Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
😂 😂 😂 January 6th ya mwaka gani?Sio X-mas yetu,ni Othordox X-mas January 6th.Na hata kama hawatakuwa wameiteka by 6th January,kwa maandalizi yanayoendelea,Kyiv to fall is imminent.
Naomba pia ikumbukwe kwamba ile ilikuwa an estimate,tukizingatia the situation on the ground.
Hakika uchafu huu lazima ukemewe.Huo mnaotaka kuusambaza kila sehemu. Nitakukemea mpaka uache uchoko
@Proved tutakukemea mpaka muache kusambaza hii tabisHakika uchafu huu lazima ukemewe.
Mtu yeyote anayeuchukia uchoko hakika kiakili na Kiroho ni mtu aliyekamilika. Lakini anayeutetea na kuutangaza kwa njia yoyote ile au kujiunga na mrengo unaoshabikia uchafu wa aina hiyo huyo ni mchafu sana na kiroho ni wakazi wa Sodoma na Gomora ile iliyoangamizwa sababu ya kuupenda uchafu. Kumbe kuna waliosalia.
Nashindwa kuwaelewa hawa Proved na wenzake.
You are screwed eitherway1. Aiseee nimeamini hesabu ni janga la Taifa,kumbe ⅕ ya 600,000 km² ni 200k. Urusi hana ubavu wa kukamata 200k km² alijaribu Feb 24 kaangukia pua. Eneo analoshikilia Urusi halizidi 130k km² ambazo bado kuna maeneo yanaendelea kukombolewa,miezi 6 ijayo nina hakika atabakia na Nusu ya eneo hilo.
2. Putin juzi alitamka kwamba kinachoendelea huko Ukraine ni vita wala si SMO kama wapambe wake mnavyotuongopea hapa Jf. Kwahiyo tunakubaliana kinachoendelea huko ni vita si SMO?! Au Babu yenu alikosea?!
3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa.
2023😂 😂 😂 January 6th ya mwaka gani?
Ndio maana hua nasema munaoibeza RUSSIA nihuku jf tu MKUUSijafuatilia boss,Hivi Ukraine hawajatoa official statement yoyote kumbe.
Okey boss
Kuliko SU-27 ?.....kazi ya mwanadamu haikosi kasoroT14 Armata tukisema kama hizi ndege za hovyo mnakataaa View attachment 2461059
Sent using Jamii Forums mobile app
Su 27? Katika ndege za kirusi zenye weakness ndogondogo kabisa kivita katika class yake ya fourth generation air superiority fighter jet Ni hiyo su 27.Kuliko SU-27 ?.....kazi ya mwanadamu haikosi kasoro
Kuna siku Russia wanaweza kuchukua maamuzi ya kuondoka na kichwa Cha Zeleboy.[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779]Ukraine will be able to get "hidden" Russian aircraft in the Far East - Danilov
"The enemy began to hide them. They understand that Ukraine can get them deep into the territory of the Russian Federation, and there are not so many bombers left. We are talking about the Tu-95MS and Tu-22MZ. Now the Russians have overtaken them to Primorsky Krai, but if necessary, we will get there and to the Far East," Danilov said on the air of the telethon.
View attachment 2460909
Huyo unaemwelewesha utachoka TU nakuambia.Nianze kwa kukumbusha Kwamba ugaidi katika Pakistan sio kutoka kundi la Taliban la Afghanistan bali ni kutoka kundi la Balochistan fighters.
Rafiki namba moja wa Taliban leo na miaka yote ameendelea kuwa serikali ya Pakistan ambao ni wafadhili wa silaha na vyakula.
Niingie katika hoja ya uwepo wa nyuklia katika Pakistan lakini ikikumbwa na matukio ya kigaidi Mara kwa Mara ikiwemo la hivi karibuni Januari 2022.
Ufahari wa Ulinzi wa taifa kupitia nyuklia Ni kitisho dhidi ya maadui wa taifa flani na sio vikundi vidodovidogo Kama Balochistan Peoples . Hapa namaanisha taifa na taifa na sio taifa dhidi ya kikundi kinachomiliki RPG na SMG. Na kuthibitisha Hili ni namna ambavyo India ilijikuta haiko salama dhidi ya nuclear power ya Pakistan ambao Ni mahasimu wao namba moja na hivyo India ikaamua ijiunge kwenye swala la kujihakikishia usalama wake kwa kutengeneza nuclear na kufikia December 1999 India ilijitangaza rasmi kuwa nyuklia power.
Kupitia nuclear Ni taifa la kihuni litaivamia kijeshi nchi pinzani yenye nuclear.
Leo Iran inahangaikia kuwa na nyuklia kujihakikishia usalama,
Israel baada ya kugundua maadui zake Wana nguvu Sana isiyokoma wakaamua kuwa na nyuklia. Nani anaweza kuivamia Israel leo miongoni mwa uarabu yote?
North Korea Nani wa kumgusa?
Na je Iraq, Libya, Syria, Yemen Nani angezigusa endapo wangekua na nuclear?
Nb.
Kusema Pakistan haikaliki ni uwongo ulio dhahiri. Hakuna Vita sehem yoyote katika Pakistan Bali Kuna matukio ya kigaidi Ka.ma ilivyo Keny ya Leo na alshabab
You are screwed eitherway
Point ni kwamba 1 ya 5 ya ardhi ya Ukraine iko mikononi mwa urusi. Iwe 200k au 130k.
Na misaada yote na nguvu zote, propaganda zote unapotezaje 1 ya tano ya eneo lako!?
In the early hours of Thursday, February 24, 2022, Russian President Vladimir Putin addressed his nation, announcing a “special military operation” against Ukraine.
Hayo hapo maneno ya putin akitangaza kuanza kwa operation.
Unataka Urusi waivamie uk kwa sababu Bwana mmoja jf anasema uk wanahusika na nini!?
[emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna siku Russia wanaweza kuchukua maamuzi ya kuondoka na kichwa Cha Zeleboy.
Natabiri. Bila shaka siku si nyingi.
Halafu Kuna vijiwatu hapa JF havitakubaliana na apologize hiiSouth Korea Apologizes For Response To Drone Incident
South Korea has issued an apology to its citizens after failing to shoot down several North Korean drones that crossed over the border earlier this week, acknowledging that the incident stoked fears among the public while vowing a more aggressive response in the future.
Lieutenant General Kang Shin-chul, the chief director of operations for the South Korean military’s Joint Chiefs of Staff (JCS), commented on the drone breach in a statement on Tuesday, noting flaws in Seoul’s military preparedness.
“We feel sorry that although our military detected and tracked the drones, we failed to shoot them down,” he said, adding, “in the end, we have caused much public concern due to insufficiency in the military readiness posture.”
Subscribe to RT
Sidhani Kama Ni kazi ngumu hivyo. Kama uwepo wa Gueterez mjini Kyv haukuzuia shambulio la karibu mita 1000 karibu na alimokuwemo Guterz na Zeleboy nafkiri inawezekana but kwasababu maalum imezuiwa kufanya hivyo.Walishajaribu hapo mwanzoni wakashindwa labda wajaribu tena Bahati yao