine, Kinu cha Chernobyl, kiliondolewa mwaka 2000. Tangu Machi 2022, kituo cha nyuklia cha Zaporozhye kimekuwa chini ya ulinzi wa jeshi la Kirusi.
My Take:
Nimeshangaa umeme uliokuwa Ukraine mwanzo ni 13.88GW , huku kwa Bi Hangaya tunaongelea 350MW, tuna Maji, Tuna uoepo, Tuna Gesi na nasikia tuna Uranium!!!
Anyway tuendelee:
Inshort Ukraine imerudi Zama za mawe za mwisho licha ya Antimissiles za EU kuletwa lakin zimeahindwa kuzuia uharibifu mkubwa wa airstrikes za Mrusi. Je in "full scale war zinaweza kuizuia Ukrainia administration isifutwe "????
baada ya vita utaona utofaut wa Somalia na Ukraine na huo ndo utofauti wa wazung na sisi , ila tumekaza fuvu kulalamikia ukolon km vile ni sis tu ndo tulitawaliwaUkrein sasa ibebaki kuwa kama somalia .ukrein itabaki kwenye historia kama inchi iliyosambaratishwa na urusi.silaha nyingi zimeshuka ukrein kutoka magharibi lakini bado hatujaona zimefanya nini. Mrusi anazidi kusonga mbele.mungu ibariki urusi na viongozi wake.
nkikuita kichaa usilalamike , mahaba yanakutia uchiz , hujui maana ya kushindwa na kushinda , kuachia eneo ulilotekwa awali na kulipigisha kura kuwa limejiunga na nchi yako , ukiliacha unasemaj hajashindwa vita ? wangewezana si wangepigana kama walipoivamia ukraine feb 2022 , sio kila kitu cha kuweka ushabiki , vingine vinashusha heshima yakoKiukweli wala hiyo asili mia 30% ya mji wa KHERSON wala haikukombolewa par se-kilicho tokea ni kwamba jeshi la Urusi lilihamua kuondoka lenyewe - kijeshi kilicho fanyika pale ni tactical withdraw na sio kushindwa vita na jeshi la Ukraine - propaganda zinazo endelea hapa watu wanazungumza vitu tofauti kabisa, yaani hawana habari kwamba jeshi la Urusi litawageuzia kibao wanajeshi wa Ukraine waliopo KHERSON mpaka washindwe wapi pa kuki mbilia na kupona - mwisho wa siku utasikia members wa NATO ma wapambe wao wakilalamika kwamba jeshi la Urusi ni wakatiri sana wametumia nguvu nyingi kupita kiasi kuwaondoa wanajeshi wa Ukraine mjini KHERSON hivyo majenerali husika wa Urusi watafutwe ili waburuzwe the Hague kujibu war crimes - nyie subirini hayo ndio yatapendekezwa iwapo jeshi la Ukraine litaondolewa kwa nguvu sehemu ndogo wanayo ikalia huko KHERSON hivi sasa.
Mkuu Hii habari ya baba yako inaingiliana vipi! na hii vita ya urusi na Ukraine naomba ufafanuzi.Msikilizeni Baba yenu Huyu anarukaruka huku
SI tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakipata Cha mtema Kuni?[emoji23][emoji23]Pamoja na Supa pawa wenu wa mchongo kushirikiana na wenzake lakini wapi. Urusi anadunga tu
[emoji95][emoji95][emoji95]Mercenaries from 54 countries are fighting on the side of Kiev, the Investigative Committee of Russia said. The most active are England, USA, Canada, Israel, France, Sweden, Georgia, Finland, Poland and Lithuania.[emoji95][emoji95][emoji95]
umenena vyema kakabaada ya vita utaona utofaut wa Somalia na Ukraine na huo ndo utofauti wa wazung na sisi , ila tumekaza fuvu kulalamikia ukolon km vile ni sis tu ndo tulitawaliwa
Hii italipuliwa hapohapo airportKuna miundo mbinu mpya ya umeme Ukraine analetewa NA US
Warusi wanaanza kugeukana na kuchapana lisasi.., hakika tutaona mengi kwenye hii inayoitwa special military operation [emoji848]Four dead as gunman opens fire in Russian shopping centre
By Christian Oliver For Mailonline
15:19 GMT 24 Nov 2022 , updated 15:23 GMT 24 Nov 2022
A man opened fire in a shopping centre in the southern Russian city of Krymsk, Russian state news agencies have reported, citing local law enforcement agencies and the prosecutor's office.
Mlikubaliana na nani wewe mdebwedo wa Sanya Juu.SI tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakipata Cha mtema Kuni?[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!Putin ana safari ndefu sana kwenye hii anayoiita special epereshen.., kitendo Cha rais zelensiky kuwasihi raia waondoke nchini kama ikiwezekana, kunadhihirisha wazi kwamba jamaa wako tayari kumpigisha mtu danadana kwa Hali yoyote ile,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vijana wa Yombo Vituka mna mambo kweli kweli.Warusi wanaanza kugeukana na kuchapana lisasi.., hakika tutaona mengi kwenye hii inayoitwa special military operation [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app