IllogicalMpaka wavaa vipedo wameshindwa kujizuia , wameamua kuonyesha rangi zao halisi [emoji23][emoji23]View attachment 2426493
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Supa-pawa wa mchongo yupo kwenye defensive.Aliingia Ukraine kichwakichwa akidhani Ukraine ni Georgia kumbe Ile ni namba nyingine,huko kwa battlefield anachapika kisawasawa na tutegemee kabla ya winter kuisha Babu lazima afanye tena mobilization
MnadanganyanaDuh! Kweli jamaa wanachapika vibaya aisee..,na sio tu huko ngambo ya mto pekee.., kiukweli fashisti anatembezewa mkong'oto potepote,sio luhansik zapozhia, Donetsk..,kote anapokea za uso [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mtu mwenye akili hapigani na dhana bali hupigana na uhalisia.Ni jimbo la Duma au bunge la Duma?
Anyways,Russia nimewaelewa sana hapa..
Jeshi la NATO limejaa mapunga!!
Never ask,never tell crap.
30% ya kherson ndio Iko Ukraine,70% ndio Iko Urusi
Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyeweBado Tu Una ndoto za Ukraine kuja kuongea na Putin!!!! Ukraine Kwa sasa imefikia sehemu tunaita Point of no return maana watu wamekufa,wanajeshi wamekufa,nchi imeharibiwa na kibaya zaidi Raia bado wanaisapoti serikali Yao iendelee kupambana na Russia hivyo kwa kiongozi wa Ukraine kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwasasa ni ndoto za abuu nuasi.
Russia kwasasa Yuko kwenye defense ndio maana juzi alikua anataka short truce ili ajipange kipindi hiki cha winter halafu aanzishe tena mashambulizi kipindi cha spring lakini Ukraine haitaki kumpa nafasi ya kupumua ndio maana bado inaendelea na mapambano. Kabla winter haijaisha huo upande wa pili wa MTO Nusu utakua umerudi Ukraine.
Hivi unakumbuka miezi miwili iliyopita ulisema ni ndoto kwa Ukraine kuikomboa Kherson, unakumbuka?!Si ndio hapo mkuu, hata zile nderemo na vifijo vya eti "kuukomboa mji wa KHERSON" sijui kuna mantiki gani kwa jeshi la Senselessky??
Hahahaha Sawa. Ila unakumbuka Putin alisema "Kherson will be Russian forever" hlf baadae wakakimbia?!Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyewe
Hata FINLAND watu walikufa nawakaeka chini silaha nawakagawa sehem ya ardhi
Hata GERMAN watu walikufa na wakaeka chini silaha nawakaongea na sehem yao yaardhi baadhi ikaondoka
UKRAINE hajafikia point yeyote MKUU mupende musipende mutake musitake muchukie musichukie
Jamaa lazma atakuja mezani na lazma ataongea na lazma ataachia sehem za ardhi yake kua mali ya RUSSIA tena kwakutia saini mwenyewe kua karidhia
Halaf unasema RUSSIA analinda analinda nn wakat anatoa dozi kila leo huoni ELENSKY analialia shida unataka RUSSIA ashambulie unavyotaka wewe wakat yeye anaplan zake
Tuupe muda nafas yake MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona huko biibisii na dw wanasema kama RUSSIA ndio anashambulia huko ZNPPRussia imeweka kambi kwenye kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia,wanarusha Makombora toka kwenye ZNPP wakijua kwamba Ukraine haiwezi kujibu kwa ufasaha sababu italeta masafa,then baadae wanakuja kwenye media kulalama.
Hakuna mtu alokimbia KHERSONHahahaha Sawa. Ila unakumbuka Putin alisema "Kherson will be Russian forever" hlf baadae wakakimbia?!
Kama vilikua vikiiogopa moskva yatoka enzi za miaka 80 hukoHivyo vyanzo vya magharibi ndo vilikua vikiiogopa Moskva ambayo ilizamishwa kwa kombora mbili tu za Ukraine.
Sasa tusipoona huo ubora WA hizo air defenses za Russia kwenye hii vita mnataka tuuone wapi?! Au hujaona Pantsir na BUK air defenses za Russia zikiwa zimeharibiwa kabisa na Ukraine?!
Zile mbwembwe za S400 na S300 hatuzioni tena maana Range ya S400 ni zaidi ya 400km kwahiyo ikiwekwa mpakani mwa Russia-Ukraine inaona mpaka Kiev,lakini cha ajabu ndege na Helicopter za Ukraine zinaendelea kuruka na kufanya mashambulizi dhidi ya vikosi vya Russia mpaka Leo. Lakini cha ajabu ndege za Russia kila zikijaribu kunusa anga la Ukraine hazirudi Moscow zinaishia ardhini.
Hata JAPAN watu walikufa tena zaidi ya hawa wa UKRAINE na waliongea na wakaeka chini silaha wenyewe
Hata FINLAND watu walikufa nawakaeka chini silaha nawakagawa sehem ya ardhi
Hata GERMAN watu walikufa na wakaeka chini silaha nawakaongea na sehem yao yaardhi baadhi ikaondoka
UKRAINE hajafikia point yeyote MKUU mupende musipende mutake musitake muchukie musichukie
Jamaa lazma atakuja mezani na lazma ataongea na lazma ataachia sehem za ardhi yake kua mali ya RUSSIA tena kwakutia saini mwenyewe kua karidhia
Halaf unasema RUSSIA analinda analinda nn wakat anatoa dozi kila leo huoni ELENSKY analialia shida unataka RUSSIA ashambulie unavyotaka wewe wakat yeye anaplan zake
Tuupe muda nafas yake MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Carpet bombings atafanya Kwa kutumia nini,parashuti au nini?!Kushauri wananchi waondoke ni kosa kubwa saana, wanajeshi wa Ukraine wanatumia raia kama ngao kukiwa hamna civilian hiyo carpet bombing [emoji378] itakayotembezwa nchi itakuwa magofu allepo itasubiri!
Na walifanya mpaka sherehe pale Moscow,wasanii wakatumbuiza Ila mwezi mmoja baadae wakakimbia na kusahau kwamba walisema Kherson itakua ni ya Urusi milele na milele.Hivi ile referendum ilifanikiwa jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kombora lililofeli ni Russian made ambalo ni la S300 defense system.Mbona majibu west walikwisha toa labda kama hukusikia, Ila mfano halisi ni makombola ya air defence ya Ukraine ilipofeli kuiangusha kombola la urusi likaenda Poland na kuua raia wawili
Anachimba mifereji mpk Crimea[emoji23][emoji23][emoji23]Supa-pawa wa mchongo yupo kwenye defensive.
Bhas itakua walikua wanafanya jogging
Siku hiyo inakuja - na ikiwa Senselessky atajikitia ujuaji mwingi basi na mji wa Odesa nao itajumuhishwa kwenye orodha ya miji itakayo jiunga na Russian Federation na wala NATO/US hawatafanya lolote zaidi ya kuongeza vikwazo ya kiuchumi kwa Russia ambavyo havijaweza kuihadhili chochote Urusi mpaka sasa.