Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sehem gani jeshi limeenda kwa kificho
 
Askari kufa siyo issue kwa marekani ngoja siku ukweli watausema wenyewe ni zaidi ya askari 1000 wa USA wamekwenda na maji ....wewe unafikiri kinachowapa nguvu askari wa ukrain kupigana ni nini ? Sini sababu kwenye kila safu ya kijeshi ya ukrain kuna makamanda wamechanganywa na NATO NA USA hivyo waukrain wanapata moyo wa kupambana wakijua awafi pekeyao hadi sasa wanajeshi wa nato waliokufa wamefika 9,000
 
Swali lako linajibika.

Lakini kwanza jibu la kwangu. Hao wanajeshi 1,000 wamarekani waliokufa vitani Ukraine, takwimu zake zinapatikana wapi??
Nimesha kwambia mm sijaleta habari yeyote inayo husiana na Marekani kupeleka wana jeshi nchini Ukraine mbona hunielewi?
Kama unataka majibu muulize huyo aliye leta hiyo habari.

Kama haujui takwimu za wanajeshi walio kufa nchi Afghanistan basi hivyo hivyo huwezi kujua takwimu za wanajeshi wa Marekani nchi Ukraine iwapo kama ni kweli Marekani atakuwa na wanajeshi nchini humo.

Kwani kila kitu anacho kifanya ni razima ww ukijue?
Walipo enda kumuuwa Osama walikuaga ?
 
Hata HIMARS alisema hivyohivyo matokeo yake Leo ni mwezi wa 10 haijaidaka hata moja
Hivi bado unaamini kabisa kuwa Hakuna mfumo hata mmoja wa himars umeliwa?
Endelea kuamini hivyo. But Patriot Kama ilivyo NASAMS, Iris T na sky nini ile haitafanya chochote dhidi ya bombers za kirusi.
Lakini pia Ni kazi ngumu kutungua missile za kirusi . Iskander missiles, kalibr. Utungue kwa kutumia Nini?
 
Hahahaha evidence iko wapi kuthibitisha madai ya kuliwa kwa Himars?!

Haitafanya chochote?! Leo Russia karusha kamikaze drones 13 lkn hakuna hata moja iliyofikia target zote zilitunguliwa mapema kabisa.
Kama hiyo mifumo haifanyi kazi nini kinafanya Russia aogope kuingiza ndege kwenye anga la Ukraine?!

Bombers za Urusi hazithubutu kugusa airspace ya Ukraine,zinarusha Makombora tokea Urusi kwenyewe au Belarus
 
West wanajisahaulisha wamesahau kuhusu mfumo ule unaolinda pia ikulu ya Marekani wa kuitwa NASAMS?
Nb. Hapo Ukraine mamia ya silaha za kirusi na west yapo majaribioni kuona uhai na udhaifu wake hasa inapokutana na adui mwenye nguvu.
 
Anga la Ukraine litakuwa salama dhidi ya drone za waajemi na litageuka hatari kwa marubani wa Urusi...
HIMARS kp kipanya44
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…