Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fake id ni nini!? Ndio maana nimekwambia kuwa huna exposure. Unajua maana ya fake!?
Je original ya ids za JF ziko wapi!?
Duh!..mbona unakomaa Sana na hayo mambo madogo tu ?...

Turudi kwenye lengo la Uzi, tuambie malengo ya SMO yametimia mpaka sasa?,
 
Duh!..mbona unakomaa Sana na hayo mambo madogo tu ?...

Turudi kwenye lengo la Uzi, tuambie malengo ya SMO yametimia mpaka sasa?,
Kwanini unaacha vitu hewani hewani tu. Huu ni ubabaishaji.
Tutaweza kujadiliana vipi wakati unakuwa mbabaishaji!?
Tupo kwenye international forums tunaongelea mambo ya kimataifa. Kama hujawahi hata kwenda nchi moja ya nje utawezaje kuwa na experience ya kujadili!?

Umekuja na issue ya fake ids. Nikakuuliza original ids ni zipi!? Unakwepa tu. Unaanzisha jambo hutaki kulikamilisha.
 
Zisipokufurahisha ndio za kishamba....jitahidi kuvumilia maoni mseto.

Kuulizana mambo binafsi (nje ya mjadala)ndio knowledge ?
Mambb binafsi yapi?! Subject iliyopo ni Russia-Ukraine conflict....Sasa watu wanatoa knowledge zao kwenye politics, international relations, economics, geography, physics, chemistry, journalism, climate, military, political economy, language, religion, history, etc wanatoa knowledge yao kwenye maeneo yao ambayo yanagusa mjadala...Sasa mtu anaulizwa exposure yake kuhusu nchi alizosafiri ili kupata uelewa wake.. kusafiri ni elimu tosha...Sasa mtu amezaliwa Kinyerezi amesoma shule ya msingi na sekondari hapo Kinyerezi halafu Chuo kikuu CBE Dar es Salaam. Yaani hata Morogoro au Chalinze hajawahi kufika...hajui hata idadi ya makabila Tanzania yaani hata kabila la baba yake hajui na Wala hajawahi kufika kijijini alikozaliwa baba yake....haijui Tanzania, Haijui Afrika na Haijui dunia...yeye anasoma comment ya kipanya hapa JF ikimuonesha mtu aliyefafanana na nguchiro na pia picha ikionesha kidole Cha Kati kimenyooshwa juu...
Sasa mtu wa Aina hiyo Hana knowledge ya dunia...hata ucham uzi wa issues unakuwa wa Shaka...
 
Maswali gani ya mambo ya kimataifa umeuliza ?
 
Lengo la jukwaa ni kuelimishana maana tupo watu wa kila aina humu.....ila ni makosa kupuuza maoni ya wengine kwa sababu eti hawaijui dunia.
 
Kinachonifurahisha kwenye huu mjadala Ni kuona watoto wasokua na Elimu na udogo kiumri, Wanataka kujifanya wanajua Zaid, kuliko wakubwa wao. Dunia Ina vioja Sana. Watu hawajui na bado hawataki kujifunza. USHABIKI MANDAZI

Wanahisi Ni Simba na Yanga. Too sad
 
Hii ndio point vijan wa sasa hawatak kusoma mchezo / kusikilza kufatilia na kujifunza wao walivyozaliwa bas wanazan wanajua kila ktu
 
Comment bora Sana hii kabla ya Vita kuanza......ulikuwa sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…